RAFIKI BRIQUETTES
Rafiki Briquettes ni bidhaa ya mkaa inayotokana na makaa ya mawe yanayozalishwa na shirika la Taifa la Madini (STAMICO).
Sifa kuu za Rafiki Briquettes (Mkaa utokanao na makaa ya mawe):-
• Zinawaka kwa muda mrefu (zaidi ya saa 4) ukilinganisha na mkaa wa miti wa kawaida.
•...
Wakati wa masika utagundua kwa usahihi kama eneo au kiwanja unachonunua panapitika au la! utagundua kama ni kwenye madimbwi ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye chemichemi ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye njia ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye majaruba au la.....!
Kama unaweza...
1. UTANGULIZI
Uwekezaji una nafasi muhimu katika kujenga ustawi wa kifedha na kuongeza thamani ya mali kwa muda mrefu. Hata hivyo, kabla ya kuwekeza, ni muhimu kwa mtu kuelewa fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana katika soko la mitaji.
Miongoni mwa vyombo maarufu vya uwekezaji katika...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Jumapili ya leo ni sikukuu ya watakatifu wote katika kanisa, tunasherekea upendo wa MUNGU BABA kwa matendo yake makuu na ya ajabu ya kumtoa mwanae wa pekee ili atukumboe
Basi atukuzwe MUNGU mbinguni na atakatifuzwe mwanadamu ili siku moja...
Yani mkipiga vibunda vyenu uko mnaelekeza kwenye Account moja ya kibenki,
kama ni mishahara yote ikiingia mnaihamishia kwenye Account Moja fast.
Let say father umepiga 15m
wife kapiga 20m yote hio inaelekezwa kwenye account Moja then mnakaa chini kuzipangia matumizi.
Yes,wengi wanajidanganya.
Kijana,ukifikia umri kwamba saa unataka kutulia uwe na familia,basi usifikiria kanisani kama sehemu sahihi ya kupata mke mwema na mwenye historia iliyo nyoka hususani kwa haya makanisa ya kilokole.
Wanawake wengi baada yakutumik sana,na kufanya kila aina ya ushenzi...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Kwa mfano neno "takataka" au "mbwa" hata kama yana maana nzuri katika kabila lako, unaweza kumpa mtoto wako jina la namna hiyo akaishi nalo hapa Tanzania?? Kama jina Mtumba ni zuri basi Zaa mtoto kisha muite jina MTUMBA uone kama atasoma kwa raha huko shuleni mbele...
Hoja ya Komredi Kawaida kuhusu wajibu wa viongozi wa dini katika maadili ya waumini inastahili mjadala wa kina. Si kwa sababu viongozi wa dini wanapaswa kubeba makosa yote ya wanasiasa, bali kwa sababu malezi ya kiroho na kimaadili ni sehemu ya dhamana yao.
Katika maadhimisho ya kuwaombea...
Wana jamii mimi ni me 25 nakaa kwa wazazi nasimamia duka la jumla toka nimeanza kusimamia ni miaka 4 kwenda 5,
Sasa baba anataka kunifungulia duka la hardware hapa mjini ila nikiangalia maduka ya namna hiyo yapo mengi sana hapa mjini Kuna madogo ya kawaida na makubwa sana kama Kuna hili moja...
WABONGO MAPOYOYO SANA WAKIAMBIWA UKWELI WANAANZA KUJILINGANISHA NA CHINA NA INDIA😁😁😁
WATU WAJINGA NA WASIO NA VISION WALA MISSION WAPO HAPA DUNIANI KUZURURA TU. MUDA WAO MWINGI WANATUMIA KUNGONOKA.KISHA VITOTO VYAO WANATEGEMEA VILELEWE NA JAMII.
HUU NI MTINDO MBOVU WA MAISHA NA TABIA MBAYA YA...
Why doth CHADEMA perpetually resort to jocularity in matters of fundamental import? Ye remain passive, not active!
It is meet and proper for Lissu to abstain from nourishment, yet for us without to engage in a hunger strike is devoid of significance.
We ought to proceed unto the penitentiary...
Kuna mjomba wangu anapiga mishe za uwinga kariakoo sasa hivi anawateja wengi kidogo
Tajiri yake ambae anachukua mizigo kwake alipoona dogo anawateja wengi kidogo na anapiga kazi vizuri akamshauri ampe duka kabisa liwe la kwao wawili wagawane pesa kwa asilimia 30 kwa 70
Tajiri achukue 70 dogo...
Kijana kapata nafasi ya kuongea na Rais akaomba kwenda kutukana wapinzani. Ni zaidi ya uwendawazimu. Rais wa TAHLISO kakosea sana. Hii kauli yake haifai kwenye nchi ya kistaarabu kama yetu. Halafu TAHLISO sio chama cha kisiasa wala idara ya CCM. Huyu angejikita kwenye malengo ya TAHLISO na hizo...
Matumizi ya gesi ya kupikia yameongezeka katika jamii. Hata hivyo, ni muhimu kuwa na uelewa sahihi wa hatua za kuchukua pale moto unapotokea ili kuzuia madhara na kulinda maisha pamoja na mali.
Je, unajua namna salama ya kuzima moto unaosababishwa na gesi ya kupikia wakati wa dharura?
Naishi nyumba ya kupanga ila mpangaji ni mimi na jirani yangu tu.
HAtujawahi elewana .
Sasa nje ya geiti kuna nyumba za mwenye nyumba ambayoo hawana parking .
Ila mimi siwafahamu eti . Sasa leo kaja kijana kafungua geiti ndogo na geiti kubwa walibadilisha kofuli sijapewa ufunguo na...
Yakiendeshwa na ukuaji wa haraka wa nishati mpya na utengenezaji wa hali ya juu, madini kama vile madini adimu, lithiamu, na kobalti yamekuwa karata muhimu katika ushindani wa kimataifa. Bara la Afrika lenye utajiri wa madini linaonyesha hali tata: nchi zenye uchumi mkubwa zinaimarisha msimamo...
Makampuni ya spark plugs yapo mengi, lakini kwa uchache wa resources nilizoweza kupata, nimefanikiwa kuipata DENSO Spark Plug Catalog PDF na nimeona niishirikishe hapa kwa manufaa ya wengine.
Katalogi ya DENSO ina columns mbalimbali zinazokusaidia kutambua spark plug sahihi kulingana na aina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.