Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea.
Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
Kuna bonge la Mkwara nasikia umepigwa katika Newsroom za Magazeti ya Kesho juu ya kutokuchapisha Taarifa ya Rais Tamanio la Wananchi wenye Machungu Magazetini na kwamba kile kitakachothubutu watakuwa wameshajihalalishia Bifu la Kudumu na hao Wakatazaji ( Wapigwa Mkwara ) huo.
Kuna mawili ama...
Hili ni angalizo tu kwa wanaopewa dhamana ya kuwa mawaziri au manaibu uwaziri kuwa mnapoaminiwa na Mheshimiwa Rais kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi kamwe msiweke maslahi yenu mbele bali muweke maslahi ya Taifa Mbele na kamwe matendo yenu yasitake kuharibu Image ya mheshimiwa Rais.
Wapo...
Habari!
Katika kipindi kifupi kijacho, rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kulihutubia taifa la Marekani kulingana na vyanzo kutoka Ikulu ya White House huku ajenda kuu ikiwa ni masuala ya ubaguzi wa rangi pamoja na umoja wa kitaifa.
Jambo jingine linalotarajiwa kuzungumziwa zaidi na...
Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
Ado Shaibu: ACT Wazalendo tumekuwa mstari wa mbele kuiwajibisha Serikali Mahakamani. Rais alipomwondosha CAG Prof. Assad kinyume na Katiba, Kiongozi wa Chama Ndugu Zitto Kabwe alimpeleka Mahakamani. Pia, Rais alipomteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali asiye na vigezo vya kikatiba, nilimpeleka...
Kwa lipi hadi utaje taje Jina la Mungu?
1. Kagera walipopatwa na tetemeko uliwaambia kuwa CCM wala Serikali hawajaleta tetemeko. Hiyo siyo kauli ya mtu anayemcha Mungu.
2. Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa risasi wewe kama kiongozi wa kitaifa hujawahi kuja na hatua yoyote dhidi ya tukio hilo...
ALIPOTUTOA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI NA ANAPOTUPELEKA,KWA HAKIKA SASA WATANZANIA TUNAJUA TUNAPOELEKEA.
Leo 13:30pm 06/06/2020
Rais John Pombe Magufuli ametutoa kwenye giza totoro lililoleta kashfa kubwa ya Ufisadi wa Richmond na Escrow na kutupeleka kwenye nuru na mwanga kwa kutujengea Bwawa...
Wakuu Salamu,
Husika na kichwa cha uzi huu, napenda kuuliza hivi ni sheria za kanisa au nchi kwamba kwa kila ibada atakayo hudhuria rais wa nchi ni lazima apewe muda wa kuzungumza?
Maana naonaga hapa kwetu tu, kwani marais wa nchi zingine duniani huwa hawaendagi kwenye nyumba za ibada? Mbona...
Nimemsikia mkapa akisema enzi zake za uongozi aliwahi agiza baraza la usalama la Taifa wafanyie vikao vyao dodoma.
Sijawahi sikia kitu kinaitwa baraza la usalama la Taifa kwa Tanzania.
Nimejiuliza
1. Hilo baraza lina watu wa namna gani
2. Kina nani ni member wa hilo baraza
3. Muundo wa baraza...
Chadema mkoa wa Tabora wamemshukuru na kumpongeza Rais Magufuli kwa kutoifunga nchi wakati wa Corona.
Akiongea kwa niaba ya uongozi wa mkoa wa Chadema, mbunge wa viti maalumu mh Mwaisonga amesema wao kama chama wanamshukuru Mungu kwa maono aliyompa Rais Magufuli na hatimaye ametuvusha salama...
Joe Biden ameshinda rasmi uteuzi wa Chama cha Democratic kumkabili rais Donald Trump katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais utakaofanyika panapo mwezi Novemba mwaka huu.
Biden amesema katika ukurasa wake wa Twitter kwamba amefanikisha kujikusanyia wajumbe 1,991 wanaohitajika ili kupitishwa...
Nimemsikikiza kwa makini Mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Abdrahman Kinana, kwa taarifa yake aliyotoa kwa Umma kwa kile alichokiita mwenyewe kuwa anaomba msamaha kwa Rais Magufuli kwa yale maneno yaliyonaswa kwenye video clip, ambayo anaamini yalimkera Mheshimiwa Rais
Nimemsikiliza pia...
RISALA YA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA KWA MGENI RASMI MH. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU - JUNI 05, 2020 KATIKA UWANJA WA CCM JAMHURI JIJINI DODOMA
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Wana CCM wengi sana wanatamani kwa mtizamo wao ghushi na uliojaa ugoto katika kufikiri, kuwa John Magufuli asipingwe na mgombea toka CHADEMA. Wao wanadai kwa aliyoyafanya Magufuli kama Rais wa Tanzania hakuna haja ya kupingwa.
Lakini najiuliza kama Magufuli wanataka apite bila ya kupingwa, je...
Rais Magufuli amesema kwa taarifa alizopewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba DSM kuna wagonjwa wanne tu wa Corona.
Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo kiti chake peke yake...
Salaam Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania-CWT.
Mkutano huo utafanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, huku watu wote wakitakiwa kuzingatia na kuchukua...
In 2008, Barack Obama campaigned as a new kind of politician, someone who could bring America's disparate factions together in a new era beyond partisan politics.
Like many of Obama's campaign promises, things haven't quite worked out that way.
After eight years of his own partisan attacks...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.