The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.
*UCHAGUZI TUNASHINDA KWA TECHNICALITIES NA KWA KURA.*
Na Elius Ndabila
0768239284.
Wakati mchakato wa uchaguzi ukiwa unaendelea, basi ninataka niwakumbushe mbinu za ushindi kwenye chaguzi zozote za kidemokrasia. Uchaguzi wa kidemokrasia Unaweza kuwa na mbinu nyingi za kushinda hasa sheria...
Raisi Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuagiza kwamba magari yaliyotaifishwa kuhusiana na kesi za uhujumu uchumi yagaiwe kwa taasisi za Serikali kwa sababu mbili kubwa zifuatazo;
Haya magari mengi ni ya zamani sana, zaidi ya miaka 10, na mengi yalinunuliwa kama used vehicles. Wamiliki binafsi...
Afisa wa Tume anayehusika na habari na Mawasiliano, punde ametoa ufafanuzi kumtu Kupitia TBC1 kuhusu wagombea waliowaiting room kuwa, kuchelewa kwa baadhi ya wagombea kuingia chumba maalum cha uteuzi/kupokelewa fomu zao kunatokana na zoezi la uhakiki wa fomu zenyewe na uhakiki wa wadhamini. Tume...
Kundi fulani kukataliwa kwa kisiasa, kama vile utiaji mgongo kwa makusudi ikiwemo ukosefu wa haki za kisiasa, kunatoa motisha nyingine inayofaa ya kuamua kufanya vurugu. Machafuko mengi hutokea kama vikundi (lakini huwa ni vikundi vya kisiasa ambavyo vinataka uhuru wa utawala kwenye serekali...
Ni mambo machache ambayo huwa naipongeza serikali ya raisi Magufuli, na suala la kukarabatiwa kwa reli ya kwenda mikoa ya kaskazini, hususa Tanga, Kilimanjaro (Moshi) na Arusha litakuwa mojawapo. Hongereni sana.
Hata hivyo, nataka kumkumbusha Raisi Magufuli na serikali yake, na mashabiki wake...
Ukiwa mfuatiliaji wa wanadiasa washika dola duniani kote ni vigumu mno kwa wanaharakati kushika dola sababu huwa hawana uwezo kabisa wa ku mobilize makundi yote katika jamii yswapende na yawaunge mkono kuwapa dola
Makundi hayo Ni Kama viongozi wa kiserikali, mahakama,taasisi za kidini,vyombo...
Sababu hizi hutoweza kuzisikia kwa Senzo wala MO mwenyewe. Labda wawe wamelewa ndo wanaweza kuropoka, lakini sio wakiwa wazima na akili zao. Hii ni kutokana na Jinsi sababu yenyewe ilivyokaa.
Kuna Mdada, Binti, M Mama anaitwa BARBARA. Huyu ni "msaidizi" wa MO, lakini inawezekana kabisa ni zaidi...
Mgombea urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amefurahishwa sana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa CCM na kuwapa pole wote waliokatwa kwa sababu walikuwa karibu naye.
Membe amewakaribisha wale waliokatwa kujiunga na ACT-Wazalendo ili safari iendelee.
Ameandika katika akaunti yake ya...
Ndugu zangu,
''Ukweli mchungu'', hata ukimsikiliza Tundu Lissu yeye anazungumzia ''mikataba'' ''sheria'' huku waziwazi akipuuza uboreshwaji wa elimu, afya, huduma za jamii na miundombinu ya msingi. Hii si bahati mbaya, familia yake inapata huduma za afya, elimu na malazi kutoka Ubelgiji.
Leo...
Kitu pekee tunachojifunza kwenye historia ni kwamba hakuna tunachojifunza kwenye historia, hiyo ni kauli aliyowahi kuitoa Mwanafalsafa Hegel.
Ni kauli nzito na inayopaswa kutufundisha mengi, lakini kama Hegel alivyoeleza, haitufundishi chochote.
Iko hivi rafiki, hakuna kitu kipya kinachotokea...
Nimefuatilia kwa ukaribu na kufahamu sababu nyingi sana zinazofanya ACT-Wazalendo na CHADEMA kuchelewa kuamua kuungana na kuunga mgombea mmoja wa Urais ama hata kutoungana kabisa.
Kwa sasa nitaweka hapa chache ila nikipata mda nitaandika Zaidi.
1. Sababu kubwa kabisa ni nani asimame kati ya...
Mbunge mtetezi wa jimbo la Mtama Nape Nnauye amesema haogopi jina lake kukatwa kwa sababu amesoma vizuri na ana elimu ya uhakika.
Akiongea kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape anasema yeye siyo mnafiki na yeyote atakayemletea " za kuleta" kwenye kampeni za Ubunge atamshughulikia hapo hapo...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametaja sababu ya baadhi ya mabalozi kurejeshwa nyumbani muda mchache baadaya uteuzi kuwa ni kutokana na kushindwa kufanya chochote katika kutangaza utalii wa nchi.
Majaliwa aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam kwenye hafla iliyoandaliwa na viongozi wa dini...
Mwaka 2010 nilipiga kura kwa mara ya kwanza, sio kwa sababu umri ulikuwa umefika, ila kwa sababu ya ku-test kinga ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) katika masuala ya Urais kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (ibara ya 74). Matokeo ya Urais hayahojiwi wala kuchunguzwa katika...
Huu ndio ukweli wa wazi kabisa, kwamba kauli za polepole kwamba waliotoa rushwa watafundishwa adabu zichukuliwe kama porojo za kunogesha mazungumzo yake tu, hazina ukweli wowote na hata kwa cheo alichonacho hana mamlaka ya kumuengua mtu yeyote kwa tuhuma zozote (soma majukumu wa katibu mwenezi...
Habari wakuu,
Kabla sijaenda moja kwa moja kwenye swali langu naomba nijieleze nilivyo
Mimi binafsi sipendi kabisa kuhaibika huwa najiepusha sana na mambo ambayo yanaweza kumuaibisha mtu, kuongea hata vitendo
Imeafika steg hadi nikienda toilet nakagua mara nyingi kama choo kisafi baada...
Mchakato wa kupata tiketi ya kugombea Urais ni kwamba unatakiwa upitishwe na chama na baada ya kupitishwa na chama unaenda kutafuta wadhamini katika mikoa ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar.
Kilichotakiwa ni kupata wadhamini kwa wanachama wa chama chako na hii haiitaji kupiga makele mengi au...
Hakika ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni! Wahenga walinena! Na Mimi pia narejerea usemi usemao "Usiache Mbachao kwa Msala Upitao" Ama kwa hakika alichokifanya mwendesha shughuli Adam Mchomvu pale Uwanja wa Uhuru kwa kumramba teke watoto wa mjini wanasema"Mtama" mwanamuziki Mbasha siku ya...
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Siku nyingine ya maumivu makubwa kwangu.mi mwaka huu ntakufa tu kwa presha. Mikia mmekuwa wahuni na wakatili sana. Sijapata ona watu wakatili kama nyinyi.
Mmemchukua Morrison mmemchukua Bwalya.tumemtafuta sisi siku zote. Midfielder kisheti, mchezaji wa Chipolopolo. Sisi Yanga ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.