Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais
Nitafuta
Kamali
Simba
Yanga
Ccm.
Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja .
Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
Kuna picha Rais Samia alipiga na team nate wa Chilunda
Ile picha mkono wa Rais ulikaa kwenye bega la Chilunda
Picha moja nzuri sana
Nasikia wenzake walimuonea sana wivu.
Baada ya hapo kesho yake hakuweza hata kupiga danadana mbili
Kutuliza mpira pia ilikuwa shughuli.
Sasa hata hajulikani...
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupata ripoti nzuri ya CAG kwa jumla,
Bwana David Kafulila anasema Rais Samia na katika Kipindi chake...
Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu ameonyesha matumaini makubwa ya "freedom is coming tomorrow" na sera ya "No reform No election"
Katika...
1. Mheshimiwa Rais Mkapa aliweka utaratibu wa kuhutubia/kugombeza Taifa kila mwisho wa mwezi.
2. JK akajaribu hakufanikiwa.
3 (a) Shujaa ndo vile tena!.
(b) Ni utaratibu mzuri kuelezea masuala ya Kitaifa kuliko kusubiria matukio ya msimu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametoa mkono wa Eid El Fitr kwa Wananchi wenye mahitaji Maalum wakiwemo Yatima, Wajane, Wazee na watu wenye ulemavu katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar, tarehe 31 Machi 2025.
Aidha, Rais Dkt.Mwinyi baada ya kutoka...
Huu Sasa Ndio Uislam, sio ule Uhuni wa Kutangaza Amani Amani huku HAKI imefichwa.
Ni sawa tule twanafunzi, Kila kukicha "Mama asamewe" alafu tunashindwa hata kukaa na kujadili Report ya CAG.
====
Shura ya Maimamu Tanzania ikiongozwa na Sheikh Ponda Issa Ponda imengumza kuhusu;
Kutoweka...
Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu ni mtu muhimu sana kati ya Rais na vyombo vya habari.
Mtakumbuka Rais Samia alivyoingia tu madarakani alimteua Jafari Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu kabla ya kumtengua na kumteua Zuhura Yunus.
Baadae akamteua Sharifa Nyanga kuchukua...
Wakuu
DJ maarufu wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, RJ The DJ, ametangaza ziara yake ya muziki inayojulikana kama "RJ The DJ Mama Tour", ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kaulimbiu ya "Naungana na Mama, Mitano Tena."
Ziara hiyo itapita katika mikoa...
Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025.
https://www.youtube.com/live/Hb63c_TjKB8?si=wqlP3wcHwx2apfo2
Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuhu Jabiri, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki...
Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa.
Mwaka 2011, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kusema waziwazi kuwa “Watanzania tumejaa visingizio...
Wanabodi
Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Karibuni
https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu
Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
WAKENYA wanaendelea kutoa hisia zao kufuatia kauli tata za Mkuu wa Majeshi (CDF) Jenerali Charles Kahariri na Mkurugenzi wa Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS), Noordin Haji, kuwaonya raia dhidi ya tamko maarufu la ‘Ruto must Go’ (Ruto lazima aende).
Wanasiasa, viongozi wa mashirika ya kijamii...
Kutokana na report ya CAG ya mwaka 2025 hivi ndivyo mashirika ya Uma yanavyonufaika na 4R za Mh Rais wetu mpendwa.
1.TTCL wao wameona namna nzuri ya kunufaika na 4R za Mh Rais ni kupandisha hasara kutoka billion 4.32 mwaka 2022 hadi billion 27.7 mwaka 2023.
2.TRC wao wameupiga mwingi zaidi na...
Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho.
Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu...
Kuna umuhimu gani wa kwa wakurugenzi wote waliorekodi hasara kubwa katika mashirika ya umma wanayoyaongoza kuendelea kuwa kazini? Hakuna uwajibikaji katika utumishi wa umma kabisa na ukichunguza kwa undani hasara nyingi katika mashirika ya umma yanasabibishwa na ufisadi, uzembe, wizi ikiwepo...
Rais wa Burkina Faso 🇧🇫Ibrahim Traoré ni mtu wa boli kweli kweli, hapa akiwa anacheza na wakongwe wa boli kwenye mchezo wa kirafiki akiwemo fundi wa Mpira kutoka Nigeria Jay-Jay Okocha, Emmanuel Adebayor na wengine.
This is too funny!
Kungekuwa hakuna video mtu anaweza kubisha na kusema huo ni utani.
Ila, huo si utani. Ni kweli kabisa.
Jana Rais Trump kawafuturisha wafuasi wa mtume Mohamed 😂.
https://youtu.be/U1_KUdYkuEg?si=aQi-sV-a4zNLG_W2
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.