rais

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Felista Njau apanda mtumbwi ili kumnadi Rais Samia

    Sema CCM wana siasa za kishamba sana. Hivi kwanini Marekani au nchi zilizoendelea hatuoni theatrics kama hizi. Kama ni kweli alikuwa anataka kuwafikia wapiga kura kulikuwa na haja gani ya kujirekodi akiwa amepanda mtumbwi? Hizi ni dalili ya chama ambacho soon kinaenda kuingia kwenye bed rest...
  2. JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani ukigundua Rais anatembea na mke au mume wako?

  3. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Burkina Faso inajenga sanamu kwa ajili ya Rais wao Traore

    Wakuu nimeona huko mitandaoni hili jambo lina trend sana
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa CHAD kuongoza kwa kipindi kisichokuwa na ukomo

    Bunge la Chad limepitisha marekebisho ya katiba yatakayomruhusu Rais kuongeza muda wa kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 bila kikomo cha mihula, hatua iliyopigiwa kura na wabunge 171 na sasa inasubiri kuidhinishwa na Seneti. Kwa mujibu wa taarifa ya Radio France Internationale (RFI)...
  5. JamiiForums Tanzania Wawili jela kwa kujaribu kumroga na kumuua rais wa Zambia

    Chanzo . BBC Swahili. Mahakama nchini Zambia imewahukumu wanaume wawili kifungo cha miaka miwili jela kwa kujaribu kutumia uchawi kumuua Rais Hakainde Hichilema. Mzambia Leonard Phiri na Msumbiji Jasten Mabulesse Candunde walitiwa hatiani chini ya Sheria ya Uchawi baada ya kukamatwa mwezi...
  6. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi akataa kuvuruga amani ya nchi, asema Rais hafokewi

    Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ili kuongeza fursa za kusoma Post Graduate, Je wagombea urais mtairudisha AIMS?

    Ili kuboresha elimu Africa washirika mbalimbali wanatoa hela zao kufadhili masomo ya wanafunzi wa post graduate wa hesabu kwa taasisi inayojulikana kama African Institute of Mathematical Sciences (AIMS). Chuo hiki kiko nchi mbalimbali kikichukua wanafunzi wa hesabu na engineering na kuwasomesha...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Rais ndio anaamua nani awe mbunge, msinisumbue kupiga kura

    Mbunge ni muwakilishi wa wananchi hivyo inabidi achaguliwe na wananchi. Wananchi wanamchagua mtu ambaye wanajua anafanana na wao na anaweza kwenda kupeleka hoja zao bungeni. Lakini kwa jinsi siasa zilivyo ni kama mtu anakuwa mbunge kwa huruma ya rais na sio kwa kura za wananchi. Kwa sababu hii...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa Nepal avunja bunge, atangaza tarehe ya uchaguzi

    Rais wa Nepal, Ramchandra Poudel, amelivunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya utakaofanyika ifikapo Machi 5, 2026. Hatua hiyo imekuja baada ya wiki moja ya machafuko makubwa yaliyosababishwa na maandamano ya vijana. Uamuzi huo ulitangazwa jana Ijumaa, saa chache baada ya Rais Poudel kumteua na...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee Mbembe: Rais Samia alitupeleka Korea kujifunza, Oktoba tuka Tiki tu!

    Mwigizaji maarufu kama Mzee Mbembe amesema, Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imewafanyia makubwa wasanii nchini ikiwemo kuwapa fursa ya kusafiri nchini Korea Kusini kujifunza zaidi kuhusu teknolojia mpya za uandaaji filamu na tamthilia pia kuhusu masoko na mbinu mpya...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Chama Cha Wanasheria wa Serikali: Hakuna Anayeijua Sheria Kuliko Wakili wa Serikali

    Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria. Akizungumza leo Ijumaa, Septemba...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu afanya mazungumzo na viongozi wa Kanisa Katoliki mkoa wa Tabora

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Kardinali Protase Rugambwa pamoja na Baba Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo hilo Mhashamu Baba Askofu Paul Ruzoka, Ikulu Ndogo ya Tabora tarehe 12 Septemba, 2025...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia atakuwa Butiama, Septemba 14, 2025

    Nimefika hapa jana nimeona uwanja unatayarishwa kwa shughuli fulani. Nimeuliza kuna nini hapa leo.? Nimeambiwa hapa Leo tunasheherekea Mara Day. Lakini uwanja ni maridadi sana. Nikaambiwa labda neye atafika. Basi naona hawana habari. Lakini nimeambiwa hapa katika mjengo kwamba Rais atafika...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Mfute Kazi Suleiman Abubakr Mombo Mara Moja

    Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja. Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea...
  15. JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Brazil Ahukumiwa miaka 27 jela

    Rais wa zamani wa Brazil, Jair Bolsonaro, amehukumiwa kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kupanga njama ya kupindua serikali halali iliyochaguliwa mwaka 2022. Uamuzi huo umetolewa na Mahakama Kuu ya Brazil, ambapo jopo la majaji watano lilimkuta na...
  16. JamiiForums Tanzania Nlisema haya kuhusu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, ni miongoni mwa Marais wenye udhaifu

    Hapa ni baadhi ya sababu ambazo watu Wafaransa wanamkosoa au kukosa upendo kwa Rais Emmanuel Macron, na kwanini baadhi wanaona “bogus” au haaminiki. Kuna mambo mengi, si yote yatakukubalika na kila mtu, lakini nitajaribu kufafanua kwa nini hisia hizo zipo. Sababu kuu za kutokupendwa kwake 1...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Wananchi kuwasha moto mitaani kwenye Maandamano Ufaransa ya kutaka Rais Macron ajiuzulu

    Zaidi ya watu 200,000 wameandamana na mamia wakamatwa nchini Ufaransa Septemba 11, 2025 kufuatia maandamano makubwa ya kitaifa yaliyoanza Septemba 10, 2025 wananchi wakipinga mipango ya kupunguza bajeti na hali tete ya kisiasa nchini humo. Vuguvugu hilo lililopewa jina “Fungeni Kila Kitu”...
  18. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Nitasambaza umeme Tanzania yote

    Hii hadithi tumeisikia kuanzia Nchi imepata Uhuru. Najiuliza umeme utakasambazwa nchi nzima ndo huu huu unaokatika kila baada ya masaa nane au? My take suala sio kusambaza umeme swali ni huo umeme unaosambazwa utaweza kukidhi mahitaji ya Watanzania nchi nzima na utakuwa reliable...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Qatar wamejifunza somo chungu, walidhani kumpa rais wa Marekani ndege ya shilingi trilioni 1 na mapokezi ya kifalme kutawaepusha na Israel

    Qatar walimpa Rais wa Marekani ndege ya kifahari aina ya Boeing 747 yenye thamani ya milioni 400 sawa na shilingi Trilioni 1 pamoja na mapokezi ya kifalme, lakini Marekani wameamua kurudisha fadhila kwa kuwaruhusu marafiki zao Israel waende kupiga tizi la shabaha katikati ya jiji la Qatar kwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Indonesia awatimua Mawaziri watano kufuatia Maandamano ya wananchi

    Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, amefanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri Jumatatu Septemba 8, 2025 kufuatia maandamano yenye vurugu yaliyozuka nchini kote kupinga marupurupu ya wabunge na kupanda kwa gharama za maisha. Hatua hiyo imekuja baada ya kuongezeka kwa malalamiko ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…