rais

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia siyo kila Kitu cha Hayati Rais Dkt. Magufuli ni cha Kuigaiga tu, tulia nawe tengeneza 'Leadership Style' yako tafadhali

    Yaani Mtangulizi wako Hayati Rais Dkt. Magufuli alianzisha tabia ya Kuvizia Wasanii wenye Majina makubwa nchini wakiwa 'on the Stage' wakitumbuiza na Kuwapigia Simu Kuwapongeza nawe Jana umeamua upite mule mule kwa Kumpigia Msanii wa Kike Nandy akiwa anatumbuiza Mkoani Dodoma na Kumpongeza pia...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku 100 za Rais Samia zitimie leo tarehe 27 badala ya 29/06/2021?

    Nimesikia katika vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa kuwa Rais Samia Suluhu ametimiza siku 100 madarakani leo 27/06/2021. Nachokumbuka huyu Rais Samia alikula kiapo cha kuwa Rais wa JMT tarehe 19/03/2021 na hivyo siku 100 ni keshokutwa 29/06/2021. Inakumbukwa Rais John Magufuli...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Corona ipo, chukueni tahadhari

    Nawasihi Watanzania wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Korona (Uviko-19) kama tunavyoelekezwa na wataalamu wetu wa afya. Tunawe mikono kwa maji tiririka na sabuni, tutumie vitakasa mikono, tuvae barakoa na tusigusanegusane. Ugonjwa wa Korona upo.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nilimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake, bado nasubiri majibu

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amesema alimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake na ilipokelewa na msaidizi wake. Lissu aliacha ujumbe wa kuomba kukutana na Rais ili waweze kujadili kwa pamoja mageuzi ya kiuchumi na mustakabali wa taifa. Tundu Lissu amesema...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tupitie upya tena mradi mkakati wa ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Omukajunguti ambacho kitaunganisha EAC

    Rais wetu kipenzi, Kabla ya mambo kubadilika, kulikuwa na mpango mkakati wa ujenzi wa kiwanja cha ndege eneo la Omukajunguti mkoani Kagera. Huu mradi ulilenga kuziunganisha nchi za Afrika Mashariki, lakini si hivyo tu mama, kama umeenda Bukoba umeona ni jinsi gani ndege zinastrugle kutua katika...
  6. Autodidacts

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kiwanda cha Chibuku/ Darbrew LTD kilifungwa tangu mwaka 2018. Muwekezaji yupo lakini Watendaji wa Jiji la Ilala wanakwamisha

    DARBREW LTD ni kiwanda cha kutengeneza pombe aina ya chibuku,kilianzishwa tangu mwaka 1967 na kampuni binafsi LONRHO corporation. Serikali ilikitaifisha kiwanda hicho mwaka 1978 na kukiendesha kwa mafanikio.Kilianza kuwa na ubia mwaka 1997 ambapo serikali ilikuwa na hisa ya 40% na sekta binafsi...
  7. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Tulipomchagua Magufuli kuwa Rais; tulimchagua Rais mtarajiwa mhe.Samia kwa mujibu wa Katiba !

    YALIYOJIRI KONGAMANO LA WATUMISHI WA MUNGU KUMWOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU 100 ZA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MADARAKANI KUONGOZA NCHI YA TANZANIA Kongamano lilianzia kwa maneno ya salamu za viongozi mbalimbali wa dini sawa na kusudi la kongamanona sambamba na...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Sheikh Kipozeo kwa Rais Samia huu hapa

    Kimsingi ameahidi kumuunga mkono Mhe. Rais katika uongozi wake kama alivyomuunga Mkono Magufuli Chanzo : Mwananchi
  9. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tujifunze kwenye gesi. Je, manufaa ya gesi yapo wapi kwa Wananchi wa kawaida?

    Wazee. Mnakumbuka zile heka heka za gesi ya Mtwara? Kipindi hicho Kinyerezi kulikuwa busy si kawaida. Haya, Mama yetu tuambie hayo manufaa ya gesi kwa Wananchi wa kawaida ni upi? Wana Mtwara vipi wanafaidika na gesi? Tujifunze kwenye gesi
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Serikali kufanya mazungumzo kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali ipo katika mazungumzo ili kuweza kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hayo ameyasema leo Tarehe 26, 06. 2021 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa 12 wa baraza la biashara. Rais Samia amesema pia hiyo itakwenda sambamba na mradi wa Mchumchuma...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia na Baraza la Maaskofu (TEC) walikuwa na kikao cha siri?

    Wote tuliona hadi hotuba zote za Rais na maaskofu jana walipokutana pale Kurasini, TEC. Wote nadhani mmeona baada ya kila kitu kumbe kukawa na kikao kingine cha Rais Samia na haohao maaskofu hapohapo ukumbini. Kikao hiki wote tumeambiwa ni siri, tena wale wenye ruhusa ya kusikiliza siri za...
  12. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Serikali haimsaliti Rais aliyepita kuhusu Nyungu

    "Huwezi kusema serikali nzima inamsaliti Rais wetu aliyetangulia mbele ya haki. Mwaka jana wakati tunatumia ‘nyungu’ kulikuwa hakuna taarifa za chanjo, kulikuwa hakuna hata mmoja wetu aliyejua dawa za kutibu UVIKO-19, kirusi kilikuwa kipya na taarifa zake hatukuwa tunazijua vizuri" Mh. Hamis...
  13. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania AUDIO, Uchambuzi; Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu

    Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu nimeziadhimisha kwakufanya uchambuzi kwa mahojiano ya Radio, Kuhusu Hali ya Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, na kuhusu vuguvugu la Katiba Mpya. Sikiliza mwanzo hadi mwisho!
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu na Rais wangu wa TFF Karia kwa yanayoendelea Uwanja wa Songea nimekusamehe ila Kosa hili lisije likajirudia tena

    Nimetoka Kumsikia Msimamizi Mkuu wa Uwanja wa Maji Maji huko Songea (Mkoani Ruvuma) utakaotumika katika Nusu Fainali ya ASFC Kesho kati ya Azam FC na Simba SC nimebaki Kusikitika na hata Kukasirika pia. Ukweli ni kwamba hadi GENTAMYCINE naandika Uzi huu hivi sasa Uwanja upo tayari kwa 75% hadi...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ajengewe mnara wa kumbukumbu

    Habarini, Kama katiba yetu inavyosema kuwa 'kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake kwa uhuru', Mimi pia nina maoni yangu. Pale posta kwenye mnara maarufu wa Askari ninashauri mnara wa Askari utolewe na uwekwe mnara wa Samia Suluhu (Rais wa Jamhuri ya Muungano). Maana wengi hatujui maana...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TCRA mebariki Tangazo linalorushwa Clouds FM lenye Sauti iliyoigizwa ya Dkt. Kikwete ikisema "Tukutane kwa Mpalange Kumenoga?"

    Baada ya nyie Kuwakataza wasiendelee kutumia Kauli fulani ya Rais Samia kama 'Kibwagizo' chao sasa wameamua kuja na Sauti ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Kikwete (iliyoigizwa) ikihamasisha Wasikilizaji tukutane kwa Mpalange na kwamba huko ndiko 'Kumenoga' kwa sasa. Hapa GENTAMYCINE nimejikuta...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Watumishi wapata kicheko, Mhe. Rais Samia kaishafanya jambo lao - mishahara juu

    Jambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua. Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu. Hurrah Mhe. Rais Samia.
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Mbowe, Katiba si muhimu sana bali tuombe Tanzania isimpate Rais Katili na Mwendawazimu

    "Kwa Madaraka makubwa aliyonayo Rais kutokana na Katiba iliyopo akiwa ni Rais mzuri haina shida, ila akiwa ni Rais Katili au Chizi anaweza kuipeleka nchi kubaya sana " Chanzo: BBC Dira ya Dunia Leo hii. Haya mnaoshupalia Katiba mpya na kutupigia Kelele zenu za 'Nongwa' kila Siku Mh. Mbowe hana...
  19. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo aiponda Katiba ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT)

    WAKATI sakata la sifa za kielimu la Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo likizidi kuchukua hatua tofauti, shirikisho limedai linatarajia kufanya mabadiliko ya katiba yake. RT ilifanya uchaguzi wake mapema mwaka huu, baada ya kufanyika kwa mabadiliko ya katiba, ambapo...
  20. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Siku100 Ikulu: Rais Samia anavyotibu siasa za utapiamlo

    #Siku 100 za Samia: Rais Samia anavyotibu siasa za utapiamlo Deogratias Mutungi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatimiza siku mia moja hapo Juni, 26 tangu kuapishwa kwake tarehe 19 mwezi wa tatu, kufuatia kifo cha mtangulizi wake JPM, ndani ya siku hizi mia moja...
Back
Top Bottom