rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kufanya ziara ya siku mbili mjini Kahama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 26, 2019 anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi ya siku mbili katika halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga. Akizungumzia ujio wa Rais Magufuli mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha amesema Rais...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa kishindo uliopata CCM umemuongezea Rais wetu hamasa ya kuendelea kututumikia vyema zaidi. Tanzania ipo nawe, tuvushe twende mbali zaidi

    Hakuna ushindi wenye raha kama wa kishindo. Ushindi wa namna hiyo unatoa hakikisho kuwa chochote unachofanya kinapata baraka kutoka kwa watu. Kila mmoja hawezi kukupongeza kwa kazi nzuri unayofanya lakini kupitia sanduku la kura ndio utajua mwitikio wa kile unachofanya. Wiki hii ni ya shangwe...
  3. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Read this very carefully guys and take a close look at yourself and the environment that you live in today Botha speech 1985 THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W. Botha to his Cabinet. This reprint was written by David G. Mailu for the Sunday Times, a South...
  4. JamiiForums Tanzania Furaha yatoweka CCM, ushindi kama msiba, wapinzani washangilia. Rais ageuka kauli zake za awali kanisani Dodoma

    Katika hali ya kindumilakuwili, RAISI akiwa kanisani Dodoma, kanisa katoliki lile linalomwimbia nyimbo za sifa na kuabudu, baada ya kusali alikabidhiwa kipaza sauti aseme neno, alizungumza siasa japo huwa yeye anasema siasa na dini zisichanganywe tena huenda mabili zaidi na kukutanisha wanasiasa...
  5. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda awaapisha Wajumbe wa Mabaraza ya Ardhi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewataka wajumbe wa mabaraza ya Ardhi kuwa makini na watu watakaokuwa wanawasimamia, katika kutatua migogoro na kuleta usuluhishi kwa kuwa mkoa huo, umejaa watu wajanja na wanaojifanya kujua kila kitu. Hayo ameyabainisha leo Novemba 23, 2019, mara...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nilitaka kwenda kupiga kura lakini nikiwa hapa kanisani nimesikia mgombea amepita bila kupingwa hivyo nampongeza

    Rais Magufuli amesema alikuwa anataka kwenda kupiga kura lakini amesikia katika mtaa wao mgombea amepita bila kupingwa. Rais Magufuli amesema hayo akiwa ibadani katika Kanisa katoliki la mt Imaculata, Chamwino Dodoma. Dr Magufuli aliwataka waumini ambao uchaguzi unafanyika katika mitaa yao...
  7. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa taasisi kutoa gawio, Je Rais aanzishe utaratibu sekta binafsi kuchangia kwa hiari? Atakusanya sana, japo wengine hoi, tutachagia tu

    Wanabodi, Hili ni bandiko la ushauri. Pongezi kwa taasisi kutoa gawio, Je Rais aanzishe utaratibu sekta binafsi Kuchangia kwa hiari? Atakusanya sana, japo wengine hoi, tutachagia tu. Kwanza natoa pongezi kwa taasisi kutoa gawio kwa serikali, ila pia naomba kukiri nimeumia kidogo, baada ya...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Baada ya siku 60 Bodi za Mashirika yasiyotoa gawio zijivunje zenyewe

    Rais Magufuli atoa siku 60 kwa Taasisi na Kampuni zenye hisa za Serikali zipatazo 187 ambazo hazikutoa gawio lake Serikalini leo, kufanya hivyo kwa Waziri mwenye dhamana vinginevyo Menejimenti na Bodi zake zivunjwe zenyewe kwa kundika barua Amesema, “Hapa ni Mashirika 79 tu ndio yametoa gawio...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tumehamia Dodoma moja kwa moja

    Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba. My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
  10. JamiiForums Tanzania Nitamshauri Rais Mh Dkt Magufuli ajiuzulu/aachie ngazi

    Na Elius Weston Ndabila. +255768239284 Hili si jambo la kawaida la mtu wa kawaida kujitokeza hadharani nakusema ipo siku atamshauri Rais ajiudhulu nafasi yake ya kuliongoza Taifa. Nimetafakari sana hadi kufikia maamzi haya. Nitajitoa kwa niaba ya Watanzania kumshauri Rais kuachia nafasi yake...
  11. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Rais Magufuli amemsimamisha kazi kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga

    Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Richard Abwao na mkuu wa upelelezi mkoani humo, John Rwamulema kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Novemba 23, 2019 na msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime inaeleza kuwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Rais Magufuli amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO, pia aagiza meneja wa TRA kusimamishwa kazi

    Rais Magufuli amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Kamanda wa Polisi wa mkoa na Afisa upelelezi wa mkoa wa Shinyanga kutokana na tuhuma za kuhujumu uchumi. Kadhalika Rais Magufuli amemuagiza Kamishna mkuu wa TRA kumsimamisha kazi Meneja wa TRA mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma za kuhujumu uchumi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Magufuli kuhamia rasmi Dodoma, Je Ikulu ya Dsm itajulikana kama Ikulu ndogo na RC kusogezwa jirani?

    Nauliza tu kwa wajuzi wa itifaki maana sasa kiti cha Rais kimehamia Dodoma, je hapo magogoni patajulikana kama Ikulu ndogo? Je, ofisi za mkuu wa mkoa zitahamia humo magogoni au pale ilipokuwa wizara ya elimu ili iwe jirani na Ikulu ndogo kama ilivyo katika mikoa mingine? Nasubiri majawabu...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Yule Mkurugenzi wa Dodoma ayejaribu kuonyesha anajua kuliko Rais afutwe kazi. Katika utumishi wa umma, hiyo ni insubordination

    Huyu ndugu ameonyesha utovu wa nidhamu. Katika utumishi wa umma hiyo tunaita insubordination, kufanya mambo yanayomdhalilisha kiongozi wako. Mkurugenzi, baada ya kuona Mh. Rais anaelekea kusimamia msimamo fulani, sisi katika utumishi wa umma lazima ubalansi msimamo wako ili kiongozi wako...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa agizo kuhusu ujenzi wa Hospitali Chamwino

    Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuharakisha ujenzi wa hospitali ya Wilaya Chamwino mkoani Dodoma na kukosoa ushauri uliotolewa na Wakala wa Majengo nchini (TBA). Ametoa kauli hiyo leo baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awapatia jeshi la polisi jengo la ghorofa nne ilii wahamie Dodoma

    Hapa ndipo itakapokuwa makao mkuu ya jeshi la polisi Tanzania mkoani Dodoma.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ammwagia sifa RC Mahenge wa Dodoma asema jiji hilo linabadilika kwa kasi na linaelekea kuipita Dsm

    Rais Magufuli amesema hakumtoa Dr Mahenge mkoani Ruvuma na kumleta Dodoma kwa bahati mbaya bali alifanya hivyo kwa kuwa anaujua uwezo wake tokea akiwa waziri wa Mazingira. Rais Magufuli amesema Dr Mahenge anaibadilisha Dodoma kwa kasi ya ajabu na mkoa huo unaelekea kwenda kuupiku mkoa wa Dsm...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo: Kunyamaza wakati mwingine ni hekima

    Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo KUNYAMAZA WAKATI MWINGINE NI HEKIMA Waungwana taifa la Mungu, someni hii kwa furaha na uvumilivu. "Ikawa, Sauli aliporudi baada ya kuwafuatia Wafilisti, aliambiwa ya kwamba, Daudi yuko katika nyika ya Engedi. Ndipo Sauli akatwaa watu elfu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya mambo ya ndani jijini Dodoma kuwa makao yao makuu

    Rais Magufuli amewapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya Mambo ya Ndani ili liwe ndio makao makuu jijini Dodoma. Rais Magufuli amekabidhi picha na michoro ya jengo hilo kwa IGP Sirro na Waziri Kangi Lugola jijini Dodoma leo. Source: Channel ten
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apendekeza soko kuu la Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai

    Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai. Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma Source TBC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…