rais

  1. JamiiForums Tanzania Hakuna Rais aliyefikia hata robo ya viwango vya NYERERE

    Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe 1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20) 2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10) 3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10) 4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10) 5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: "Tusilazimishe Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama Kufanya Mengine"

    Mengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hamad Masauni atakuwa Rais wa Zanzibar baada ya Dkt Husseni Mwinyi kumaliza muda wake 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030. Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni...
  4. JamiiForums Tanzania Ni Historia Rais Samia Afungua Rasmi Daraja la J.P. Magufuli Kigongo-Busisi, Mwanza

    NI HISTORIA RAIS SAMIA AFUNGUA RASMI DARAJA LA J.P. MAGUFULI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelifungua rasmi Daraja la J.P. Magufuli lenye urefu wa kilomita 3 na barabara unganishi zenye urefu wa kilomita 1.66 linalounganisha Wilaya za Misungwi na Sengerema...
  5. JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu bado nitaungana na Eng. Hersi kwamba Wallace Karia kuendelea kuwa Rais wa TFF

    Habari JF , nadhani soka letu la Bongo limetoka mbali sana lakini binafsi naona katika uongozi wa Karia tumepiga hatua sana hasa katika mambo yafuatayo :- 1.Ligi imepanda viwango na umaarufu , hili limepelekea timu kuongezeka katika ushiriki kimataifa . 2.Timu zinadhamika , wadhamini...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani inaweza kumuua Ali Khamenei, ni "easy target" inajua wapi yupo ila haitafanya kwa sasa

    Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa Marekani inaweza kumuua Supreme Leader Ali Khamenei kwasababu ni "easy target" na inajua wapi alipo ila haitafanya kwa sasa ====== Trump: US could kill Iranian leader but won't - "for now" Donald Trump says the US knows where Iranian Supreme Leader Ali...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia akiwahutubia Wananchi wa Busega, Juni 19, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Busega Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 19 Juni, 2015 https://www.youtube.com/watch?v=j2aFvrKFZxM Rais Samia Suluhu Hassan akifungua mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega...
  8. JamiiForums Tanzania UPDATE yangu kuhusu Tetesi za Rais wa Rwanda Paul Kagame kuugua na kufa huko Munich Germany

    Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na...
  9. JamiiForums Tanzania Kama rais "anapeleka" fedha nchi nzima, Serikali itapeleka lini na kwanini Rais na siyo Serikali?

    Nimemsikia naibu waziri ofisi ya Rais Serikali za mitaa Dkt. Festo Dugange Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa nakisema kuwa mheshimiwa rais amepeleka pesa nyingi kwenye maeneo mbalimbali. Kama rais ndiye anatoa pesa "yake", hii pesa ya umma inayotengewa serikali inakwenda wapi? Je...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nakusanya Speech Za Rais SSH akiongolea mustakabali wa Tanzania

    Moja kwa moja kama ilivyo kwenye kicha cha habari hapo juu, yeyote aliye na speech zilizoandikwa za rais akiongelea kuhusu mustakabali wa maendeleo ya taifa letu tukufu, basi anaweza kutuwekea hapa ili tuweke kumbukumbu sawa.
  11. JamiiForums Tanzania Mbona ni kama Rais Samia kaanza kampeni tayari?kwa nini hachukuliwi hatua na mamlaka?

    Huyu mtu anayoyaongea kwenye mikutano yake ni kama vile tayari kaanza kampeni. Naomba achukuliwe hatua tafadhali.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tumeona tangazo la Marekani, Tumeanza kufanya Mashauriano

    Kufuatia taarifa ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu la kutaka nchi 36 kutaka kufanyia kazi baadhi ya mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kuzuia raia wa Kitanzania kuzuiwa kuingia Marekani Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema " Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Binafsi sijaona kibaya alichokisema Mpina mbele ya Rais Samia

    Jana katika ziara ya Mhe. Rais katika Wilaya ya Itilima Mhe. Mpina Mbunge wa Kisesa alipewa muda kusema machache kuhusu Jimbo lake la Kisesa. Mhe. Mpina alisema kero za Jimbo lake likiwemo kwa nini mnunuzi wa pamba anakuwa ni mmoja katika kila Wilaya jambo ambalo ni la msingi. Pia Mhe. Mpina...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia angekuwa anakubali kukosolewa na wale anaodhani wanamchukia na kutoukubali mtandao wa Machawa unaommiliki huenda angekuwa Rais bora Afrika

    Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye...
  15. JamiiForums Tanzania Inamaanisha nini wananchi kumshangilia zaidi Mpina kuliko Rais Samia?

    Habari wakuu, Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa. Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Rais wetu ni lazima tumlinde

    Pamoja na yote yanayotokea ila ni lazima Rais wetu tumlinde kwa nguvu zote. Rais ni tunu ya taifa, hivyo alindwe kwelikweli. Naipongeza sana PSU & TISS kwa kazi nzuri ya kumlinda Rais wetu.
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia kateleza ulimi. Kazi ya Mbunge si kuleta maendeleo wala kutoa huduma

    Rais Samia kateleza ulimi alipokuwa anatoa ufafanuzi wa hoja za Luhaga Mpina. Kazi ya Mbunge si kuleta maendeleo wala kutoa huduma kama alivyodai. Bali mbunge ni mwananchi anayewawakilisha wenzake Bungeni. Mbunge ni mwakilishi wa wananchi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya DENI LA MAMA Kufikia T 107 , Rais kaja na Gia ya 'Tulipe Kodi huko nje mashariti magumu", Ukweli ni kua DENI libakaribia Kufikia !!

    Wakuu hizo Kauli za Leo ni sawa na Hadithi ya Sungura sizitaki Mbivu hizi !!. Rais Samia baada ya Mitandao kumuonyesha kua miaka yake mitano anayoipigania Kwa Nguvu zote, Kasi yake ukopaji italifanya Deni la Mama kufikia Trillion 180 kufikia 2030, Sasa ameamua kuja na Gia ya kwamba huko nje...
  19. JamiiForums Tanzania Hersi Said: Wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia

    🎙ENG. HERSI KUHUSU KARIA 👇 🗣"Nikuhakikishie sisi kama wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia na Kamati ya utendaji, nipongeze wazo zuri ambalo kaka angu Mangungu amelitoa na mimi naliunga mkono kwa asilimia 100%, sisi wajumbe wa mkutano mkuu tumelipitisha."- Eng...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tumepeleka fedha nchi nzima kwa ajili ya miradi ya serikali

    “Kwa mfano leo hapa Bariadi kuna miradi sita ya kufungua na yote ni kwa sababu serikali ilikuwa na fedha, tumetawanya fedha za kufanya miradi hiyo. Ni makusanyo ya ndani. Miradi yote tumejenga wenyewe isipokuwa mmoja ndio wa mtu binafsi niliokwenda kuufungua asubuhi leo. Lakini mitano yote ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…