rais

  1. JamiiForums Tanzania Walter Mondale, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Marekani, afariki dunia

    Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Walter F. Mondale, Mliberali ambaye alishindwa uchaguzi wa urais uliopuuzwa baada ya kuwaambia wazi wapiga kura kwamba watarajie ongezeko la alifariki dunia siku ya Jumatatu. Alikuwa na miaka 93. Mondale alihudumu katika jimbo la Minnesota kama mwanasheria...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, sambaratisha Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu

    Wanabodi Shaloom! Ninakuomba kama itakupendeza futilia mbali Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ili fedha za umma zinazoteketea kuligharamia zitumike kwingine. Ni kitengo cha upigaji. Nikukumbushe: mwaka 2005 baada ya Jakaya kuingia madarakani ndipo kitengo hiki kiliundwa mahsusi kumpa Salvatory...
  3. JamiiForums Tanzania Namshauri Rais Samia afanye kitu kimoja kikubwa sana ili iwe 'statement' kwa wale wanaomsumbua

    Ni ukweli kwamba toka Rais Samia Hassan ameingia madarakani, ameona umuhimu wa kubadili muelekeo wa nchi katika nyanja mbalimbali za kisiasa, kijamii na kiuchumi. Na ni ukweli pia kuwa kuna watu wanamvuta ili asifanye mabadiliko hayo maana yanaonekana kama ni fedheha na kejeli kwa mtangulizi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Siyo kwamba nampenda Rais Samia, bali nafurahi hofu ya watu wasiojulikana imeondoka

    Ilifika mahali hata kuongea siasa unaangalia kushoto na kulia ndiyo uongee,tena na unayemuamini. Ilifika mahali ukiongea halafu ukataja neno Tundu Lissu badi kama pana mfanyakazi wa serikalini unaona amaondoka kimyakimya. Simu zinarahisisha biashara lakini ilifika mahali mtu hapendi muongee...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Godwin Gunele: Rais ni taasisi hivyo Kikatiba inabadilika kila baada ya miaka 5, hivyo Rais Samia anatumikia kipindi cha Hayati Magufuli

    Mwanasheria nguli Dr Godwin Gunele amesema Rais siyo mtu bali ni taasisi ambayo kikatiba inakaa kwa miaka 5. Kwa maana hiyo awamu tuliyopo ni ya 5 siyo ya 6 kwa sababu Rais Samia siyo " President elect" bali ni makamu wa Rais aliyechukua nafasi ya Rais aliyefariki. Dr Godwin anasema hata...
  6. JamiiForums Tanzania Sasa tumemuelewa Rais Samia Suluhu. Kazi iendelee!

    SASA TUMEMUELEWA RAIS SAMIA SULUHU KAZI IENDELEE Kwa heshima na taadhima kwa niaba ya wapenda maendeleo napenda kutoa shukurani za dhati kwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kwa jitahada zake za dhati za kulirejesha taifa katika umoja wake na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Rais Samia ametuandalia futari Wabunge na Wafanyakazi wote wa Bunge siku ya Alhamisi 22/04/2021

    Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge. Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni Chanzo: Eatv Habari Ramadhan Kareem!
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia ‘Mimi na Magufuli ni kitu kimoja’ ni ya Kisiasa zaidi matendo yao yanatofautiana

    Kisiasa Rais Samia Suluhu asingeweza kusema yupo kinyume na mtangulizi wake Magufuli, na hatutegemei aseme hivyo hadharani lkn inawezekana moyoni anawaza tofauti kabisa. Binafsi kinacho matter zaidi ni vitendo. Hivi ni baadhi ya viashiria vya tofauti zao kiutendaji. ———————— Magufuli: Tanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya muhula huu, Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa kushika kiti hicho mara moja

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na marekebisho yake yote, baada ya mhula huu mfupi wa urais wake wa kurithi kwa mujibu wa masharti ya Ibara ya 37(5), Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa tena kwa mhula mwingine mmoja. Ibara ya 40(4) ambayo ndiyo inahusika...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Mwinyi aliwahi kuitisha Baraza la Mawaziri na kulivunja mbele yao

    Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa) Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?" Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? " Ramadhan Kareem!
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu. === Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mnikulu ni cheo gani na anashughulika na nini Ikulu?

    Poleni na majukumu ya kutwa mzima. Nilikuwa naomba maana ya mnikulu mkuu na huyo mnikulu pale Magogoni ana kazi gani?
  13. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Kauli ya Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni 2020

    Kauli hii ilitolewa na Mh. Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba 2020
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie; DED Monduli na RC wa Arusha wametupora fidia ya ardhi Makuyuni

    DED wa Halmashauri ya Monduli pamoja na RC wa sasa wa Arusha Idd Kimanta wamepora fidia ya ardhi kwa taasisi za dini ya Kikristo na Kiislam pamoja na mwanamke mmoja waliopitiwa na umeme wa Kilovolt 400 kutoka Singida -Namanga katika Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha. Mwaka...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia Bunge liko chini ya Rais wa JMT, Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais na mikutano ya Bunge inaahirishwa na Waziri Mkuu

    Haya mambo ya mihimili ni lugha za kisiasa tu lakini kiuhalisia Rais wa JMT yuko juu ya Bunge na Mahakama. Ndio maana Mtendaji mkuu wa Bunge ni mteule wa Rais na anafanya kazi kwa karibu " zaidi " na Waziri Mkuu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rais ana uwezo wa kulivunja Bunge. Watendaji...
  16. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina mheshimu Rais aliyeko madarakani usimpangie ya kutekeleza, usilazimishe Legacy,utawala siyo sawa na mirathi

    Wewe ulikuwa Waziri wa Mifugo, ukafanya yako tukakuona. Tuambie uliyemkabidhi ofisi, anafuata yako au anatekeleza yake kwa mujibu wa Katiba?. Kushinikiza na kutaka ya mtu fulani yaendelezwe ni kumuona aliyeko hana dira na ni kama umemdharau. Mzee Mwinyi na Hayati Benjamin walilelewa na Hayati...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia, usiwasikilize wanasiasa uchwara wanaoshabikia ukabila, uonezi na upendeleo ulioasisiwa na mtangulizi wako

    Kujenga umoja wa kitaifa ni kazi ngumu kuliko kujenga mabarabara marefu nchini. Umoja huu wa kitaifa umejengwa mwa miaka mingi na kwa gharama kubwa kutoka Awamu ya kwanza na zilizofuatiwa. Kuna ambao shula za kidini zilitaifishwa, hospitali zikafanya za umma, ubaguzi wa kidini, kieneo hata...
  18. S

    JamiiForums Tanzania CCM rudini shule mkasome Kiswahili. Rais Samia ni mwingi wa tafsida

    Maana ya neno tafsida ni utumiaji wa lugha ya adabu na heshima ili kuondoa ukali/ukakasi wa lugha na kuleta staha. Kundi fulani la wanaCCM limeshangilia sana mama Samia aliposema yeye na JPM ni kitu kimoja. Wanasahau kuwa huyu mama mtu wa Pwani ambako kiswahili ndiyo chimbuko. Angekuwa sawa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameingilia mhimili wa Bunge kwa hiyo ameanza kuisigina katiba waziwazi

    Rais Samia Suluhu Hassan kwanini aingilie mhimili wa Bunge? Zaidi soma Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli Leo ni siku ambayo makali ya Samia katika kutetea maslahi ya CCM yameanza kujionesha wazi, wabunge wako huru kujadili chochote...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia awaasa viongozi wa dini, "Simameni tuwapige vita wazandiki katika mitandao ya kijamii"

    "Hawa watu wakifikiria tu vitu vichwani mwao,wanaandika",amesema Mama Samia. Wanamtaka kuwaaminisha mambo mengine ambayo siyo ya kweli. Wanawalinganisha Magufuli na Samia. Kwa nini? Samia na Magufuli ni kitu kimoja. Ni kitu kimoja? We hope not. Kwa sababu hii ni Awamu mpya na wananchi wanataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…