rais

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunaomba VPN unayotumia kuingia mtandao wa X

    Mh. Rais wetu shikamoo Mama. Nimejaribu kuingia twitter au X kukutetea dhidi ya hawa wanao comment no Reforms No Election lakini nimeshindwa sababu imefungiwa Tanzania. Nina dhamira ya kwenda kupambana na hao Kenge, Wapuuzi na Walevi. Ombi langu kwako Mama nisaidie kupata VPN unayotumia nami...
  2. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia hajawahi kukanusha Maneno yake ya Oktoba 17 2020 Pale Chunya,Ni Mwendawazimu Pekee ndiye atakayepoteza muda wake kwenda kupiga kura

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Akiwa Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan alinikuliwa akitamka maneno ya Kejeli,dhihaka na dharau Kwa wapiga kura wa Chunya Mkoa wa Mbeya ! "Msipigie kura chama kingine,kwasababu hata mkipiga kura kwingine CCM inaenda kuunda serikali,CCM watashinda...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT Makete lamzawadia Rais Samia Tuzo ya Amani na Umoja

    Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia. Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
  5. mshale21

    JamiiForums Tanzania Leo Rais Samia yupo msikitini akitumia haki yake ya kuabudu, ila kuna watu wamenyimwa haki ya kuabudu

    Inaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya kumwabudu Mungu kwa kufungiwa kanisa. pengine najiuliza, au ilionekana kinachoendelea kule ni...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!

    Wanabodi leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua kuzungumzia tena hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma-...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Mwigulu mchemba nani boss wa mwenzake?

    Nashindwa kuelewa Rais samia anamuogopa Mwigulu mchemba,au wako pamoja katika mision zao au ni nyingi sana, maana ukimsikiliza Mpina jinsi anavyolalamika kuhusu huyu waziri wa fedha halafu Rais kakaa kimya hachukui hatu yoyote ile tofauti na reaction iliyoichukua baada ya Gwajima kuliongelea...
  8. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Video: Afrika inahitaji Rais kama huyu

  9. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi Mama mzazi wa Rais wa Mamlaka ya Palestina, Mahmoud Abbas, ni Myahudi

    Wadau hamjamboni nyote? Ndiyo maana rafiki wa Mayahudi Ni tetesi mwenye taarifa kamili aje atujuze. Tazama taswira yake
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia achangia Milioni 150 na wafanyakazi ofisi yake wachangia milioni 100 Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT

    Rais Samia akishiriki Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maluum Kanisa la KKKT Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam, leo tarehe 5 Juni, 2025. =============================== RC Chalamila: "Nikupe pole Rais Samia. Tunaona kwenye mitandao wachache katika Taifa...
  11. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nikukumbushe tu, mtangulizi wako alianza nao vyema kama wewe, ulimponda kwa mabaya yake leo yamekukuta

    Ushauri wangu ni kwamba nchi yetu haina special person(specialized) wengi katika taaluma tofauti mfano Siasa ila ina mashabiki wengi baadhi yao wapenda udaku,mipira na wengine wapenda umbeya wa siasa(hawana taarifa ila ni waropokaji kwa taarifa wanazopatiwa). Ukitaka kutambua hili kuna mtu yupo...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kila rais anayetoka madarakani aache amelipa madeni yake,plz!!;

    Habarini, Ni vyema kila rais atokae madarakani aache amelipa madeni yake na pia kuwe na taarifa ya kutaka kukopa na ieleze kwanini serikali inakopa na baadae iseme imeutumiaje huo mkopo. Mawasilisha.
  13. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Tazama Namna Walinzi Wa Rais Samia Walivyo Makini na Umakini Kumlinda

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya...
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia ana damu ya kitanzania kweli?

    Naombeni tu kuwauliza waungwana. Mma uhakika kuwa Rais wetu Samia ana damu ya kitanzania. Hivi hizi kauli na matendo yanayoendelea dhidi ya watanzania zinaakisi kuwa yeye ni mtanzania? Naona hata kipindi Mbowe anashtakiwa kwa ugaidi ilikuwa ni hali kama hii tu sema hii ya sasa imekumba wengi...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DRC yapiga marufuku Vyombo vya Habari kutoa taarifa kumhusu Rais Mstaafu, Joseph Kabila

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Chalamila amemwambia Rais Samia Ridhiwani hamiliki vituo vya shell

    RC Chalamila leo amemwambia Rais Samia kwamba Ridhiwani hamiliki vituo vya mafuta na $750,000 oil tankers.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mimi kama Rais wa kijani nitasimamia reforms kwa miaka miwili ndipo tuingie kwenye uchaguzi mkuu 2027

    Hatuwezi Fanya uchaguzi Kwa kelele hizi zilizopo, Uminywaji wa haki ya kuchagua na kuchaguliwa utasababisha machafuko huko mbeleni na wananchi kukosa Imani na serikali!! Ni aibu kuona jeshi la polisi likizunguka kanisa na silaha za moto kana kwamba Kuna tishio la kigaidi!! Nitasimamia reforms...
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania TRUMP: Nampenda Xi Rais wa China lakini ni mgumu katika kufanya makubaliano Trump asema

    Bila shaka kuna vitu Trump kajifunza kuhusu Xi katika hivi vita vya biashara na ushuru mpaka tulipo fikia hapa inawezekana alikuwa ana mchukulia kawaida Rais wa China Xi kama anavyo vichukulia virais vya nchi masikini kama Tanzania. Donald J. Trump Truth Social 06.04.25 02:17 AM EST I like...
  19. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS na Wakili musomi Mwabukusi anapaswa awe Mwasheria wa Serikali

    https://youtube.com/shorts/FWDKb8Whcds?si=Pjlh0CNSjwXKsaA3 Ukisikiliza kwa makini Maneno ya huyu Wakili Musomi ndipo unaweza jua hii nchi haina Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Aliyeko pale ni kikaragosi cha CCM ili kutekeleza maagizo toka juu. Tafakari kwa kina.
  20. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Hivi kazi za national law societies hususan TLS ni vipi? Je, ni hizi anazofanya huyu Rais wa TLS ambazo hazina tofauti na zile za wanaharakati?

    National law societies, like the Tanganyika Law Society (TLS), primarily focus on representing and protecting the interests of the legal profession and the public. This includes advocating for fair conditions of practice for lawyers, ensuring access to justice for the public, and promoting the...
Back
Top Bottom