Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 26, 2019 anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi ya siku mbili katika halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga.
Akizungumzia ujio wa Rais Magufuli mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha amesema Rais...
Hakuna ushindi wenye raha kama wa kishindo. Ushindi wa namna hiyo unatoa hakikisho kuwa chochote unachofanya kinapata baraka kutoka kwa watu.
Kila mmoja hawezi kukupongeza kwa kazi nzuri unayofanya lakini kupitia sanduku la kura ndio utajua mwitikio wa kile unachofanya.
Wiki hii ni ya shangwe...
Read this very carefully guys and take a close look at yourself and the environment that you live in today
Botha speech 1985
THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W. Botha to his Cabinet. This reprint was written by David G. Mailu for the Sunday Times, a South...
Katika hali ya kindumilakuwili, RAISI akiwa kanisani Dodoma, kanisa katoliki lile linalomwimbia nyimbo za sifa na kuabudu, baada ya kusali alikabidhiwa kipaza sauti aseme neno, alizungumza siasa japo huwa yeye anasema siasa na dini zisichanganywe tena huenda mabili zaidi na kukutanisha wanasiasa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewataka wajumbe wa mabaraza ya Ardhi kuwa makini na watu watakaokuwa wanawasimamia, katika kutatua migogoro na kuleta usuluhishi kwa kuwa mkoa huo, umejaa watu wajanja na wanaojifanya kujua kila kitu.
Hayo ameyabainisha leo Novemba 23, 2019, mara...
Rais Magufuli amesema alikuwa anataka kwenda kupiga kura lakini amesikia katika mtaa wao mgombea amepita bila kupingwa.
Rais Magufuli amesema hayo akiwa ibadani katika Kanisa katoliki la mt Imaculata, Chamwino Dodoma.
Dr Magufuli aliwataka waumini ambao uchaguzi unafanyika katika mitaa yao...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ushauri.
Pongezi kwa taasisi kutoa gawio, Je Rais aanzishe utaratibu sekta binafsi Kuchangia kwa hiari? Atakusanya sana, japo wengine hoi, tutachagia tu.
Kwanza natoa pongezi kwa taasisi kutoa gawio kwa serikali, ila pia naomba kukiri nimeumia kidogo, baada ya...
Rais Magufuli atoa siku 60 kwa Taasisi na Kampuni zenye hisa za Serikali zipatazo 187 ambazo hazikutoa gawio lake Serikalini leo, kufanya hivyo kwa Waziri mwenye dhamana vinginevyo Menejimenti na Bodi zake zivunjwe zenyewe kwa kundika barua
Amesema, “Hapa ni Mashirika 79 tu ndio yametoa gawio...
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Na Elius Weston Ndabila.
+255768239284
Hili si jambo la kawaida la mtu wa kawaida kujitokeza hadharani nakusema ipo siku atamshauri Rais ajiudhulu nafasi yake ya kuliongoza Taifa.
Nimetafakari sana hadi kufikia maamzi haya. Nitajitoa kwa niaba ya Watanzania kumshauri Rais kuachia nafasi yake...
Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Richard Abwao na mkuu wa upelelezi mkoani humo, John Rwamulema kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili.
Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Novemba 23, 2019 na msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime inaeleza kuwa...
Rais Magufuli amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Kamanda wa Polisi wa mkoa na Afisa upelelezi wa mkoa wa Shinyanga kutokana na tuhuma za kuhujumu uchumi.
Kadhalika Rais Magufuli amemuagiza Kamishna mkuu wa TRA kumsimamisha kazi Meneja wa TRA mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma za kuhujumu uchumi...
Nauliza tu kwa wajuzi wa itifaki maana sasa kiti cha Rais kimehamia Dodoma, je hapo magogoni patajulikana kama Ikulu ndogo?
Je, ofisi za mkuu wa mkoa zitahamia humo magogoni au pale ilipokuwa wizara ya elimu ili iwe jirani na Ikulu ndogo kama ilivyo katika mikoa mingine?
Nasubiri majawabu...
Huyu ndugu ameonyesha utovu wa nidhamu.
Katika utumishi wa umma hiyo tunaita insubordination, kufanya mambo yanayomdhalilisha kiongozi wako.
Mkurugenzi, baada ya kuona Mh. Rais anaelekea kusimamia msimamo fulani, sisi katika utumishi wa umma lazima ubalansi msimamo wako ili kiongozi wako...
Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuharakisha ujenzi wa hospitali ya Wilaya Chamwino mkoani Dodoma na kukosoa ushauri uliotolewa na Wakala wa Majengo nchini (TBA).
Ametoa kauli hiyo leo baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo...
Rais Magufuli amesema hakumtoa Dr Mahenge mkoani Ruvuma na kumleta Dodoma kwa bahati mbaya bali alifanya hivyo kwa kuwa anaujua uwezo wake tokea akiwa waziri wa Mazingira.
Rais Magufuli amesema Dr Mahenge anaibadilisha Dodoma kwa kasi ya ajabu na mkoa huo unaelekea kwenda kuupiku mkoa wa Dsm...
Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo
KUNYAMAZA WAKATI MWINGINE NI HEKIMA
Waungwana taifa la Mungu, someni hii kwa furaha na uvumilivu.
"Ikawa, Sauli aliporudi baada ya kuwafuatia Wafilisti, aliambiwa ya kwamba, Daudi yuko katika nyika ya Engedi. Ndipo Sauli akatwaa watu elfu...
Rais Magufuli amewapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya Mambo ya Ndani ili liwe ndio makao makuu jijini Dodoma.
Rais Magufuli amekabidhi picha na michoro ya jengo hilo kwa IGP Sirro na Waziri Kangi Lugola jijini Dodoma leo.
Source: Channel ten
Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai.
Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma
Source TBC
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.