sahihi

  1. Srebrina

    Je, vituo hivi vya daladala vya Buzastendi–Kawe na Buzastendi–Makumbusho kupitia Keko/Buguruni ni sahihi?

    Habari za kazi Wakuu, ninaandaa orodha ya njia na vituo vya daladala Dar es Salaam, na ningependa kupata msaada kutoka kwa wanaozifahamu hizi route. Nimekusanya taarifa za njia hizi: Buzastendi → Kawe kupitia Keko Buzastendi → Kawe kupitia Buguruni Buzastendi → Makumbusho kupitia Keko...
  2. kavulata

    Mkuu wa Mkoa yuko sahihi kuhusu Mabasi makubwa DSM, ni kero kwenye barabara za jiji.

    Sisi abiria tuna tabia ya kutaka kushushiwa popote karibu na nyumbani kwetu. Hivyo basi kubwa litalazimika kusimama na kushusha abiria kwenye vituo vidogo vya madaladala na kusababisha usumbufu kwa daladala na magari madogo mjini. Hivyo, hata kama mmiliki wa mabasi anayo terminal kubwa ya kupaki...
  3. J

    KERO Ameripoti katika Kituo cha Kazi na kuambiwa vitendea kazi ni vichache hivyo hawezi kufanya kazi hapo. Hii ni sawa?

    Ndugu yangu ameitwa kazini kama Afisa Usafirishaji na katika barua yake ya ajira ameagizwa kuripoti Dodoma. Alifika mapema katika kituo alichopangiwa na kuanza taratibu za kuripoti kama alivyoelekezwa. Hata hivyo, alipofika katika kituo hicho, aliambiwa kuwa kituo kina magari machache na hivyo...
  4. Jaji Mfawidhi

    "Nataka mwanaume sahihi" - "sahihi ni Pesa"

    Ewe kijana , ukiwa una mahusiano unayotaka yawe ndoa, mwanamke anakuzungusha kila siku , anakwmbia subiri na anawaambia marafiki zake anasubiria "mwanaume sahihi" basi zingatia neno "sahihi" maana yake ni "pesa" Huna hela kaa pembeni , Ndoto ya kila mwanamke ni kuishi maisha ya kwenye tamdhilia...
  5. Waufukweni

    Kwa wataalamu wa lugha, ipi ni sahihi kati ya "aliyemaliza nafasi ya pili, mshindi wa pili au mshindwa wa pili"?

    Hii ni kwa wataalamu wa lugha au mwenye uelewa wa hili, kwani nimekuwa nikisikia lakini sijajua lipi ni sahihi. Mtu anayemaliza mashindano katika nafasi ya pili anapaswa kuitwaje? Je, ni “mshindi wa pili,” “mshindwa wa pili,” au “aliyemaliza nafasi ya pili”? Wataalamu wa lugha, lipi ni sahihi...
  6. papag

    Wakati wa Mungu ni wakati sahihi

    au vipi wadau?
  7. Sprouts pre School

    Mtuhumiwa wa ulawiti ni sahihi kupewa adhabu ya viboko 7?

    Mahakama ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imemhukumu kijana mwenye umri wa miaka 16 adhabu ya viboko sita baada ya kupatikana na hatia ya kosa la ulawiti, huku hukumu hiyo ikizua mitazamo tofauti kutoka kwa wadau wa sheria na ustawi wa jamii kuhusu uhalali wa adhabu hiyo kwa mtoto...
  8. Shamuse_bey

    Maana sahihi ya Mzinifu na Malaya ni ipi?

    Habari Wana jf, Ni maana ipi sahihi ya Malaya na mzinifu? Ningependa kujua Mana zinanichanganya Sana.
  9. youngkato

    Mtu sahihi wa kufanya naye kazi

    Leo nimezidi kuamini kuwa changamoto kubwa kwenye biashara si kupata wateja tu, bali ni kupata watu sahihi wa kufanya nao kazi. Teknolojia, hasa AI, imeanza kuwa mshirika muhimu sana. Ndiyo, inaweza kuwa na gharama, lakini mara nyingi inafanya kazi kwa ufanisi, kwa wakati, na bila visingizio...
  10. MamaSamia2025

    Umri ni namba lakini sioni kama ni sahihi mzee wa miaka 79 kuoa binti under 20

    Imetokea Kenya. Watu ni walewale tofauti ni eneo tu.
  11. Natty Bongoman

    Furahi na wenzangu, ndo maisha - sitaki kujenga chuki (Kalikawe) ... sahihi, chuki na hasira bila msingi zitakutafuna

    https://youtu.be/-f-uON139bw?si=2E6ydXbWK3vumHvA
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwahiyo bro umekaa ukatafakari kabisa na kuona uko sahihi kumuoa huyo mwanamke mwenye Tattoo kiunoni na sehemu nyeti?

    Umeangalia vigezo vyako kwamba ni kweli Hana mtoto ila kwenye kipengele Cha Tattoo akakuambia ujana , ulimbukeni na kuiga nawe ukakubali? NI SAWA BRO. Kitu muhimu uelewe visivyokuwa na shaka kwake huyo. 1: Hana bikira 2:Katoa mimba shazi 3:Amelombwa na wengi mno akiwemo na mchora Tattoo. 4...
  13. Lanlady

    Je anachofanya Julius Mtatiro ni sahihi?

    Huyu ni mkuu wa wilaya huko Shinyanga, amejitoa kuhakikisha mabinti wote waliochaguliwa kuendelea na 'high school' wanawasili mashuleni. Sasa kuna baadhi hawajawasili shule walizochaguliwa. Hivyo ameamua kuwasaka nyumba kwa nyumba. Kwa madai yake anasema mabinti hao wanatarajia kuolewa hivi...
  14. K

    Unatumia vigezo gani kujua mpenzi uliyenaye ni sahihi?

    Asalalleh..........natumai mu wazima wa afya njema wagonjwa wote Mungu awape uponyaji. Ndugu zangu leo ningependa niulize hili swali kwa pande zote. Kama wewe ni kijana hujaoa, binti hujaolewa, baba au mama mwenye familia je ulitumia/unatumia vigezo gani vya kumpima mpenzi wako kama ni sahihi...
  15. A

    KERO Sungusungu Chamazi wanakuja kudai fedha usiku bila vitambulisho

    Kikundi cha watu kilichojitambulisha kuwa ni Sungu Sungu wa Chamazi Msufini kinadaiwa kuwafuata wananchi usiku wa manane kudai fedha za ulinzi bila kuwa na vitambulisho wala barua kutoka kwa mamlaka husika. Wanadaiwa kufika wakiwa zaidi ya watu 10, wakiwa na marungu, kugonga milango ya wananchi...
  16. ShesRise_1

    Mahusiano Mapya ya Mara kwa Mara ni Umalaya au Safari ya Kumtafuta Mtu Sahihi?"

    Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe...
  17. M

    KERO Wakazi wa mtaa wa Magaka tunalalamikia changamoto za ukubwa wa eneo na upatikanaji wa huduma

    Wakazi wa Mtaa wa Magaka, Kata ya Kahama – Ilemela, wanaomba mamlaka husika kuangalia upya ukubwa wa mtaa huo kutokana na changamoto zinazotokana na eneo kuwa kubwa huku likiongozwa na Mwenyekiti mmoja. Kutokana na ukubwa wa mtaa, baadhi ya huduma muhimu zimekuwa mbali na makazi ya wananchi...
  18. K

    Hivi ni sahihi mwanamke kukupangia sehemu ya kwenda kugegedeana?

    Amani ya Bwana iwe nanyi! Kuna mwanamke nilikua na appointment nae ya kwenda kusex leo, mimi kwa bajeti yangu ya elfu 30, nilipanga twende lodge flani tu hapa hapa mtaani. Mahesabu yangu yalikua ni gharama za Lodge 20k, na bia mbili mbili elfu 8, elfu 2 inayobaki ningempa nauli ya boda kurudia...
  19. Royal Son

    Nguo za jeshi kufanana na za nchi nyingine sahihi

    Kuna nch huku inapakana na malawi wanavaa nguo za jeshi zinafanana za us au Israel je ni sahihi ?
  20. R

    Rai ya Jenerali Ulimwengu: UanaHARAKATI ndiyo njia sahihi ya kufanya siasa, vinginevyo ni utapeli wa siasa kusaka tonge kupitia vyama vya siasa

    Mwanasiasa asiye mwanaharakati ni tapeli anayesaka tonge kupitia kauli-mbiu na utambulishi wa vyama. Mwanaharakati ana lake jambo la kulisimamia kokote aliko hadi mwisho wake. Ukiniuliza mie, dharau wanasiasa, heshimu mwanaharakati
Back
Top Bottom