Mheshimiwa Jakaya Kikwete Rais wa awamu ya nne amekuwa akishikwa uchawi siku za karibuni baada ya kifo cha Rais wa awamu ya Tano John Magufuli. Zinatembea mitandaoni sauti za kurekodiwa (audios) pamoja na zile za Youtube zikimshambulia Mzee wa Msoga kama vile ni mhusika wa yaliyolikuta taifa...
Enyi wana wema mliojirani na Rais Samia Suluhu Hassan mstueni bega ageuke nyuma aone kwa macho yake mawili, asikie kwa masikio yake mawili then atumie ile rula ya kupima mabega ya wateule alivyoahidi.
Mkurugenzi huyu amelewa chakari fedha za umma kana kwamba TAKUKURU wako likizo au wanamuogopa...
Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amesema Hayati Dkt. Magufuli amefanya mambo mengi na kuna Watu walikuwa hawachaguliki kwenye Uongozi lakini kipindi cha Magufuli walipata nafasi
Amesema wanaotaka Mradi wa Mwl. Nyerere usitishwe hawaelewi faida za mradi huo na tayari Serikali imeshatumia...
Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa...
Je, unaweza kumwelezea Hayati kama alikuwa ni mtu wa namna gani?
Wakati wa uhai wake kwenye vyombo vyote vya habari ukiacha mitandao ya kijamii, magazeti na television, na hata vijiweni ilizoeleka kusikia sifa nyingi positive kumhusu yeye.
Kwenye mitandao ya kijamii kidogo kulikuwa na watu...
Kwa wajuzi naomba kujua kiwango cha elimu Cha Rais wetu wa sasa mama Samia Suluhu Hassan na pia kujua viwango vya elimu vya Marais watano waliopita na siyo vibaya tukaujua ni Rais yupi alikuwa na elimu kubwa zaidi na Rais yupi alikuwa na elimu ndogo. Lengo ni kufahamu wasifu na historia za...
Habari watanzania wenzangu?
Kwa wale wa Dar es salaam,poleni na hali ya hewa hii ya baridi na mvua za mara kwa mara.
Ni takribani wiki mbili kama sikosei toka Rais wa Jamhuri ya Muungano alipotoa agizo kuwa gharama za vifurushi zishuke na zirudi kama ilivyokuwa awali,cha ajabu mitandao ya simu...
Rais alipohutubia mara ya pili na mara ya Tatu alipokuwa akiwahotubia Mawaziri na Makatibu wakuu alizungumzia habari ya Uonevu, kesi na kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua maramoja, akaongeza bango litakalo onekana DC au Mkurugenzi hawana kazi sisi hatujamuelewa vizuri hili swala la bango...
Naona wanaharakati wa twita kila baada ya sentensi mbili kuhusu Mama yetu kipenzi mnasema atakuwa 'one term president'. Hivi ni lini alisema anataka vipindi viwili? Considering namna alivyoingia madarakani, hamfikirii kuwa labda alikuwa na mipango yake kabla msiba haujaingilia kati? She might...
Ikifika July mwaka huu Rwanda watakuwa na satellite ya pili angani..ki nchi maskini kuliko sisi. Kenya wanayo, Egypt wanazo 9.
Hii technology ipo available na gharama wala sio ya kutushinda kama Taifa. Ni nusu ya ndege moja tunazonunua au even chini ya hapo.
Faida zake ni nyingi mno kulingana...
Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya hali ilivyo katika vyuo vikuu vyetu vya umma. Ninazo hoja sita, leo nitawasilisha mbili na zingine nitawasilisha ndani ya juma hili.
Ajira za Maprofesa katika vyuo vikuu vya umma na hali halisi ilivyo hivi sasa katika vyuo hivi
Mitaala ya Vyuo Vikuu...
Kwa kiwango cha unafiki tulicho nacho Watanzania. Rais lelemama hawezi ifanikisha Tanzania hii iliyojawa na watu wenye maneno mengi kuliko vitendo.
Tanzania ambayo imejaa WANAFIKI WA KIWANGO CHA KIMATAIFA, WANAFIKI WA HADHI YA NYOTA 5.
Si ajabu sasa wanaanza kupanga na kujipanga kuanza...
Hayati Magufuli alikuwa mzalendo na anayejua nini maana ya uongozi Magufuli alitamani watanzania woote tuwe wazalendo na ndiyo maana hakutaka kuongeza mishahara ili fedha zitumike kujenga nchi.
Ukiachilia mbali yeye kuwa Rais ila alijiweka kama mwananchi wa kawaida hakupenda kujimwambafai...
Niseme kwamba kuna viongozi na watumishi ambao bado Watanzania na wawekezaji wanaweza wasiwe na imani na serikali ya Rai Samia Suluhu, uliza kwanini.
1. Namna walikuwa wakisimamia na kutunga sheria za kodi, Habari na walikuwa hawako tayari kulinda haki za binadamu.
2. Manyanyaso ya wananchi...
Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks...
Jana Rais Samia alionekana nchini Uganda akiwa amevaa barakoa kwa mara ya kwanza wakenya wakaandika uhuni kama walivyozoea
Alivyorejea kutoka Uganda hakuna aliyetaka kujua kama mama alivyaa barakoa au la, lakini kiukweli mama amepokelewa akirejea nchini bila barakoa
What does this mean? Mama...
Nchi yenye watu ambao wana vichwa vyenye uwezo wa ku-observe their nature, kufikiri na kubuni njia mbalimbali za kutatua matatizo yao yanayo wakabili practically, ndiyo nchi yenye maendeleo makubwa na mara nyingi inakuwa nchi ambayo wananchi wake wanajiamini na hawaogopi kukabialiana na tatizo...
Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii.
Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang.
=====
MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA!
1. Mwambieni CAG...
Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri.
Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli.
Ameua ndoto za vijana kwa kuwanyima ajira akiwaambia wajiajiri huku watoto zake na watu wake wa karibu akiwapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.