rais

  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway ampongeza Rais Magufuli katika Mapambano ya Covid19

    Baadhi ya Nchi za Ulaya zimeanza kutambua na kupongeza hatua ambazo Tanzania imezichukua katika kupambana na Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19 kutokana na muongozo wa Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwa zinaendana mazingira na hali halisi ya Tanzania. Waziri wa Maendeleo...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza maombolezo ya siku 3, bendera kupepea nusu Mlingoti kufuatia kifo cha Rais wa Burundi, Marehemu Pierre Nkurunziza

  3. JamiiForums Tanzania Diwani aliyeandika kitabu cha Rais Magufuli ameihama Chadema kwenda NCCR

    Diwani machachari wa Chadema Arumeru ambaye aliandika kitabu kinachoelezea mafanikio ya Rais Magufuli ameachana na Chadema na kujiunga na NCCR Mageuzi. Amechukizwa na siasa chafu za kuponda maendeleo zinazofanywa na Chadema. Huyu Diwani Mrembo kuliko wote huko Arumeru na ni mwanathiolojia...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongea na Waziri Mkuu wa India

    ''Prime Minister Shri Narendra Modi had a phone call today with His Excellency Dr. John Pombe Joseph Magufuli, President of the United Republic of Tanzania. The Prime Minister warmly recalled his July 2016 visit to Dar-es-Salaam and stressed on the importance that India attaches to its...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum (CUF), Riziki Lulida aomba kurejea CCM. Asema Rais Magufuli ni msikivu alifuturu naye na kuongea naye kama ndugu

    Amesema amerudi CCM kwasababu nyingi na ya kwanza ni kuwa Rais Magufuli ni msikivu na atakaposikiliza hoja yake atakuwa msikivu. Amesema “Mwaka 2015, Rais alinikuta nje akaniuliza nafanya nini. Nilijibu nataka kwenda nyumbani kufuturu. Akaniambia mimi ndio baba watoto twende, nami nikamuambia...
  6. JamiiForums Tanzania Burundi leader Nkurunziza died of Covid-19 — diplomats

    Habari zimethibitishwa kuwa Pierre Nkurunzinza wa Burundi alikuwa muathirika wa gonjwa hatari la COVID19. Tuchukue tahadhari wandugu, gonjwa bado linatesa. --- Burundi’s outgoing President Pierre Nkurunziza died of Covid-19, diplomatic sources in Bujumbura and Nairobi confirmed on Wednesday...
  7. JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri nchini Burundi limesema kwamba linaongoza nchi hadi Rais mpya atakapoapishwa

    Uamuzi huo ulifikiwa kufuatia mkutano uliyofanywa siku ya Alhamisi chini ya uongozi wa Makamu wa Rais wa kwanza Gaston Sindimwo. Kufikia sasa bado haijabainika ni lini kiongozi mpya ataapishwa, japo katiba iko wazi kuwa Spika wa bunge la kitaifa Pascal Nyabenda alitakiwa kuapishwa kushikilia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 RC Makonda: Viongozi wa dini ombeeni uchaguzi ili tupate viongozi Watakatifu wa kumsaidia Rais Magufuli na watoa kafara wasifurukute

    Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amefanya kikao na viongozi wa dini kupitia jukwaa lao la Kamati ya maridhiano. Makonda amewataka viongozi hao wa dini kuuombea uchaguzi mkuu ili wakapatikane viongozi watakatifu watakaomsaidia Rais Magufuli katika awamu yake ya pili ya uongozi. Makonda amesema...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

    Hotuba ya Tundu Lissu, FULL TEXT: KWANINI NAGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA? Wananchi na raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania popote walipo, ndani na nje ya nchi yetu; Wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Marafiki wa Jamhuri ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais awasamehe Makamishina walioshirikiana na Kangi Lugola uliokuwa na viashiria vya ufisadi

    Nafuatilia Hotuba ya Mh Rais Magufuli akiwa anahutubia Askari Magereza katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la ofisi za Magereza, sasa hivi kupitia TBC1 amekiri kuwasamehe wale viongozi wote walioshiriki kusaini mkataba uliokuwa na viashria vya rushwa akiwemo aliyekuwa Kamishina Jenerali wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ajuta na kuwaomba radhi wananchi wa Marekani kwa kuambatana na Rais katika ziara yenye utata ikihusishwa na siasa!

    Wakati wa ziara iliyoleta utata. Mkuu wa Majeshi akiomba radhi... ==== Jenerali Mark Milley aomba msamaha kwa 'kuenda' kanisani na Trump Mkuu wa majeshi nchini Marekani amekiri kuwa alikosea kuungana na Rais Donald Trump wakati wa alipotembea kuenda kanisa lililopo karibu na Ikulu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli, Piga nyungu sana maana kikohozi chako kinanipa wasiwasi mkubwa!

    Rais wangu tangia uhutubie kuhusu mapapai kuwa na Corona takribani mwezi wa nne (miezi miwili sasa) nakuona unakohoa tu. Nakusihi utandike nyungu la nguvu maana kikohozi chako cha leo kimezidi. Hapa naweka picha za jinsi ulivyokohoa leo, ni nyingi mno! Aisee mkuu wangu, piga nyungu sana kwa kweli.
  13. JamiiForums Tanzania Chad: Mkuu wa Majeshi afukuzwa kazi baada ya kumkosoa Rais

    Mkuu wa Majeshi nchini Chad, Ahmat Koussou Moursal amefukuzwa kazi baada ya kuandika barua ya wazi kumkosoa Rais Idriss Deby. Katika barua yake, mkuu huyo alimlaumu Rais kuwasahau rafiki zake waliokuwa wote jeshini, kusini mashariki mwa Chad, Guera. Pia alizilaumu mamlaka kwa kutowalipa fidia...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watanzania mniombee ili nimalize vizuri kipindi changu cha uongozi kama ilivyo kwenye katiba baada ya hapo niwaachie wengine

    Hizi ni kama salamu kwa Ndugai na wale wengine wenye nia ya kubadilisha Katiba ili kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani. Leo jijini Dodoma katika sherehe za uzinduzi wa wa barabara katika mji wa kiserikali yenye urefu wa kilomita 51.2, pamoja na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa...
  15. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli anazindua ujenzi wa barabara ya Mtumba, Makao Makuu ya TARURA na Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto

    Rais Magufuli yupo sherehe za kuzindua ujenzi wa 51.2 km za barabara ya mji wa kiserikali wa Mtumba, mkoani Dodoma Barabara hiyo itakuwa na km 11.2 za njia nne, zenye upana wa mita 7 kila upande Katika sherehe hizo pia kutakuwa na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa Mtumba, katika...
  16. JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Nkurunziza kimepunguza kujiamini kwangu

    Kama nilikuwa nikiamini kuwa CORONA hainiwezi maana ninaye Mungu baba, sasa nimeanza kufikiria tofauti. Kumbe lolote linaweza kutokea kwa yeyote. Rais Nkurunziza sijui kafa kwa ugonjwa gani hasa ila naamini Corona haiwezi kupuuzwa kwenye hili. Tuwe makini bado
  17. J

    JamiiForums Tanzania Hii ya Mwanasheria mkuu (AG) kushtakiwa kwa makosa yaliyotendwa na Rais kama taasisi au mtu binafsi akiwa madarakani nimeikubali

    Jana nimesikia kupitia mjadala bungeni kwamba sheria inarekebishwa na sasa Rais hatoshtakiwa kama mtu binafsi kwa mambo aliyoyatenda wakati akiwa madarakani na badala yake atashtakiwa Mwanasheria mkuu ( AG) Mimi siyo mwanasheria lakini nakubaliana na haya marekebisho. Maendeleo hayana vyama!
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Malawi, Joyce Banda asema nchi hiyo haina Corona

    Rais wa zamani wa Malawi Joyce Banda amesema nchi hiyo haina virusi vya Korona na kuituhumu serikali kwa ‘kugushi’ takwimu. Vyombo vya habari vya Malawi vimeripoti kuwa Bi Banda alinena hayo akizungumza kwenye mkutano wa hadhara. Aidha ametaka fedha za misaada dhidi ya Corona zitumike kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mimi ni CCM, napinga Rais Magufuli kuongezewa muda

    Wakuu habari, Nasikitishwa na ukiukwaji katiba na kanuni unaotaka kufanywa CCM. Baba wa taifa alituasa kuwa yeye ndiye wa mwisho kutawala kwa muda mrefu kwenye nchi hii na asitokee yeyote mwenye tamaa kujaribu kutawala kwa muda mrefu. Nimeshangazwa na mwanachama mwenzangu Mbunge Kessy wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kuongezwa muda wa Urais: Askofu Emmaus Bandekile awaonya Rais Magufuli na Spika Ndugai

    Nimemsikia Mbunge mmoja akiongea Bungeni akitaka Bunge libadilishe Katiba ya Nchi ili kumfanya Rais Magufuli aendelee kutawala hata baada ya kumaliza kipindi chake cha kikatiba cha miaka 10. Kama hilo halitoshi, Spika Ndugai amesikika akimhakikishia Mbunge husika kuwa kazi hiyo ya kubadilisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…