sahihi

  1. Ndugu zangu wachaga, Je hii ni sahihi au ni manipulation za mitandaoni?

  2. F

    Ipi sahihi sana kati ya Kumsomesha mtoto msingi english medium ya ada 3m per year vs kumsomesha kayumba na kumnunulia kiwanja cha 3m kila mwaka?

    habari wadau, naombeni majibu njia gani nzuri ambayo mtoto itamsaidia sana mbeleni. kati ya hizo option mbili, maana baba yake kipato changu kidogo hakiruhusu kufannya vyote kwa pamoja. hivyo kipi sahihi cha kufanya ambacho kitamsaidia mtoto na hata akiwa mtu mzima hatanilaumu baba yake ...
  3. Ni kweli Watanzania sisi ni masikini au hatujui njia sahihi ya kupambana nao, huko Instagram kuna vituko

    Kwa kifupi huko Jamhuri ya watu wa Instagram ndio nimetembelea nimeshtula kidogo. Kuna Dada anajiita Diva ni binti wa Malinzi ana mashauzi kama yote isitoshe amepanga Masaki. Sasa kituko anadaiwa kodi ya miezi mwenye mjengo kaja juu, Dada wa watu kwa kutambuwa ana utajili wa misukule...
  4. Ugumba wanaume wa Dar :Shahawa hazina umbo sahihi: Chips na Ice CREAM zatajwa!

    Wanaume wengi, hasa Dar wamebaki na sehemu za kukojolea na si kuzalishia tena, hii inatokana na life style . Chips mayai ya kisasa, Mayonaise, biriani, pombe-visungura na streess za kuliwa betting! Wakati Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikipanua huduma zake za Upandikizaji Mimba (IVF)...
  5. Lissu ni Kiongozi sahihi, lakini kwa nchi isiyo sahihi

    Napenda nitoe maoni yangu kuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu. Kwangu namuona kama Kiongozi sahihi, lakini kwa nchi isiyo sahihi. Nitafafanua kwanini nasema hivyo. 1. Lissu kama Kiongozi sahihi. Mh. Lissu ni Kiongozi sahihi kwa sababu amejipambanua msimamo wake, tangu awali. Amekuwa...
  6. W

    Tujadli afya kwa matumizi sahihi ya miundombinu ya maji, usafi ni utu

    Usafi wa mazingira ni ustaarabu, usafi binafsi ni utu. Tusiwe chanzo cha kero kwa wadau wengine mtaani kwetu kwa matumizi yasiyosahihi ya miundombinu ya maji au matumizi ya makusudi kwa kuharibu. Serikali inajenga miundombinu hii kwa matumizi ya wananchi wote na kuimarisha afya ya jamii yetu...
  7. Kwanini Nastahili Platinum Badge(JF staff someni hii)

    Kwa niliyo ya fanya JamiiForums nidhahiri mimi ni mtu maarufu na ninastahili platinum badge. Enyi mods nahisi mnatambua makubwa niliyo ya fanya, humu 1: Kuanzisha nyuzi ngumu Kumeza na kubaki katika majibizano bila kukimbia 2: kuonesha kuwa ukweli ambao wengi wanadhani ni sahihi unaweza kuwa...
  8. Mwanamke Sahihi ni Ulinzi wa Amani Yako waepuke hawa

    Kosa kubwa zaidi ambalo mwanaume anaweza kufanya katika ulimwengu wa leo siyo kufeli kibiashara, bali ni kumkaribisha mwanamke anayekuja kuharibu amani yake ya ndani. Maisha ya mwanaume ni uwanja wa vita wa kila siku; anapambana na uchumi, ushindani wa mtaani, na presha za jamii. Nyumba na...
  9. Heche, kama Lema ana makandokando yako wakati sahihi wa wananchi kuyasikia ni sasa.Usibembeleze Lema asifanye press.

    Hiyo post ya Lema ya kuahirisha press inaonesha ni kweli anatishiaga kufanya press na hiyo post yake anamaanisha Heche kambembeleza kwa hotuba ndo mana akaahirisha na hiyo kusema ameahirisha ni KITISHO kuwa wakimzingua anaita press anamwaga uharo wa Heche sababu Lema inaonesha kabisa hampendi...
  10. Je kwa hili imani inasemaje kabla haya ya Eda kuisha? Ni sahihi au kwa wakubwa hizi imani hazifanyi kazi?

    Kumbato kama hili tena na eda haijaisha hapa si ni kuharibu imani au kuingiza uzungu? Je ni halal?
  11. Katika ujasiriamali sio hamasa pekee inayojenga biashara, unahitaji uvumilivu na mtazamo sahihi zaidi

    Ndani ya hii miaka sita 6 tokea niamue kuachana rasmi na ajira, kuna kitu nimejifunza kuhusu ujasiriamali ambacho ningependa vijana wengi wakijue mapema na I hope wengine wengi wamekifahamu pia. So ni suala labda niseme la kubadilishana uzoefu tu, kasoro kwa wale ambao hawajajitosa kikamilifu...
  12. Hatua sahihi za mtiririko rahisi wa kumuaminisha mungu mtu asiyeamini.

    Kwa wanaoamini mungu huu ni muongozo wa kuwafanya wasioamini mungu(atheists) waweze kumuamini mungu 1. Thibitisha kuna supernatural (nguvu kuu iliyo zaidi ya nguvu za asili) 2. Thibitisha hiyo nguvu kuu ni mungu tena mwenye nafsi na utashi (personal god) 3. Thibitisha huyo mungu anataka...
  13. Bashe Atunukiwa Tuzo ya Sera Bora za Mifumo ya Kilimo.Amedhihiridha Alikuwa Mtu Sahihi Wa Kusimamia Wizara ya Kilimo

    My Take Nilitoa ombi Kwa mamlaka la kumteua Makonda Wizara ya Kilimo lakini halijafanikiwa. Narudia tena kuwaombea wahusika watubadilishie Uongozi wpale Wizara ya Kilimo Kwa sababu walioko wameshindwa kuwalinda Wakulima na hatusikii tena ajenda za kuwalinda Wakulima Wadogo hususani kwenye...
  14. Afande Sele: Si sahihi Waziri Katambi kumuita Dudu baya kwenye Meza walipokaa wenye tuhuma za Ushoga

    Wote tunajua Dudu baya anapinga ushoga kwa kauli mbiu ya You better watch your back Afande amekosea kitendo cha Waziri wa mambo ya ndani, kuwaita mashoga kwamba ni Wasanii na akawaita wakutane naye. Humo humo kwenye mashoga akaita na wasanii ambao ni kioo cha jamii. Pia kuna watu si wasanii...
  15. Umuhimu wa Mahali Sahihi

    Ukiwa sehemu ambayo sio sahihi, hata utoe kilicho bora zaidi kwako, wala hakitatosha. Lakini ukiwa sehemu sahihi, uwepo wako tu unatosha kuwa sababu ya kusherehekewa na kuthaminiwa.
  16. Masauni Ashiriki Kikao Kujadili Afya Ya Udongo Na Matumizi Sahihi Ya Mbolea

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) akizungumza wakati wa kikao kilichokutanisha viongozi kutoka matifa mbalimbali katika Ubalozi wa Uingereza nchini Mongolia. Kulia ni Mwakilishi Maalumu wa Uingereza nchini Mongolia Bi...
  17. M

    Hii ndio list ya candidates wanaomfaa Rais kukaimu nafasi ya Vice President, Hawana Dramas, watakwenda nae bega kwa bega

    N:B: inawezekana kwa mara ya kwanza Rais na Makamu wake wakawa wote wanawake kama Namibia. Kwavile Rais ni Mkristo, kuna uwezekano mkubwa ataweka balance kumteua Makamu wake Mksristo MWIGULU GWAJIMA PAUL MAKONDA RHIMO NYANSAHO
  18. Ni sahihi gazeti la mwanahalisi kufungiwa??

    Kusema NCHIMBI ngoma kujiuzulu? Walipwe fidia wafunguliwe ama inakaa vipi hivii wakuuu
  19. Tanzania bado haijapata vyama vya upinzani sahihi, vilivyoko ni vya harakati na watafuta riziki

    Tanzania tuna vyama vya upinzani ambavyo viongozi wake wanaweza kuhamia CCM wakati wowote kama "mazingira " yataruhusu wao kuhamia. Mfano ya viongozi waliohamia CCM ni mingi sana tukianzia na Prof. Kitila. Wananchi wamekosa imani na vyama Tanzania tuna vyama vya upinzani ambavyo viongozi wake...
  20. S

    Je, hatua hii ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani?

    Japo mimi sio nwanasheria, ila najiuliza kama ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani kutoa ushahidi kwani alishawataja katika hatua za awali na mawakili wa Serikali hawakupinga. Sasa swali: Kama hawakupinga mashahidi aliowataja Lissu katika mahakama ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…