rais

  1. C

    JamiiForums Tanzania Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi! Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni Wanaoapishwa ni pamoja na; 1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
  3. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Katiba inasemaje kama rais aliyopo madarakani atakuwa mgonjwa na hawezi kusimama kwa kipindi cha pili?

    Ali Bongo amepata stroke na alikuwa kwenye matibabu kwa takriban miezi 18. Sasa hivi anajitahidi kuwashawishi raia wake kuwa anaweza kusimama tena katika uchaguzi ujao. Kebehi nyingi sana zilimuendea Tundu Lissu kuwa hawezi kuwa mgombea wa urais kwakua ni 'kilema'. Ikitokea rais aliyeko...
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kama kwa haya tunayoyaona Rais Magufuli mbali na taratibu, pia anavunja katiba waziwazi vipi kwa tusiyoruhusiwa kuona

    Kwa haya machache tunayoyaona, Rais wetu anavunja taratibu na kanuni waziwazi, vipi kwa tusiyoruhusiwa kuona? Tutazame haya machache: 1. Nafasi 10 alizopewa kuteua wabunge alivunja katiba tukapiga kelele mmoja akajiuzulu kisha kupewa ubalozi. Hata hivyo kujiuzulu kwa huyo mmoja hakukumoondolea...
  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kuna "kakikundi" ambako Rais Magufuli alikuwa nako pale TANROADS na anakatukuza sana, kulikoni?

    Haka ni kakikundi ka watu ambako Rais Magufuli alikuwa nako pale Tanroads na amekuwa akikatukuza sana. Imefika hatua hata wakitumbuliwa huku wanapelekwa kule. Aidha wengine nimeona wakipewa hata utukufu usio wa kawaida. 1. Mhandisi John Kijazi. Huyu alikuwa pale ujenzi kama boss na Rais...
  6. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameagiza Ifakara kuongezewa Kata na Halmashauri

    Rais wa Tanzania, John Magufuli. Rais wa Tanzania, John Magufuli ameagiza Halmashauri ya mji wa Ifakara kuongezewa kata na halmashauri ya Wilaya ya Kilombero kubadilishwa jina. Ametoa maelekezo hayo leo Jumapili Novemba 3, 2019 na kumtaka Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo kusimamia...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine alikuwa mchekeshaji.. Free Idris

    Kama ulikuwa hujuwi basi naomba ujuwe yakuwa Rais wa sasa wa Ukraine alikuwa ni mchekeshaji na tena alikuwa akifanya vichekesho vyake kwa kumuiga Rais alie kuwa madarakani. Hivyo Idrisa anahaki kama raia yeyote wa taifa kufurahia kaz yake nakututumbuiza Watanzania. Chuki haziwez haribu umoja...
  8. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mpinzani wa Rais Trump Mr Beto ajiondoa katika kuwania Urais 2020

    Pamoja na mbwembwe alokuwa kaanza nazo Mr Beto na kutangaza kuwa kazaliwa Kwa ajili ya Urais wa Marekani, ameamua kuachana na Mpango huo, Aidha Trumpa kaandika ujumbe Wa kumkejeli katika ukurasa wake Wa twitter "Oh no, Beto just dropped out of race for President despite him saying he was “born...
  9. T

    JamiiForums Tanzania RC sio msemaji wa Ikulu wala sio mkuu wa usalama wa Rais

    Naomba niseme kama raia wa Tanzania nakijana ambaye natafuta ili familia yangu ile nakunywa nimeumia yalio mkuta Idrisa Sultan. Kijana ambaye aliweka picha yakichwa chake kwenye kiti cha rais aki wish tarehe yakuzaliwa mkuu yeye wangebadilishana akale cake pale ikulu. Baada yakuwepo cake nyingi...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Tsh. Bilioni 40 zitumike kulipa madeni ya Wakulima wa Korosho baada ya Serikali kununu Korosho hizo

    Rais Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kutoa Tsh. Bilioni 40 ili kumalizia madeni yote ya Wakulima wa Korosho yaliyobaki baada ya Serikali kununua korosho hao katika msimu wa mwaka 2018/19 Ametoa maagizo hayo leo alipokutana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za...
  11. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongoza kikao cha viongozi wanaohusika na zao la korosho

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika kikao cha viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 1, 2019. Chanzo: Umoja Tv
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nadhani hili nalo likiigwa na Rais Magufuli litapendeza na litakuwa na Ufanisi mkubwa katika Kukomesha Upuuzi nchini

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amekaririwa akizitaka Mahakama zihakikishe wauaji wananyongwa ili kumaliza uhalifu nchini humo. Museveni ambaye amekuwa akitoa kauli hiyo katika mikutano ya hadhara, hivi karibuni ameahidi kukabiliana na Mahakama ili kuhakikisha wauaji wananyongwa ======...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Msanii Idris Sultan afika Kituo cha Polisi Central, ahojiwa aenda, kukaguliwa nyumbani kwake. Aachiwa kwa dhamana

    Msanii Idris Sultan amefika Kituo cha Kikuu cha Polisi (Central) muda wa saa 5 asubuhi kuitikia wito wa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda Anaendelea kushikiliwa kituoni kwa mahojiano, Inadaiwa anahojiwa kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, kifungu cha 15 na 16 UPDATE: Polisi wameelekea...
  14. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Hii inadhihirisha kuongezeka kwa nidhamu ya watumishi wa umma kwa Rais - kutekeleza waliyoagizwa

    Ameandika John Mrema kupitia twitter: Tumezungumza na vyombo vya Habari mchana huu kuonyesha mapungufu ambayo yamejitokeza kuhusu zoezi la kuchukua fomu za kugombea ambayo yamejikita kwenye wasimamizi kufunga ofisi, kunyimwa fomu za maadili fomu kuchukuliwa na 'maruhani' kabla vituo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tutampima Jafo kwenye usimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama atatosha kuwa Rais wetu 2025

    Wamesikika baadhi ya wavuvi pale Pwani ya Mbweni wakati wakimpongeza mwenzao aliyechukua fomu kugombea Uenyekiti wa Mtaa kwa tiketi ya CUF Kumbe uchaguzi huu una mambo mengi aisee. Maendeleo hayana vyama!
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyusi ameshinda uchaguzi wa Urais nchini Msumbiji

    Tume ya uchaguzi ya Msumbiji imemtangaza Rais Filipe Nyusi kuwa mshindi wa uchaguzi wa Urais kwa asilimia 73 ya kura na chama chake cha FRELIMO kitakuwa na asilimia 74 ya viti vya Bunge, Chama Kikuu cha Upinzani cha RENAMO kimeyakataa matokeo hayo, kikidai uchaguzi ulikuwa umegubikwa na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kheri ya Kuzaliwa kwako Mheshimiwa Rais John Magufuli.

    Leo Oktoba 29 Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amezaliwa. Mengi aliyoyafanya na anayozidi kuyafanya hakika anastahili Pongezi za kila namna. Wengi wanatamani kumapatia Zawadi lakini hawawezi ila zaidi ni kumtakia kila a kheri na kumuombea dua njema kwa Mungu ili aendelee...
  18. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli

    Wadau, President Magufuli is now 60 years old. Happy birthday to our great leader Dr. John Pombe Magufuli. May you live long
  19. Ngwanakilala

    JamiiForums Tanzania Kitabu Kipya: Historia na Kumbukumbu za Rais Mkapa kutoka Nov 12, 2019

    Taarifa rasmi inasema kua Kitabu Kipya cha Historia na Kumbukumbu za Rais Mkapa kutoka Nov 12, 2019. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolea na Uongozi Institute, Katika kitabu hicho, pamoja na mambo mengine, Rais Mkapa atazungumzia historia yake toka utoto na Nyakati za Urais wake wa awamu ya 3
  20. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Huyu kiongozi mpya wa ISIS anafanana sana na Mlinzi

    Mzuka wanajamvi! Dah yaani jamaa copyright na boss mpya wa ISIS aliyerithi nafasi ya marehemu Al Baghdad. Boss mpya wa ISIS Abdullah Qardash Quyraish ama professor jina lake la utani ni katili kuliko Al Baghdad mwenyewe.
Back
Top Bottom