rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais ni kioo cha jamii, msilalamike

    Ninashawishika sasa kuamini kwamba lawama tunazomtwisha Rais ni kumuonea. Rais anatokea kwenye jamii, anayoyafanya ndiyo desturi za jamii hiyo. Mnapoona tunapata rais ambaye anakandamiza demokrasia na uhuru wa habari ni kwa sababu jamii hiyo ndivyo ilivyo. Watu wanapotea, wanachinjwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mauaji ya Rais wa Haiti Jovenel Moise na funzo kwa Katiba yetu bora ya mwaka 1977

    Ubora wa Katiba yetu ya mwaka 1977 na yaitwayo madaraka makubwa ya Rais. Funzo kwa wenzetu nchi ya haiti na kumpunguzia rais wao madaraka. Je, watungaji (constitutional framers) wa katiba ya 1977 ya JMT walikosea kumpa rais wetu madaraka makubwa? Kufuatia mauaji ya rais wa nchi ya Haiti...
  3. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli VPL ni kama iliisha tarehe 3 Julai 2021 mbele ya Rais Samia

    Timu zetu 4 kufanikiwa kwenda kushiriki mashindano ya CAF msimu ujao ni kama vile yamemaliza kiu ya kuwa bingwa kwa msimu huu. Mshindi wa kwanza na wapili wa VPL hawana tofauti kubwa maana tofauti kati ya zawadi ya mashindi wa kwanza na pili hairushi roho washindi wa pili, ni ndogo sana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Hussein Mwinyi tushaondolewa CAF, Usije ukaifanya Zanzibar Mkoa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Zanzibar imeondolewa kwenye mashindano ya CAF.Sasa Mh.Rais Dr Hussein Mwinyi utambue tu kuwa Zanzibar ni nchi ndani ya Muugano. Usije kutuweka kwenye ramani ya kuwa mkoa wa 32 wa Tanzania. Maana maoni ya wengi hapa wametufananisha na mikoa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Siyo vibaya viongozi wa dini kuwa wanasiasa

    Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba. Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mikutano iliyotangazwa kufanyika nchi nzima na Katibu Mkuu CCM siyo mikutano ya hadhara iliyozuiwa na Rais?

    Najiuliza Kama katibu mkuu CCM ametangaza kufanyika mikutano ya hadhara nchi nzima itakayo fanywa na wabunge, madiwani, wenyeviti wa CCM wilaya,kata,vijiji na mitaa,zuio la Rais lilikuwa linawahusu watu gani? Pia Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM naye anazunguka kiaina kukutana na wananchi na...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wakandarasi Wazawa wanamuangusha Rais Samia

    Kandarasi nyingi hasa za barabara zinafanywa chini ya viwango na wakati mwingine hawana hata vifaaa kwa ajili ya kazi. Hii imepelekea adha na Usumbufu kwa watumiaji wa barabara hizi zinazofanyiwa ukabarati. Mfano kipande cha barabara kutoka Mabibo Mwisho hadi makutano na Morogoro Road...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia na wapinzani, kubalini kuelewana kwenye hili la Katiba Mpya

    Facts - Ni wazi kuwa wapinzani (wa kweli), wanaharakati, CCM Zanzibar, CCM wapenda mabadiliko bara na watanzania wengi kwa ujumla wao wanataka mabadiliko ya katiba ili kuondoa changamoto nyingi za kisheria na kiutawala zilizopo sasa. - Ni wazi kuwa wazanzibari wengi (Mh. Rais akiwemo)...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia asifikiri kuwa mwanamke itavutia wawekezaji

    Nilimsikia Rais wetu Samia Suluhu akithamanisha uwepo wake kama Rais Mwanamke katika kuvutia vitega uchumi toka nje. Hiki ni kiinimacho tusije ruhusu uwekezaji usio na tija kwa maendeleo ya nchi. Lengo letu sio kua na wawekezaji wengi tu. Samia asije legeza kamba akaanza kutoka kwenye misingi...
  10. JamiiForums Tanzania Haiti: Polisi waua watu wanne wanaoshukiwa kwa mauaji ya Rais Jovenel Moïse

    Mkuu wa Polisi Nchini humo, Leon Charles, amesema watu wanne wanaoshukiwa kwa mauaji ya Rais Jovenel Moïse wameuawa na wengine wawili wamekamatwa Kuuawa kwa Moïse na kujeruhiwa kwa Mkewe kulitarajiwa kuleta machafuko zaidi katika Taifa hilo ambalo tayari linakabiliwa na ghasia za magenge ya...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kinachowauma CHADEMA sio Katiba Mpya bali ni Mbowe na Lissu kutoalikwa Ikulu

    Ndugu zangu, Kwa wataalamu wa Saikolojia wanaelewa, Chadema walifurahia SSH kuwa Rais na haikupita wiki wakaandika barua kuomba kwenda Ikulu bila kusema dhumuni la kwenda Ikulu. Waliamini wao ni muhimu kuliko yeyote hapa nchini. Muda umepita sasa, hawajaalikwa, wamekasirika, wana hasira...
  12. JamiiForums Tanzania Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais Madarakani, lakini ni ngumu sana

    KATIBA INARUHUSU LAKINI NI NGUMU SANA BUNGE KUMWONDOA RAIS MADARAKANI Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi, Leo nimeona nije na hili jambo la kusisimua lililopo kwenye katiba yetu lakini lisilotekelezeka. Halitekelezeki kwa sababu CCM haijawahi teua mgombea mwenye matatizo yasiyo ya...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia kutoka nia ya kukutana na vyama vya upinzani hadi "Ngoja tuimarishe uchumi kwanza"

    Moja ya kauli za mwanzo kabisa za Rais Samia ambazo zilileta msisimko nchini ni kusudio lake la kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani. Msisimko ulitokana na ukweli kwamba Rais Magufuli hakuwa na mpango wa aina hiyo kabisa, badala yake mkakati wake ulikuwa kuviua kabisa vyama vya upinzani...
  14. M

    JamiiForums Tanzania DC Abdallah Mwaipaya, nakushauri uende taratibu

    Hongera sana DC wa Mwanga Abdallah Musa Mwaipaya kwa Kuja na Moto Mkali huko Mwanga ila Krav Maga nakushauri ipunguze hiyo Spidi yako ya kutaka Sifa za haraka kwa Mama zitakuponza na utaharibikiwa mapema sana tu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Tusijiamini sana, mauaji ya Rais wa Haiti yanaweza kutokea kwa Wengine. Umakini uongezwe kwa Marais Duniani

    Chanzo kimoja kutoka huko nchini Haiti moja ya sababu ya Assassination hiyo ni Kitendo cha Rais huyo Kutengeneza Makundi kuanzia katika Chama chake, Idara yake ya Usalama wa Taifa, Jeshini na pia Kumuamini Mtu Mmoja ( Mstaafu ) ambaye alimchuuza ili auwawe ili Mtu aliyeandaliwa Kimkakati kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

    Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu. Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara. Amewataka wananchi kutokubali na kutunza amani iliyopo. Amesema hayo akiwa Morogoro kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia, angalia viwanda hivi vilivyofungwa hapa Morogoro

    RAIS Samia. Morogoro tunashida hizi; KIWANDA CHA MAZAVA KUFUNGWA Kiwanda hiki kilikuwa kinatengeneza nguo(jezi), kiliajiri zaidi ya watu elfu kumi(10000) Kwa sasa kimefungwa kwa kile kinachoelezwa kuwa kutokuelewana na serikali ya awamu ya tano katika suala la ulipaji kodi. Kimsingi hakuna...
  18. JamiiForums Tanzania Haiti: Rais Jovenel Moise auawa akiwa nyumbani kwake. Mkewe ajeruhiwa

    Rais wa Haiti, Jovenel Moïse ameuawa katika shambulio lililotokea kwenye makazi yake huku ikielezwa Mkewe amejeruhiwa Taarifa za kifo chake zimetolewa na Waziri Mkuu wa Mpito, Claude Joseph ambaye anaongoza Nchi hiyo kwa sasa ======== The president of Haiti, Jovenel Moise, was reportedly...
  19. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Ziara ya Rais Samia Mkoani Morogoro

    Wakuu salaam, Leo Julai, 7 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili katika maeneo ya Msamvu manispaa ya Morogoro, Dumila wilayani Kilosa na wilaya ya Gairo. Aidha Mkuu wa mkoa wa Morogoro...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba Katiba hii mbovu inamruhusu Rais kuteua Watu wa familia yake kushika vyeo mbalimbali?

    Kwa katiba tuliyo nayo mhe Samia anaweza kuteua familia yake yote na kuipa vyeo tofauti tofauti. Anaweza kumpa mtu yeyote cheo cha aina yeyote muda wowote. Uwe unataka ama hutaki. Kwa mfano anaweza kuamua kumteua:- - Mumewe kuwa waziri wa fedha. - Mwanawe kuwa mhazini mkuu wa serikali -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…