Habari wanajukwaa.
Binadamu alie na madaraka au mamlaka au Nguvu hua anataka kukumbukwa vizazi na vizazi hata baada ya Mamlaka aliyonayo kuisha hii hulka ni toka enzi na enzi.
Sa anakumbukwa vipi maana kama Nguvu anakua hana Tena za kutoa Amri so hapo njia pekee hua ni kuandika kitabu au...
https://www.youtube.com/live/2qqTsst4p7A?si=-AST3P5ebKD9C8hX
Huyu dogo katika umri wake wa miaka 37 lakini ana ufahamu na uelewa wa hali ya juu sana..
Jamaa unaweza kudhani ni kama wanajeshi wengine tu ambayo wengi wao ni weupe kichwani zaidi ya kujua kubeba na kutumia bunduki tu..
Lakini...
Ndg zangu Watanzania,
Hivi mmesikia maajabu ya Ubia (PPP) yanayotokea kule Bandarini?!!
Mmesikia leo kutoa mzigo Bandarini ni siku tatu tu wala sio siku kumi (10) tena?!!
Lakini sihivyo tu kwani hamjasikia leo meli hazichukui tena siku 46 ili kutia nanga Bandarini badala yake zinachukua...
RAIS DKT. MWINYI ABEBA GHARAMA ZOTE UWANJA WA AMAAN COMPLEX MECHI YA SIMBA DHIDI YA RS BERKANE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa Zawadi Maalum kwa timu ya Simba Sports Club kwa kugharamia matumizi ya Uwanja wa New Amaan Complex bila...
Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?
Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.
Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.
Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.
Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.
Sasa...
Nimekuwa mfuatiliaji wa taarifa za viongozi wanazoweka katika kurasa zao binafsi za kwenye Chanel za WhatsApp.
Hizi kurasa ni mbali na zile zinazotangaza kazi rasmi za ofisi zao.
Naomba nitoe mfano wa kurasa hizo na baadhi ya viongozi kabla sijaeleza Makosa ninayokusudia yarekebishwe.
Kwenye...
Rais Samia apongezwa ndani ya Bunge la Seneti la Kenya kwa kuwashughulikia wakenya wasio na nidhamu.
Hakika Samia kaonyesha hacheki na wowote, kapongezwa ndani ya Bunge la Seneti la Kenya.
Kumekuwa na wimbi la baadhi ya watu kusema Rais hafanyi vizuri nk
Napendekeza watu wataje mambo matano ambayo Raisi angeyafanya ungeona kabisa huyo ndio chaguo lako. Pengine utaje na mambo matano ambayo ungetamani Rais ayafanyie kazi (tumia lugha ya staha tafadhali/ bila matusi) Mimi pia...
Nchi imefunguka kisawa sawa, dunia yote macho kwa Tanzania, Tanzania hii sasa, kwa kuwa ina heshima yake, basi tuifungue na tuidumishe heshima yake sambamba.
Ujio wa wageni mbalimbali kwenye kesi ya Lissu, ni moja ya mapokeo au matunda ya ufunguzi wa taifa letu kwani nathubutu kusema...
Rais Samia Suluhu Hassan ameiomba Wizara ya Mambo ya nje, Wizara ya Mambo ya Ndani na vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua za haraka kwa wanaotumia mitandao na teknolojia vibaya, akikemea pia wingi wa wanaharakati kutoka nje ya nchi wanaojaribu kuingilia mambo ya ndani.
Rais Samia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 na barabara zake unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66 utakaofanyika tarehe 19 Juni, mwaka huu.
Hayo...
Kwako rais Samia:
Aibu hii ya nini? Lissu ni kama Yesu mbele za Pilato. Hana hatia.
Wanaopaswa kukushauri kuachana na kesi hii wanasubiri uangukiwe na jumba bovu.
Utakuwa mgeni wa nani kwa mwendo huu?
Achana na kesi hili la kubumba. Wawajibishe wote wasiokutakia mema.
Acha haki...
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andreas Bjelland Eriksen - Waziri wa Hali ya Hewa na Mazingira wa Norway.
Mazungumzo hayo yalilenga ushiriki wa Tanzania katika COP30 na majadiliano kuhusu taka za Plastiki, yalifanyika katika Ofisi...
Wakuu!
Wanavyuo wa mkoa wa Iringa ambao pia ni Wanachama wa Kampeni ya 'Mama Asemewe' katika kongamano kubwa la wanavyuo lililofanyika katika mkoa huo lililobeba jina la Kongamano la Tafakuri ya Wasomi na Miaka minne ya Rais Samia.
Ndugu zangu Watanzania,
Huu ni Ushindi wa kihistoria,Ni Ushindi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini...
Kama Hamas ni watoto wa Mbwa, Basi maana yake Hamas ni Mbwa? Kwa nini Mahmoud Abbas anasema hivyo? Je kama hawa Hamas ni Mbwa na ndugu zao je? Maana wana watu ambao huwa wanawatetea na wao wanaishi huku Tandale kwa Tumbo na Mburahat wanasemaje...
Viwanja vitaboreshwa vitawekwa nyasi za kisasa na sio kapeti, viti vitakua na namba, vitakuwa na mapaa, vyoo vitakua visafi, kutakua na VAR, vitakuwa visafi na hakutakua na mechi ya saa nane sababu viwanja vitakua na taa mechi zitaanza saa 11 jioni
Multiplier effects ya mpira ni kubwa sana kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.