rais

  1. F

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wadau nasikia Rais Museven kapiga pushups na kukimbia kuliko hata kijana mdogo

    Wadau mada hapo juu yajitosheleza, siamini nilichosikia juzi BBC Radio- Swahili.
  2. JamiiForums Tanzania CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

    Amesisitiza kuwa Serikali imeamua kutowazuia Watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa kutambua madhara mkubwa yanayoweza kutokeza kwa kufanya hivyo. Aidha, amesema madhara hayo yanaweza pia kuziathiri nchi 8 ambazo zinatengemea kupata huduma na bidhaa kupitia Tanzania hususan bandari ya...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Yoweri Kaguta Museveni anatufundisha mazoezi ya viungo ya ndani

    Museven anatushauri tufanye mazoezi ya viungo ndani ya nyumba au nyumbani katika kipindi hiki cha ombwe la corona
  4. JamiiForums Tanzania Baadhi ya marais wenye elimu kubwa Afrika, Rais Magufuli ashika namba tano

    Sio tu kwamba wana madaraka makubwa ya kisiasa nchini mwao, bali wana elimu kubwa kwenye fani mbalimbali jambo linalothibithisha usemi wa Kiingereza wa “readers are leaders,” yaani viongozi ni watu wenye hulka ya kusoma sana. Hii ni orodha ya wakuu wa nchi za Afrika wenye elimu kubwa zaidi...
  5. JamiiForums Tanzania Je, kwa hii Kauli yake dhidi ya Rais Dkt. Magufuli, huyu Mchungaji ameponya tatizo au sasa ndiyo amelizidisha zaidi?

    "Makabila yote yana umoja wao, sisi hatukuwa na umoja kabisa hatuna desturi kama za Wachaga wanavyokuwa pamoja mwishoni mwa mwaka, niliamua kuwaunganisha pamoja kuna Watemi wa Kisukuma ukienda kule Usukumani utawapata watu. Lengo lilikuwa ni kuwa pamoja katika kusaidiana, tuwe pamoja na...
  6. JamiiForums Tanzania Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika

    Wanabodi, Kila nipatapo nafasi, huwa naandika makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala hizi huwa zinachapishwa na magazeti mbalimbali, hivyo Wahariri kuweni free kuitumia makala yangu yoyote, na be free kui edit kwa kiwango chochote utakacho ona inafaa, maana hata mimi sitaki tena...
  7. JamiiForums Tanzania Unabii kuhusu mh. rais J. P. Magufuli

    Unabii huu ulitolewa mwaka jana na mtumishi wa Mungu Dr. Ian Ndlovu wa Zimbabwe.
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 10-Year Jail Sentence for Kilifi DG - Uhuru Recommends

    Wakati naendelea kutafakari juu ya yule mama aliyetoroka katika karantini na kukamatwa na DC Kasesela huko Iringa pia yule jamaa aliyotoka Dubai na kutua JNIA Dsm na kukamatiwa Mwanza akiwa na maambukizi ya Corona ndio ghafla nakutana na mkwara wa Rais Kenyatta wa Kenya. Rais Kenyatta anasema...
  9. JamiiForums Tanzania Utata kifo cha hayati Abeid Karume

    Miaka 40 iliyopita, Aprili 7, 1972; Rais wa Serikali ya awamu ya kwanza ya Mapinduzi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, ambaye pia alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Abeid Amani Karume, aliuawa kwa kupigwa risasi katika mazingira na sababu za...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif yuko kwenye karantini ya Corona

    Balozi Seif Idd anasema baada ya kutoka Cuba ameamua kujiweka katika karantini ya siku 14 nyumbani kwake. Source ITV habari!
  11. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Rais John Pombe Magufuli - Madaktari Bingwa Wabobezi na TCU

    Mheshimiwa Rais! Hongera na Pole kwa majukumu makubwa uliyopewa na Watanzania. Nikiri kwamba barua yangu hii, imechagizwa na Mkutano wa Madaktari Tanzania wa mwaka huu. Bahati mbaya Dr. Elisha Osati alisahau kuwasilisha hili. Mheshimiwa Rais, toka umeingia madarakani umeokoa kiasi kikubwa cha...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi ya Rwanda na Rais wake Paul Kagame wamekuwa mfano bora na wa kuigwa katika kupambana na COVID-19

    Serikali ya Rwanda kupitia Rais wake imefanya yafuatayo.. 1. Inawajali Wananchi wake mara kwa mara juu ya Ugonjwa 2. Inatoa Msaada wa Vyakula bure kabisa kwa Wananchi wake 3. Inatoa bure kabisa Vifaa vya Kujiinga na Ugonjwa kwa Wananchi wake 4. Waziri wake wa Afya hana Unafiki katika Kutoa...
  13. JamiiForums Tanzania Maganja: Zitto hafai kuwa Rais, akipewa nchi atauza hadi watu wake

    Jamaa kajitoa.
  14. JamiiForums Tanzania Siku Wapiga Kura Walipomwambia Rais Nixon "Urais sio Ufalme na Ikulu ya Imperial Presidency kutikisika

    Rais Richard Nixon, wa Marekani, alikuwa rais wa 37 wa nchi hiyo tangu 1969 hadi 1974 alipojiuzulu. Alikuwa rais kwa tiketi ya chama cha Republic lakini akaongoza nchi kama rais mfalme. Alipindua kanuni za somo la uraia zinazowambia watoto wetu shuleni kuwa dola inayo mihimili mitatu yenye...
  15. JamiiForums Tanzania Brazilian President Bolsonaro rejects calls for Coronavirus lockdown, says 'we're all going to die one day'

    Brazilian President Jair Bolsonaro has repeatedly dismissed the coronavirus as a "little cold" and urged residents to keep the country's economy going, even going so far as to tell his supporters why he's against lockdown: "We're all going to die one day." Bolsonaro, who is often compared to...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Congo-Brazzaville Yhombi Opango afariki dunia kwa Covid-19

    Jacques Joachim Yhombi Opango Rais wa zamani wa Congo-Brazzaville, Jacques Joachim Yhombi Opango, amefariki dunia jijini Paris. Rais wa zamani wa Congo-Brazzaville, Jacques Joachim Yhombi Opango, ambaye alitawala nchi hiyo kati ya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tusaidie kampuni ya SKOL Building Contractors LTD itulipe mishahara na NSSF

    Hiki ni kilio chetu wafanyakazi cha zaidi ya mwaka mmoja tangu kuanza kufuatilia suala hili bila mafanikio katika ofisi zifuatazo:- (1) Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni (2) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (3) NSSF-Kinondoni (4) Vyombo vya habari vya binafsi na serikali (Shirika letu pendwa la...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Covid-19: Ugonjwa wa Corona ushauri wa bure kwako Rais Magufuli

    Moja kwa moja kwako kwenye mada. Hatimaye ninakundikia wewe ushauri huu wa bure nikifahamu fika kuwa hujapungukiwa na washauri, na kuwa uko nao washauri walio mahiri kabisa, wenye kulipwa vilivyo kutokana na kazi hiyo. Hata hivyo kumbuka mheshimiwa, Goliath lilikuwa jitu la kutisha (lenye...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atua Chato leo tarehe 28 Machi 2020

    Ametua Chato akitoka Dodoma
  20. JamiiForums Tanzania Wasomi wa afya na Wakemia Tanzania, mbona kimya kuhusu ugunduzi wenu wa dawa ya Coronavirus?

    Nimefutilia mataifa mbalimbali kupitia mitandao naona madaktari na wakemia wakitaja dawa mbalimbali katika ugunduzi wa tiba ya Corona lakini Tanzania naona fofofo. Sasa najiuliza pale Muhimbili University na Bugando mnajifunza kuosha vidonda tuu? Au ni vyuo vya ujenzi wa Maghorofa? Hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…