Ila naelewa kuelekea uchaguzi na hii nchi yetu, maisha ni mbio mbio tu,
Humu JF hili jukwaa Pamepoa sana, Watu hawaleti hoja zao na maoni mbalimbali, Zero IQ popote ulipo aisee ukipata nafasi rudi, utupe story zako za kuchakata mbususu walau kuwe na Mada zinaendelea..
Happy Sunday ✌🏾