Wednesday February 10 2021
Profesa Delfina Mamiro
Morogoro. Familia ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Profesa Delphina Mamiro imepata pigo ndani siku 28 kwa kupoteza watu wanne, akiwamo profesa huyo.
Awali, wazazi wa profesa huyo walifariki dunia katika familia Januari...
Iko hivi:-
Kila kukicha pesa yetu inashuka thamani 10,000 ya leo kesho itakuwa ni pesa ya kununua kikombe cha chai.
Sasa maada yangu ipo hivi!:
Ikiwa nimeweka 100,000 benki leo hii baada ya miaka 30 itakuwa ni pesa ndogo kulingana na thamani ya shilingi yetu kuendelea kushuka hivyo waweza ona...
Nimesoma sehemu kuwa miili ya watu wengi waliokufa korona imekutwa na damu ikiwa imeganda kwenye mishipa midogomidogo ya damu na kuiziba (thromoembolism). Wamesema hii ni moja ya complication ya korona.
Sasa kitunguu swaumu kina tabia ya kufanya damu iwe nyepesi na isigande kirahisi. Naona ule...
Hoja yangu nimeiweka kwenye namna ya swali ili tuweze kupata majibu sahihi, na tuangalie vyema hali yetu ya kiusalama kiuchumi, kijamii na kisiasa pia.
Vita ya kiuchumi imepamba sana Moto, maadui wetu wanatumia mbinu mbalimbali ili watufute kwenye sura ya dunia.
Shirika kubwa la afya la...
Ilikuwa mnafanya siri na kuudanganya umma leo Mwenyezi Mungu amewaadhiri vibaya sana sana hamna pa kujificha.
Tena si kuudanganya umma wa Watanzania bali kuidanganya dunia nzima. Mnacheza na Mwenyezi Mungu atu dua zetu zimekubaliwa. Mmekwiba kura sawa tumepotezea, lakini kumsingizia Mwenyezi...
China imeanza kutumia aina mpya ya kuchukua sampuli za kipimo Cha Corona kupitia sehemu ya haja kubwa.
Mamlaka zinasema aina hii ya kipimo ni ya kuaminika zaidi na haraka.
Kipimo hiki kinahusisha kuingizwa kwa kifaa maalumu chenye pamba kama sentimita 1 ama 2 katika njia ya haja kubwa kisha...
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameonya watu wenye lengo la 'kumpatanisha' yeye na upande wa upinzani baada ya kumalizika uchaguzi mkuu uliompa ushindi kuongoza muhula wa sita.
Huku upande wa upinzani unaoongozwa na msanii Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine aliyeshika nafasi ya pili miongoni...
Chuo kikuu cha ardhi kimesitisha utaratibu wa kuweka sahihi ya mahudhurio kazini kwa watumishi wote kwa sababu zisizojulikana hadi itakapotangazwa hapo baadae.
Watumishi wameombwa kuendelea kujali muda wa kufika kazini kama walivyozoea na wakuu wa vitengo wameombwa kuendelea kufuatilia...
Yaani hapa nilipo ninafuraha isiyo na kifani leo ninachinja mbuzi kabisa big up Abramovic na board nzima ya Chelsea hii ndio Chelsea tunayoijua hakuna kumvumilia mtu ukiaharibu unafukuzwa.
Kama Lampard angeendelea kubaki hata ligi ya mabingwa tungetolewa na A.Madrid na tungeambulia patupu kocha...
Habari zenu ndugu zangu wa humu JamiiForums
Je, ni uamuzi sahihi kumuadhibu mtoto wako mbele ya wageni/mkiwa ugenini? Unaweza kumchapa mtoto mkiwa mmetembelea kwa watu? Utamuadhibu pale pale au utasubiri mpaka wageni waondoke kwanza/mkirudi nyumbani?
Mimi niliwahi kuponea chupuchupu kupigwa...
Moja ya haki ya mgonjwa ni kupewa taarifa za ugonjwa na kuzitafakali kwa makini!
Swali; Kwanini vipimo na maelezo yanayoandikwa kwenye karatasi ya mgonjwa katika zahanati binafsi huwa vinazuiwa kuondoka navyo mgonjwa? Je, ni utaratibu wa kitabibu au ni uhuni?
Wajuvi tujuzeni!
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Watoto wanaokuja nyumbani na vitu vya kuokota (Pesa, Midoli, Mipira). Je, ni sahihi kwa wazazi kuruhusu tabia hii?
Mimi siwezi kujisifia kwamba nilikuwa na wazazi makini sana katika suala la malezi kwa maana wakati nipo mdogo...
Habari.
Mwenye ujuzi na masuala ya Engine Oil sahihi kwa gari tajwa hapo juu yenye CC 2990 GRS 182 maana naona kama mafundi wetu ni changamoto hivi.
Mwanzo niliweka Castrol iliandikwa 5W~20 na fundi akasema inaenda km 5000 nilivyocheck Google nikaona haipo sawa, ilivyofika km 3000 nikaimwaga...
Wanaume wengi wamejikuta wameoa wanawake ambao sio size yao. Wengine wakahisi kuachana ndio suluhisho. Ok, kwakuwa hili si tangazo twende kwenye points.
1. Mpigie kwa namba ngeni, kama akianza kwa kuuliza wewe nani? Hapo unaoa mwanamke asiye na akili za kutosha au unamuoa mtu mwenye tabia za...
Hi guys,
Leo hata sina mengi naomba tu kuuliza hili,
tunafahamu kuwa wanaume huwa mabingwa wa kutusifia wanawake, uwe umependeza, unanukia vizuri, au vyovyote vile inavyofaa kiheshima na huwa hawatazami huyu ni mke wa mtu ama mchumba wa mtu, huwa wana appreciate tu, na hakuna atakayelishangaa...
Waliosema mteja mfalme walikusudia umpetipeti na kumheshimu na ujishushe kwa sababu amekuja kununua bidhaa yako, SIO KWELI.
Angelikuwa mfalme wa kweli basi angekuwa amekuja kununua ili aniondolee shida zangu pasi na yeye kutatua shida zake.
Lakini mteja mfalme anakuja kunichangia mimi nina...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums
Ndugu zangu watanzania;
Je, ni neno lipi la Kiswahili sanifu huanza kwa consonant "C" na vowel yoyote ile kama "O"? Virusi wale ni sahihi kuwaandika Corona au Korona?
Kwa kawaida ya uandishi wa lugha hii ya Kiingereza maneno...
Habari wadau..!
Ebu leo tumjadili huyu mtu anayejiita Mwana FA achana na Hamis Mwinjuma maana huyo nasikia siku hizi ni Mbunge huko jimbo la Muheza.
Je, ni sahihi kwa wanamuziki wa kizazi hiki kipya kujivisha ma vyeo kama Gwiji,King n.k wakati hawajawai kuliletea taifa hata tuzo moja ya...
Habari za mchana,
Ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa nikijiuliza sana kuhusiana na swala hili la kuoa mtu wa kabila tofauti, Na nimeshindwa kufikia muafaka, nawasilisha kwenu nanyi mnisaidie mawazo.
Natanguliza shukrani, mchana mwema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.