rais

  1. Jackal

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

    Nimesoma andiko la TLS, kwa heshima zote kwa chombo chetu hiki kilichopewa mamlaka kisheria, Nimeshtuka sana, I wish to say, Kwanza KATIBA HAIJAVUNJWA KWA MHE RAIS SAMIA SULUHU kuapa, na wala hakuna Mkanganyiko wowote wa Kikatiba, kwa yeye kutoteua PM na Baraza jipya. Mmekaa wote kweli...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ajikite kutekeleza ndoto za Hayati Magufuli au atekeleze maono yake?

    Je, tunamshauri Rais mpya aendelee na miradi yote aliyoanzisha JPM au aendeleze ile miradi yenye tija kwa Taifa na pia aanzishe miradi ya ndoto zake? Hapa Kuna miradi yakitaifa na miradi ya maono binafsi ya JPM. Miradi yakitaifa ni mradi wa umeme wa rufiji, mradi wa reli, bomba la mafuta...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mama Samia ni rais lakini bado ana mume, wewe mshahara laki 3 unamtosa mumeo ili uwe single mama!

    Mama Samia ni mfano bora sana kwa wanawake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pamoja na kushika nafasi kubwa serikalini kwa muda mrefu lakini bado ameendelea kumheshimu mumewe na hivyo kudumisha ndoa yake. Wapo wanake wengi tu ambao wakipata nafasi bora ama kipato Bora kuliko waume zao basi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia, huyu ni Joshua wetu ukiangalia nyuma utakula risasi

    Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari. Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua, yaani...
  5. Kaka Mpendwa

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

    Inaonekana idadi ya watu waliotazama tukio la msiba wa Dr. Magufuli kwa dunia nzima limetolewa kupitia ukurasa wa Twitter hapa Mtu aliyetamka au kuandika hizo takwimu anapatikana katika ukurasa wake wa Twitter hapa https://twitter.com/SirNeoBranson Kwa uchunguzi wangu mdogo, huyu mtu...
  6. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Jose Chameleone: Hayati Magufuli hakuwa rais wa Tanzania tu bali rais wa Afrika mashariki

    Msanii na mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda 🇺🇬 @jchameleon ameeleza sababu za kutoka Uganda na kuja Tanzania kwa ajili ya kutoa pole na kumuaga hayati Rais Magufuli. Akiongea na kituo cha habari cha EFM Chameleon ameeleza kwamba:- Bofya hapa chini kutazama.
  7. Troll JF

    JamiiForums Tanzania IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

    Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu Waziri Kabudi utakuwa umejifunza jinsi ya kutoa Hotuba fupi na yenye Mambo yote Muhimu kama aliyoitoa Rais Mwinyi wa Zanzibar

    Kwa ninavyokujua Mzee wangu Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi ungepewa Wewe nafasi ya Kuzungumza Zanzibar leo usingetumia dakika 15 tu alizotumia Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi. Hongera sana Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa Hotuba yako nzuri, fupi, yenye Mambo...
  9. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

    Ndiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tofauti na SADC iliyoleta Marais 8, Jumuiya ya Afrika Mashariki amekuja Rais Kenyatta pekee kumuaga Hayati Magufuli

    Anayeshikamana na wewe wakati wa shida ndiye rafiki wa kweli. Kiukweli Jumuiya ya SADC imetushika mkono kiuhakika katika msiba huu mkubwa wa taifa. Tumeshuhudia Marais kutoka Msumbiji, Afrika Kusini, Zimbabwe, Zambia, Malawi, Congo nk wakija kumuaga Hayati Magufuli ambaye alikuwa kiongozi...
  11. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ametoa moja ya hotuba bora sana, nina matumaini ataziba nyufa nyingi za utawala uliopita

    Binafsi nilikuwa na mashaka na namna atavolimiliki jukwaa mbele ya viongozi wabobezi na malegandary wa siasa za kusini mwa Afrika. Ila ukweli kabisa nimeridhika, kwa hotuba ya leo nampa maksi 97% hizo maksi 3% nilizomnyima ni makosa madogo madogo ambayo nadhani yanachangiwa na ugeni na...
  12. BAK

    JamiiForums Tanzania Maaskofu wamuasa Rais Samia Suluhu kuhusu haki na ustawi

    Maaskofu wamuasa Rais Samia kuhusu haki na ustawi MAASKOFU wa makanisa mbalimbali Tanzania wamempa ushauri Rais Samia Suluhu Hassan juu ya namna nzuri ya kuongoza nchi kwa haki na ustawi. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Dar es Salaam wa Kanisa Katiloki, Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi, Jumamosi...
  13. tpaul

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

    Ndani ya muungano wa EAC nchi ya Kenya imekuwa mstari wa mbele katika kuleta chokochoko za hapa na pale, hasa ikiichokonoa Tanzania mara kwa mara. Ingawa hivyo, Rais wa Kenya Hon Uhuru Kenyatta amefika yeye mwenyewe mubashara kuja kumuaga hayati Dr Magufuli. Nchi za Uganda na Rwanda hazijawahi...
  14. CARDLESS

    JamiiForums Tanzania Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

    Wakati Mh Rais Uhuru Kenyetta anatoa hotuba yake kulikuwa na mwingiliano wa Adhana kutoka moja ya msikiti ulio karibu na uwanja ule. Cha kushangaza mara baada ya kusikia hivyo alilazimika kusubiri mpaka adhana ile iishe. Hii inaashiria nini wanabodi? Au alitulia tu kwa huzuni yake?
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru asitisha hotuba kwenye maombolezo ya marehemu Magufuli ili kuheshimu adhana ya msikiti uliokua karibu

    Nimeipenda hii rais, muhimu sana kuheshimu dini licha ya yote....
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marais kumi wathibitisha kuja kumuaga Rais Magufuli

    Marais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma. Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema leo Machi 21, 2021 kuwa hadi sasa ana orodha ya zaidi ya marais 10 na kuahidi...
  17. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Mama Samia anahitaji kukuunganisha Taifa turudi kwenye misingi ya Utu, basi Mwigulu Nchemba hafai kuwa VP wala PM

    Wasalaam wanajukwaa! Siku wakati Rais mpya Mama Samia Suluhu anaapishwa kua Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alisisitiza turudi kuungana kua taifa moja na tuzidi kupenda tusahau yaliyopita na tugange yajayo. Ndugu yetu Mwigulu Nchemba naye jina lake linatajwa kiasi flani katika wale...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tumuenzi Rais Magufuli kwa kubana matumizi yasiyo ya lazima

    Rais Magufuli (RIP) hakupenda matumizi ya hovyo kabisa kwenye maisha yake ya uongozi. Hivyo, hata kwenye mazishi yake lazima tuzingatie matumizi ambayo yanaongeza gharama ambazo sio za lazima katika kupunsishwa kwake kwenye nyumba yake ya milele ili pesa hizo zielekezwe kwenye ujenzi wa miradi...
  19. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Awamu ya Tano au ya Sita kwa mujibu wa Katiba ya nchi?

    Leo asubuhi nememsikia mtangazaji mmoja wa East Africa Radio (kwenye kipindi cha 12:00- 04:00) akisema Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa awamu ya sita. Yawezekana wengi wakawa na mtazamo huo, au wengi wakafuata mtazamo huo baada ya kumsikia mtangazaji huyo. Je, kwa mujibu wa katiba...
  20. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Macho yangu yananidanganya?

    Mimi si kipofu wala si kiziwi. Uwezo wangu wa kuona na kusikia upo juu. Hivi hiki ninachokiona kwa macho yangu na kukisikia kwa masikio yangu ni uongo? Nina maruerue labda? Hayo ninayoyaona ni mazingaombwe? Kwa nyomi hizi zinazojipanga barabarani mwili wa Rais Magufuli unapopitishwa ndo...
Back
Top Bottom