Kwanza poleni na majukumu, pia poleni na misiba ya wazee wetu, misiba ambayo inahisiwa ama kuhusishwa moja kwa moja na Covid19. Ama hakika ugonjwa huu upo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu wa afya.
Turudi kwenye mada
Inasemekana sasa hivi kambi...
Wajuzi wa mambo naomba mnieleweshe hapa. Nimemsikia rais akiwaambia walinzi wake kuwa wasiwazuie watu wa rais wa Ethiopia kuingia ndani. Wakati tu wameingia Ikulu ndogo ya Chato, zikawa zinatokea zile pilikapilika za kupiga picha, rais Magufuli akasikika akiwaamrisha walinzi wake wasiwazuie watu...
Ndege iliyomleta Rais wa Ethiopia ndio inatua hapa Chato.
Rais Magufuli na viongozi wengine wanashangilia ndege hii ya Ethiopian inapotua.
Rais Zewde anakuwa kiongozi wa tatu wa kimataifa kufika nchini kukutana na Rais Magufuli kwa mazungumzo kwa mwaka huu 2021, aliyefungua pazia ni waziri wa...
Kesho (Januari 25, 2021) Tanzania itampokea Mhe. Sahle-Work Zewde, Mwanadiplomasia nguli na Rais wa Ethiopia.
Mama huyu alizaliwa Jijini Addis Ababa mnamo Februari 21, 1950 na kupata elimu ya msingi na sekondari katika shule ya Lycee Gibre-Maryam na kisha akajiunga na Chuo Kikuu cha...
Rais mstaafu Jakaya Kikwete anatangaza msiba wa kaka yake ndugu Khalifan Seleman Kikwete uliotokea leo asubuhi. Msiba upo Msasani kwa Rais huyo mstaafu.
--
TANZIA
Innalilahi Wainnaillaih Rajiuun. Nawajulisha taarifa ya Msiba mkubwa wa Kaka yetu Mkubwa Bwana Khalfani Selemani Kikwete aliyefariki...
Waziri wa foreign affairs Prof Kabudi na watendaji wakuu wa wizara yake wamekutana na makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar maalim Seif na kukubaliana kuchapa kazi kwa pamoja.
Maalim Seif amesema uchaguzi umekwisha aliyepata kapata na aliyekosa amekosa cha muhimu ni watanzania kuungana pamoja...
Kila aliyekabidhiwa funguo za nyumba alipewa na chakula cha kuanzia maisha. Kijiji kina huduma zote za jamii, kuanzia shule, hospitali, kituo cha Polisi, soko, umeme, maji na barabara.
Mzuka wanajamvi!
Rais wa Iran Hassan Rouhani ana mpango wa kuishtaki 'TBC' ya Iran Iran Broadcasting Corporation (IRIB),kwa kumtukana na kumkosea heshima.
Rais huyo ambaye anafahamika kwa upole amekereka sana na kuhuzunika baada ya kuambiwa eti anatumia na kuvuta madawa ya kulevya akiwa...
Natafakari tu.
Iwapo makao makuu ya CHADEMA bado yapo Dar es salaam hadi leo yawezekana chama hicho hakikubaliani na sera ya kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma.
Je, unadhani ni nini Tundu Lissu angekifuta mapema kama angefaulu kutinga jumba jeupe ambacho kingeturudisha nyuma...
Watu wengi kwenye kambi ya upinzani wamekuwa wanadai kuwa Magufuli kabinya demokrasi ilihali huwa wanashiriki uchaguzi na ama wanashinda au wanashindwa kama ilivyo ada ya demokrasia. demokrasia haiana maana kuwa upinzani ndio ushinde tu.
Viongozi huwa hawapimwi kwa mambo ya kawaida bali yale...
Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo.
Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula viapo vyao vya utumishi nikianzia wa hapa nyumbani na jana nilifuatilia kiapo cha Rais Joe Biden wa...
Salaam JF,
Baada ya Rais Biden kuapa Jana Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa mawasiliano ya kwanza ya simu yatakayofanywa na Rais Biden ni kati yake na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, bila Shaka kigezo na hoja kuu ni kwa jinsi utawala wa Canada unazingatia sheria, Demokrasia na uwajibikaji...
Baadhi ya wahaya wanadai na wako serious makamu wa Rais mpya wa Marekani Kamala Harris ni damu yao. Labda utetezi wao ni kutokana na jina lake la kwanza.
Ki ukweli Kamala Harris baba yake ni asili ya Jamaica aliyehamia Marekani Donald Harris na mama yake Shyamala Gopalan ni mhindi aliyehamia...
Yes wakuu,
Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya.
Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari, naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi.
Sijui inaugural ball itakua leo Leo ama?
Magufuli awataka wakulima wa taifa hilo kulisha dunia baada ya corona
Rais Magufuli wa Tanzania.
Rais wa Tanzania John Magufuli, amesihi wakulima nchini humo kuongeza kiwango cha uzalishaji wa chakula akibashiri uhaba wa chakula duniani baadaye mwaka huu kwasababu ya janga la virusi vya...
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema mkakati wa serikali ni kuhakikisha huduma na kumbukumbu zote muhimu za nchi zinatolewa kwa lugha ya Kiswahili na akahimiza haja ya mamlaka kuja na Sera ya Kiswahili.
Aidha, Rais John Magufuli leo anatunukiwa tuzo maalumu ya Shaaban Robert kutokana na...
A. UTANGULIZI
Rais wa Tanzania, John Magufuli alikuwa Mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi wilayani Karagwe na baadaye Wilayani Bukoba tangu tarehe 18 Januari 2020. Inaonekana kuwa, siku hiyo, Askofu Dr. Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza, aliandika barua tepe kwa ajili ya kumkaribisha Rais...
TUMUOMBEE RAIS AU TUMHURUMIE?
Na Elius Ndabila
0768239284
Juzi Mh Rais akiwa mkoani Kagera alitoa maagizo kwa mkoa wa Dar es salaam juu ya video iliyokuwa mitandaoni ikionyesha moja ya shule iliyopo Ubungo wanafunzi wake wakisomea nje na kukaa chini. Akizungumza kwa uchungu mkubwa Mh Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.