sahihi

  1. MamaSamia2025

    Fanya maamuzi sahihi kuhusu upande utakaokuwa tarehe 29

    Pande ni mbili tu. Uwe mpiga kura au mwandamanaji haramu. Uamuzi ni wako. Ukiwa mpiga kura utaenda kituoni na kupiga kura kisha kurudi kwako kwa amani. Ila ukiwa mwandamanaji haramu utakutana na polisi wakiwa tayari kukuzuia kufanya huo upuuzi. Waandamanaji haramu wenye bahati wanaweza rudi...
  2. M

    Ni wakati sahihi wa kupata CDF au IGP Mzanzibari, hakuna kinachoshindikana

    Sioni ikishindikana kwa afya ya muungano kuwepo CDF au IGP kutoka Zanzibar.
  3. Raia Fulani

    GE2025 Ni sahihi mjumbe wa nyumba kumi kunifuata nyumbani siku ya uchaguzi tuongozane naye kituo cha kura?

    Mgombea wa ccm jana alitoa wito kwa wazazi kubeba familia zao kuelekea kupiga kura. Zaidi akasema mabalozi wa nyumba 10 wahakikishe wanawapitia wakazi wake kwenda nao kuipigia ccm kura. 1. Nauliza, kauli hiyo ni sahihi? Kama mimi sio mwanaccm nitaenda kumpigia nani? 2. Kama sera za wale...
  4. M

    Je ni Upi Muda Sahihi wa Kumchumbia Mwanamke unayetamani awe Mke

    Habari zenu Wakubwa! Mimi ni kijana niliyefikia umri wa kutaka kuoa Sasa,nimempenda mdada ndani ya muda mfupi na anaonekana ana sifa zote kabisaa. Kwa mliokwishaoa,Kwa uzoefu wenu ni kipindi Cha muda gani chatosha kujiridhisha ya kuwa mwanamke Fulani atosha kuwe mke na Kwenda kwao...
  5. A

    KERO Hela ya internship tunayopewa sio sahihi

    Sisi wanafunzi tulisoma Bsc in Clinical nutrition & Diabetics tunaomba serikali pamoja na baraza la Madaktri (MCT) wakae na kupitia muundo wetu wa Mishahara haiwezekani nisome miaka 4 alafu internship nilipwe 600,000/= kiwango hiki cha malipo kinatokana na nini? Ikiwa wenzetu wanao soma Bsc in...
  6. Mafunzo ya Udereva

    Je hiki walichofanya CCM ni sahihi ?

    Hii ni sahihi?. Kuwavisha wanaCCM mavazi haya ili kupumbaza wananchi?
  7. Yoda

    Ni sahihi mtu kuichukia nchi yake ya asili aliyozaliwa au ya wazazi wake?

    Kuna watu mtandaoni wanasema ni bora kujiua kuliko kurudi au kurudishwa kwenye nchi zao za asili!
  8. OLS

    BoT kushinda award ya Global inclusion ni sahihi au ni uchawa wa kimataifa?

    Benki Kuu ya Tanzania imeshinda Global Award of Financial Inclusion. Ikumbukwe Tanzania sio nchi inayoongoza kwa unafuu wa Financial Inclusion tozo nyingi, na namna ambazo zinazidi kufanya watu wasipende kutumia namna za kidigitali za kutuma fedha. Haya mambo haya yananistaajabishaga sana basi...
  9. TODAYS

    GE2025 Ndg Wakili, Mwanasheria, Hakimu na Jaji, Hebu Mtueleze Wananchi ni Sahihi?

    Ni sahihi polisi kupiga raia wakiwa ndani ya viunga vya mahakama?. Kama si sahihi mnanipa ushawishi gani kumwambia kijana wa kitanzania sheria ni msumeno na mahakama ni kimbilio kwa waliokosa haki?. Funguka ndg mtajwa hapo juu, usiogope wala kupata tashwishwi juu ya yote. Nawasilisha kutoka...
  10. Eli Cohen

    Je, Botha alikuwa sahihi kuhusu sisi watu weusi au basi tu alikuwa anacheza "MIND GAMES"?

    Botha aliwahi kuwa raisi wa afrika kusini wakati wa utawala wa kibaguzi. Haya ni baadhi ya maneno aliyoyasema katika hotuba yake inayojulikana kama "the rubicon speech" ALISEMA: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki...
  11. A

    DOKEZO Ni sahihi mwananchi kutozwa fedha ili apate Anuani ya Makazi (NaPA)?

    KUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - Anuani ya Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufuatilia hiyo NaPA unaambiwa utoe Shilingi 10,000/= ili uweze kuhudumiwa. Kupata hiyo NaPA katika Ofisi za...
  12. Equation x

    Je, kumtafuta rafiki yako, kipindi ukiwa na shida tu ni sahihi?

    Wakati mambo yanaenda vizuri kwako; kiajira, kibiashara au kimahusiano, hukuweza kumtafuta rafiki yako. Ila baada ya mambo kukwama; kwenye ajira, biashara, mahusiano n.k ndio unaanza kumtafuta rafiki yako akupige jeki; Je hii ni sahihi?
  13. GENTAMYCINE

    Vipi hapa Rafiki yetu Msema Ukweli yuko sahihi au leo kakosea?

  14. Judister Gabriel Mlawa

    Kuna muda kukimbia pia ni USHAJAA. Chadema kukimbia uchaguzi ilifanya uamuzi sahihi

    Moja kati ya falsafa kwenye medani za vita ni kukimbia ukiona unaelekea kushindwa kuliko kuendelea na kuishia kusambaratishwa. If you run away, you have lost the battle, not the war. Kwa sababu, unaweza kurudi nyuma tena na kupanga mashambulizi na kurudi tena kwenye uwanja wa vita. Kwa hiki...
  15. Eli Cohen

    Je ni sahihi huyu mwamba kuwapa watoto wake adhabu ya namna hii?

    😂
  16. fact only

    Marekani sio sehemu sahihi zaidi Kwa malezi

    Habari wakuu. Hapa kariakoo nina marafiki kadhaa ambao Kwa asilimia kubwa wameishi Marekani tabia/mwenendo yao inasikitisha na kutisha at the same time they have a Terrible/Awful/Terrifying/Horrible Behavior. Further more hata baadhi ya watoto wao wa huko nao ni vile vile mfano watoto wa Will...
  17. Mafunzo ya Udereva

    Utaratibu wa kuanzisha kiwanda upoje, je ni sahihi mtu kuweka kiwanda katikati ya makazi ya watu ambacho kinazalisha environmental pollution?

    Leo , nipo kawe katika Siasa . Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution. Je ni sahihi naomba watu wa mazingira tuwasiliane haraka.
  18. M

    Polepole yuko Sahihi. TUME inataka kumpa Mwalimu kura kadhaa za Bure

    Kuna mpango wa ovyo wa Kumpa Salum Mwalimu kura kadhaa za kubumba huyu mtu ili wapate wabunge wa viti maalum kadhaa na wabunge wa ovyo ovyo Ndugu Watanzania sio Siri tena kwa namna yoyote Mpina angekuwa ana kura nyingi sana kuliko huyu mgombea wa Chauma na pengine angemzidi mgombea wao kwenye...
  19. Stability

    Jana pameandikwa uzi kuwa wanaume wengi siku hizi hatupigi mswaki wala kuoga, je ni sahihi pia kusema wadada nao wamekuwa wachafu kwenye maungio yao?

    Msnipige ban kabla sijaoga jamani..
  20. Griss

    Kulikoni mradi wa kilimo Cha mahindi wa Jakaya Kikwete wayeyuka?

    Huyu mzee si akalime Kama zamani? Hapa ni 2017 alijifanya analima kumbe anapanga mambo yake. Huyu mzee😀😀
Back
Top Bottom