rais

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wamulikwe wanaotumiwa kudhoofisha jitihada za Rais Samia Suluhu

    Mabibi na mabwana, mama Samia kadhamiria kwa dhati kabisa kutuvusha salama kama taifa. Hii ni katika masuala yote msingi yakiwamo ya afya zetu na pia katika ujenzi wa taifa. Kuhusiana na afya zetu hasa gonjwa hili linalotikisa dunia, mama Samia aliteua tume ya wataalamu ambayo tayari imeshatoa...
  2. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Rais Samia Suluhu Hassan azindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 18, 2021 amezindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi, Bohari Kuu Kurasini Pia amekagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa heshima yake UPDATES: RAIS AWATAKA POLISI WASITUMIE MAKOSA KAMA KITEGA UCHUMI Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Sifa za kupata mkopo HESLB ziangaliwe upya kabla ya maombi Juni 2021, hasa kigezo cha kuwanyima mkopo waliosoma shule binafsi

    Kigezo cha mtoto mbaye amesoma private schools asipate mkopo si sahihi. Wazazi wengine wanakuwa wamestaafu, wameacha kazi, wamekufa etc, kutumia kigezo hicho ni kutowatendea haki. Au pia uwezo wa biashara yake umekufa kama wakati wa Mwendazake biashara nyingi zilikufa na...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Heshima, Kujiheshimu, kuwa na malengo na kujua wapi unapotaka kwenda

    Akiongea na wanafunzi na watoto wa kike, mh.Rais Samia Suluhu Hassan ALIWASHAJIISHA adabu na nidhamu vijana hao huku akiwasimulia mikasa aliyoipata katika safari yake ya maisha. Alianza kuwaelezea mapito aliyopitia katika UWAJIBIKAJI WAKE WA KAZI katika SEKTA BINAFSI na TAASISI ZA KISERIKALI...
  5. JamiiForums Tanzania South Africa's ex-president says he is ready for graft trial

    kesi ya Jacob Zuma hiyo South Africa's ex-president says he is ready for graft trial JOHANNESBURG (AP) — Former South African President Jacob Zuma says he is ready for his trial on charges of corruption, racketeering, and money laundering. Zuma appeared at the Pietermaritzburg High...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF ni Mzulu Patrice Motsepe kutoka Afrika Kusini. Simba pulizeni dawa muone Wazulu walivyo wabaya

    Nawakumbusha tu simba.. Zama za kupuliza dawa zimeisha... au kusema watu wana corona.... Ama mseme wana corona kama al mereik.. rais wa caf anawapiga ban milele
  7. J

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri: Uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru 2021, Umewashwa na makamu wa pili wa Rais Zanzibar utakimbizwa siku 150!

    Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir. Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe 14/10/2021 kwa Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan huko Chato, Geita. Source: ZBC
  8. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ameweza kufanya kwa Wakuu wa Mkoa, kwanini hakufanya kwa Mawaziri?

    Nilishangaa kidogo kusoma Press Release ya Ikulu ambayo ilitangaza majina ya Wakuu wa Mikoa ''wapya'' ambao WAMETEULIWA na Rais Samia. Kilichonishangaza ni lugha iliyotumika lakini ''kiuhalisia'' kilichofanyika ni UHAMISHO TU wa Wakuu wa Mikoa na kuziba nafasi za wale wamestaafu. Rais Samia...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Jimbo analotoka Rais au Makamu wake haliwezi kuongozwa na mbunge wa upinzani!

    Hilo hata Zitto Kabwe analijua vema kabisa. Na hapo Tume ya uchaguzi imemheshimu sana mh Zitto Kabwe kwa sababu mgombea wake ilikuwa akatwe mapema kabisa halafu wanaachwa wagombea wawili tu CCM vs TLP ya Mrema. Jimbo analotoka kiongozi wa juu lazima liwe na usalama wa kutosha. Kazi Iendelee!
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh. Hussein Ali Mwinyi

    Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mimi kama kijana wako imenipitia tafakuri ambayo nimeona nikushauri kwayo. Inawezekana mada hii ikazuwa mjadala ambao ukawa na matokeo hasi kwako kama mtu au kwa taasisi ya Urais, hiyo siyo nia yangu mkuu na kwa kuwa wewe ni mtu...
  11. JamiiForums Tanzania DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji, Rais Samia umekosea sana

    Miongoni mwa watu walioteuliwa leo na Rais Samia Suluhu kuwa majaji wa mahakama kuu, jina la DPP Biswalo Maganga lipo pia. Hili jambo limetushtua sana wadau wa mambo ya sheria, kuna kitu tunakiona hakiko sawa na kinakwenda kutuharibia zaidi mhimili wetu wa sheria. Nitaweka sababu za msingi sana...
  12. JamiiForums Tanzania Karne 21 bado ni sahihi DC & RC kuteuliwa na Rais?

    Heshima sana wanajamvi, Tanzania ilipata uhuru wake zaidi ya miaka 60 iliyopita.Tumepitia awamu mbali mbali kuanzia awamu ya kwanza ya Mwl Nyerere hadi sasa awamu ya sita ya Mama Samia Suluhu. Nimekuwa nikitatizwa na namna tunavyojitawala,hasa katika suala la zima la mamlaka ya uteuzi wa...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Wakuu wa Mkoa umekaa kimkakati, Hongera sana Rais Samia

    Nimpe Hongera Rais wetu mama Samia Suluhu, kwa teuzi za wakuu wa mikoa alofanya. Nimependa kwani imekaa kimkakati zaidi na hasa kwa kuangalia uwezo na kushabihiana kwa wasifu wa wakuu hao na mikoa waliopangiwa. Mfano kwa uchache: Mhe. Makala kupangiwa Dar, huyu ni mtu wa shughuli, na ni...
  14. JamiiForums Tanzania Ni lini IGP Sirro utafanya mabadiliko ya MA RPC ili kwenda na kasi ya Rais Mpya ?

    Kumekuwa na Malalamiko mengi sana huko kwenye mikoa ya Kipolisi kutokana na utendaji wa kutiliwa shaka wa Jeshi la Polisi , ninaamini hata wewe IGP unafahamu , si vema kurudia malalamiko hayo hapa ili kuokoa muda. Sasa tumeona mabadiliko ya uongozi karibu kila idara na kila mahali...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais akilihutubia Bunge alisema kuwateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake, mbona kateua Ma-RC wanawake wachache?

    Hivi punde Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa huku wanawake wakiwa wachche mno ktk uteuzi huo. Akilihutubia Bunge kasema atawateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake. Mbona imekuwa kinyume? Je hakuna wanawake wenye uwezo wa kuongoza mikoa au kashauriwa tofauti na watu wenye...
  16. JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

    Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu. Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho. Mbeya wanashukuru sana maana...
  17. J

    JamiiForums Tanzania CCM ni lazima ibadilike chaguzi za 'Kitemi' zimepitwa na wakati, Rais Samia yuko sahihi kukijenga upya chama

    CCM itaendelea kutegemea dola ili ishinde uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hadi lini? CCM itaendelea kutegemea mbeleko ya Wakurugenzi na wakuu wa wilaya hadi lini ilhali katika uhalisia mioyo ya wapiga kura huwezi kuisemea wala kuiamulia? Ni wakati sasa CCM ijijengee uhalali wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Rais anayetumia ndege na msafara wa watu 30 na anayesafiri kwa barabara na msafara wa Magari 50, ni yupi anabana Matumizi?

    Leo Krav Maga nipo Kiuchumi (Kiubahili) zaidi hivyo nawataka Political and Economic Pundits wa JamiiForums hapa mnidadavulie Kiundani ili nijue nani anauharibu Uchumi na nani pengine ndiyo anaukuza Uchumi. Na tafadhali mtakaokuja Kunichambulia (Kunidadavulia) hapa mnipe Gharama ya Mafuta ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Rais, Mama Samia ni kweli tuna utaalamu na wataalamu wa kisayansi kujiridhisha kama chanjo za corona zinafaa au hazifai?

    Simply hatuna wataalamu wa kubaini kama chanjo inafaa au haifai kwetu! Haya mambo siyo rahisi kama wanavyokuaminisha. Hatuna Investigators brochure (IB) za hizo chanjo, then how do you judge the safety of an investigational product? (sidhani kama J&J, Moderna, Pfizer utawalazimisha wakupe hizo...
  20. JamiiForums Tanzania Nashauri kamati ya kumshauri Rais kuhusu chanjo ifuatilie hili pia

    Natambua kuwa Kamati tajwa imepewa hadidu za rejea kadhaa ili kumashauri Rais kuhusu msimamo wa kupokea kukubali chanjo ya Corona au la. Ni wazi kuwa Kamati imepewa maswali na hadidu za rejea kadhaa kuhusu ugonjwa huu. Napenda niwaongezee jambo muhimu la kufuatilia japo linaweza kuwa nje ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…