rais

  1. Vyama vya siasa mkikutana na Rais Samia mtamwambia nini?

    Sio vema mkazungumze hoja zenu binafsi kama vile nilipigwa, nilivunjwa mkono, biashara yangu ilifungwa, na mambo kama hayo kwa Rais ambae ni mpya na ambae yuko serious kutaka kujaribu kunza ukurasa wake mpya. Kunzia sasa kila chama kirudi kwa wanachama wake wakusanye maoni yao juu ni mambo gani...
  2. B

    Mhe. Rais na Mhe Makamu wa Rais mnalinda matumizi mabaya ya Mali ya umma?

    Kama wabunge wasio na sifa wataendelea kulipwa fedha za umma na viongozi wakuu wa nchi wasikemee wala kudhibiti huu wizi wa wazi ni vigumu kupambana na wizi wa mali za umma. Kama mwanasiasa atapewa haki na baraka za Serikali kufuja Mali za umma ni vigumu Serikali hiyo kuadhibu Watumishi wa Umma...
  3. Hongera mama rais wa Tanzania kwa kuwa tayari kukaa na upinzani muongee

    Dah! Kwa kweli majirani mambo yao mengi yataanza kubadilika, huyu mama amedhamiria kurekebisha mengi tu..... NI dhahiri kwa serikali ya huyu mama MATAGA watakosa ajira maana hamna fursa ya chuki tena, hata kwa wale huwa wamewekwa humu wakeshe wakiikandia Kenya watapata tabu sana. Haya...
  4. J

    Mbatia: Nampongeza Rais Samia kwa ubunifu, salamu za Asalam Aleykum, Bwana Yesu asifiwe na Mwanakondoo zililigawa Taifa

    Mwenyekiti wa Nccr mageuzi amempongeza Rais Samia kwa kubuni salamu mpya ya taifa ya " Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania " Mbatia amesema salamu za kidini za asalam aleykum Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo na Mwanakondoo ameshinda tumfuate zilikuwa zinaligawa taifa...
  5. U

    Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango Mgeni Rasmi Kongamano Maadhimisho Miaka 57 Ya Muungano

    Kongamano hilo muhimu kuadhisha miaka 57 ya Muungano litafanyika Aprili 26, 2021 kuanzia saa 3 asubuhi Ukumbi wa Chimwaga Dodoma https://www.jamiiforums.com/threads/chato-rais-magufuli-atoa-salamu-za-maadhimisho-ya-miaka-56-ya-muungano-asamehe-wafungwa-3-973.1719702/
  6. M

    Je, Taifa ambalo Wananchi wake wanapongeza 'copy and paste Speech' ya Rais wao wa sasa kutoka kwa Rais mwingine linaitwaje?

    Kuna Hotuba nimeiona kaitoa Makamu wa Rais wa Marekani ( Mwanamama ) ambayo kumbe 'ameikopi' kama ilivyo ( bila kubadili lolote ) kutoka kwa Hotuba ya aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump. Inabidi hawa Marais wa Marekani waje Kujifunza Kuandika Hotuba zao wenyewe bila 'Kuiga' za Watangulizi...
  7. Zile kelele za uraia wa Makamu wa Rais zimeishia wapi?

    Ni Mrundi...kaonekana anacheza ngoma ya Kirundi...sijui jina lake anaitwa Ntiba-somebody... Hizo ndo kelele walizopiga baadhi ya watu kwenye mitandao wakiongozwa na mtu yule.. Sasa ghafla naona zimeisha. Watu wameacha kuhoji uraia wa makamu wa Rais, ambaye alizaliwa Kigoma. Akasoma shule...
  8. Rais Samia na hotuba ya matarajio kwa Watanzania

    RAIS Samia Suluhu Hassan, amezidi kuonyesha ni kiongozi mwanamageuzi, mtu bora na sahihi aliyeandaliwa kuwa kiongozi madhubuti kwa namna anavyowasilisha hotuba zake, ambazo zimekuwa zikivutiwa watu na kutoa mwelekeo thabiti wa Tanzania bora, ambayo inakwenda kufanikiwa chini yake. Hii...
  9. W

    Rais Samia akutana na Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Katibu Mtendaji wa SADC)

    IKULU Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 23 Aprili, 2021
  10. Hayati Magufuli alikuwa sawa kwenye suala la covid19. Makampuni yaliyotengeneza vipimo vya covid19 yashitakiwa kwa kuwa vipimo vina kasoro

    https://www.newsafrica.net/sections/international/was-tanzania-vindicated-over-covid-testing-claims HAYATI JPM ALIKUWA SAWA KWENYE SUALA LA COVID19: MABEBERU YAMEKUBALI Christian Drosten na watengenezaji wenzie wa vipimo vya Corona maarufu kama " PCR Test" wamefunguliwa mashtaka katika...
  11. Mchoraji wa picha hii ya Raisi Samia Suluhu Hassan apewe alama ngapi?

    Kati ya 100% unampa ngapi? Source: Global-Publishers Instagram.
  12. Z

    Rais wetu Samia acha hotuba za kujitetea juu ya jinsia yako, wewe ni Rais siyo Rais mwanamke

    Wewe ni mwanadamu wa jinsia ya kike. Kila mtu anafahamu juu ya matatizo ya jinsia katika dunia hii na kila nchi inajitahidi kuondoa matatizo hayo. Njia mojawapo ni kuachana na hali ya kulinganisha jinsia hizi ktk kazi, ili tuzifunike tofauti hizo. Tangu Samia uliposhika nafasi ya urais, kila...
  13. Picha Kubwa: Mbunge Dkt.Ali Bashiru akifuatilia hotuba ya Rais Samia

    Bashiru Ali akifuatilia hotuba ya mheshimiwa Rais. Mbunge huyu wa viti maalumu kabla ya kuteuliwa amewahi kushika nyazifa mbalimbali ikiwemo Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa CCM. My Take 1. Demotion isikie tu kwa mwenzio 2. Malipo ni hapa hapa duniani
  14. Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Hii ni salamu bora kutokea toka tumepata uhuru. Mama endelea kutumia hii salamu kila mara. Salamu hii haina ubaguzi, ni salamu yenye kuunganisha Taifa.
  15. M

    Hili la 'Rais' kulihutubia Bunge tukiamini ni tukio 'Kubwa' halafu kuna Wabunge wanaanzisha Nyimbo na Pambio Kusifu nalo pia ni la Kikatiba?

    Leo nimekesha Kufanya Utafiti (Kuchunguza) ni nchi gani nyingine duniani ambayo Rais akiwa 'analihutubia' Bunge Waheshimiwa Wabunge katikati ya Hotuba yake 'humkatisha' kwa Kuanza kuruka 'Sarakasi' Vitini mwao, kuimba Nyimbo na Pambio za Kusifu na Kupongeza. Je, hili la Wabunge 'Kuingilia'...
  16. W

    Hotuba ya Rais Samia naifananisha na ile ya Mzee Kikwete alivyoingia madarakani

    Wakati Mhe. Rais kikwete alipoingia madarakani mwaka 2005, alitoa hotuba safi sana, ambayo kweli tulikuwa na matumaini ya kuwa na Tanzania mpya, na yenye maendeleo ya kasi. Aliongelea mambo mengi ikiwepo uwekezaji, na kujali wawekezaji, kweli milango ilifunguliwa tulipata wawekezaji wa kila...
  17. K

    Kadari Singo aliyeteuliwa na Rais Samia ni Raia wa Marekani?

    Katika uteuzi wa Tarehe 21/04/2021 Mhe. Rais amemteua Kadari Singo ambaye anadaiwa kuwa Raia wa Marekani. Je, huyu bwana ameteuliwa kimakosa au huko Marekani yupo special mission? Kama siyo special mission kateuliwa kwa sheria gani inayoruhusu wageni kusimamia taasisi za umma? Jalada au jina...
  18. B

    Rais Samia, Katibu Mkuu Kiongozi undeni upya vetting section

    Niombe sana Mhe. Rais upitie upya mfumo wa serikali unaopelekea majalada yafike mezani kwako kwa utiaji sahihi. Yawezekana mfumo huu ulivurugwa au umevurugwa bila kuzingatia utaratibu uliowekwa kwenye Utumishi wa Umma. Upo uwezekana wapo watu wachache wasio waadilifu wameingizwa jikoni lakini...
  19. Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    Amani iwe nanyi wana JF! Mwaka 2017 nikiwa mwanachama wa CCM niliamua kuacha kukiunga mkono Chama cha Mapinduzi baada ya kugundua kuwa sera zake chini ya aliyekuwa Rais JPM sizingetufikisha popote kimaendeleo kama Taifa. Sera za kukumbatia uchumi wa kijamaa wa kutaka serikali ndo ifanye...
  20. Freeman Mbowe: Rais Samia Suluhu anateswa na kivuli cha Magufuli

    Kwa wasiojua kiswahili .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…