rais

  1. JamiiForums Tanzania Kundi la Mwigulu linajipanga Uchaguzi mwaka 2025. Mwigulu anatumia nafasi hii Kushusha Umaarufu wa Rais Samia

    Anachofanya Mwigulu si kwa bahati mbaya. Anajua vizuri sana na anatumia mbinu ya kumchonganisha Samia na wananchi huku akijipanga kuja gombea Uchaguzi wa mwaka 2025/2030. Hafanyi kwa bahati mbaya. Hizi tozo mpya anajua anachofanya. Anamshusha Rais Samia huku yeye akijiwekea mazingira ya kupata...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Wakurugenzi unafanyika lini? Mambo mengi yamesimama Wilayani

    Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama. Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma kila mara. Nilikuja kufatilia mambo fulani katika moja ya Wilaya "Mkoa kanda ya ziwa" ni wiki ya 3...
  3. JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar: Kuumiza watu ili uwe kiongozi ina raha gani?

    Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na lazima niwaambie ukweli" - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud
  4. JamiiForums Tanzania Utata juu ya Rais Samia kuingilia kati tozo mpya za miamala

    Mi nimetafakari kwa kina sana ila nimeshindwa kupata jibu. Yafuatayo najiuliza 1. Mh. Rais alisaini au hakusaini hiyo sheria ya TOZO mpya? 2. Kama alisaini, je alikuwa anapima upepo wa wananchi? 3. Je, ni political tension? 4. Je, itakuwa imemuongezea asilimia za kuupiga mwingi? Kama kuna...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hili baraza la sasa siyo lako, ni la Magufuli akishauriana na Majaliwa, tengeneza baraza lako!

    Ndugu rais Kiungwana niseme kwamba nimefarijika angalau kidogo kwa wewe kuchukua hatua ya kurejea makato ya miamala na kutoa muongozo kuwa makato hayo yaangaliwe upya. Binafsi naona kwamba huo ni usikivu na ni ukomavu. Kwa sababu kiukweli kabisa hii kitu ilikuwa imetukalia vibaya sisi wananchi...
  6. JamiiForums Tanzania Kwenye suala la Tozo, Rais Samia ataibukia hapa kuonesha ni msikivu

    Mbinu ni zile zile hakuna jipya katika Serikali zetu za Kiafrika. Kutengeneza tatizo halafu unalitatua. Tumeona jinsi ambavyo sasa wana CCM wameambiwa wajifanye kumwomba Rais Samia aangalie suala la tozo mpya ya miamala ili baadaye Rais aseme amesikia kilio cha wananchi na kuondoa. Inabidi...
  7. JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli alichangisha matajiri na wasaidizi wake, hao ndio wenye hela

    Kama itashindikana kuiondoa kwa kuwa ipo tayari kwenye budget basi na iwe fixed amount. Kodi ya uzalendo ingekuwa na tija kama ingekuwa ni fixed amount. Mfano wangesema wakate Tshs. 10 kila siku kwa mtumiaji wa simu. Maana kwa mwezi (siku 30), kila mtumiaji wa simu angechangia Tshs. 300. Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Miezi 4 bila Hayati Magufuli: Kwanini Magufuli aliweza kuijenga nchi bila tozo ya mshikamano?

    MIEZI 4 BILA JPM:KWA NINI RAIS MAGUFULI ALIWEZA KUIJENGA NCHI BILA TOZO YA MSHIKAMANO!? Leo 12:50hrs 18/07/2021 Mwana wa kweli wa Afrika, Son of the soil, Hayati Rais Dr. John Pombe Magufuli,ndani ya miaka mitano aliifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati bila tozo ya mshikamano akifanya...
  9. JamiiForums Tanzania Kiroho zaidi: Rais ajaye baada ya Mama Samia,atakuwa mwanamke pia

    By the time mama Samia ana karibia kumaliza muda wake wa uongozi hiyo mwaka 2030, mamilioni ya Watanzania wata tamani katiba ibadilishwe ili Mama Samia aongezewe muda , lakini halitawezekana tena kwani kwa wakati huo, kwa sababu tayari atakuwa ameshapitisha katiba...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu Waziri namtabiria muda wowote kuanzia sasa 'Kutumbuliwa' na Rais Samia, labda Nduguye 'amsalie' sana Ubungo Maji

    1. Ameingia katika Mtego wa Kujibizana na Mitandao ya Kijamii 2. Anatumia muda mwingi Kubishana badala ya kutoa Suluhisho. 3. Anataka Kumuonyesha Mtangulizi wake katika hiyo Wizara kuwa alikuwa hajui Kitu 4. Hajajua tu kuwa Mama hamtaki hapo ila anamuwinda tu amtoe na sababu imepatikana 5...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Polisi, Zimamoto, Magereza, Uhamiaji na Waziri mmeshindwaji kupandisha Askari vyeo Kama Rais alivyoagiza?

    Kupitia ukurasa wa Instagram Malisa ameeleza mianya iliyopo kwenye jeshi la Polisi kuhusu vyeo. Amefafanua namna ambavyo kukosekana kwa baadhi ya vyeo ndani ya jeshi Hilo kunashusha heshima ya jeshi nakupelekea ugumu katika kuongoza. Baada ya kusoma makala ile nilijaribu kufanya utafiti Kwanza...
  12. JamiiForums Tanzania Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais

    Hii ndio taarifa ya usiku huu kutoka Mwanza kwa hisani ya Maranja Masese
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, umerithi wasaidizi hivyo umerithi miiba pia

    Kutokana na michezo ya kisiasa inavyoendelea nchini, sisi wananchi tunaona kabisaa wasaidizi ama washauri wa Rais wanamzunguka na wanahakikisha anaenda kuanguka kwenye uchaguzi mkuu 2025. Issues ambazo seems unazungukwa ni hizi hapa Wasaidizi uliohama nao kutoka Awamu ya Tano Katiba Mpya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mhe. Rais kuhusu tozo kwenye miamala za simu

    Kwanza Salamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Rais ukiona asilimia kubwa ya wananchi wanapiga kelele kwa jambo la msingi uelewe kuwa kuna jambo linalohitaji kufuatiliwa. Suala la tozo kwenye miamala za simu limekuwa kubwa na unatakiwa ulitolee/ulichukulie uamuzi wa haraka...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Picha za kwanza za mjane wa Rais wa Haiti akiwa hospitalini Florida

    Mwanamama mjane wa rais wa Haiti Jovenel Moise, Martine Moise 47 akiwa kitandani Hospitalini Florida Marekani. Kwa majonzi amewalaumu maadui wa mume wake kwa kumuua kikatili bila hata kumpa fursa ya kuongea. Martine anasema wamezima ndoto ya Jovenes kuleta huduma za kijamii miundo mbinu ya...
  16. JamiiForums Tanzania DC Jery Muro unamchonganisha Rais na Wananchi. Kiburi na chuki zako zitakumaliza

    Kupitia kauli zako za kuwania wananchi wa Wilaya ya Ikungi kua una Majeshi, Polisi na Mabomu kwamba inaweza kumlipua mtu wakati wowote, ni kauli za hovyo na za kijinga kwa kiuongozi ambaye umepewa mamlaka ya kulea na kutunza amani ya eneo husika kwa niaba ya mkuu wa nchi. Jery Muro kauli zako...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba, nani kakutuma umchonganishe Rais na wananchi wake? Hautafanikiwa...

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na mambo mengine, ni mkuu wa nchi na mkuu wa Serikali. Kuongoza nchi na Serikali ni kuongoza watanzania wote: furaha na karaha zao huelekezwa kwa Rais. Mazuri yao na mabaya kwao wananchi husemwa kuwa yametokana na uongozi wa Rais aliye madarakani...
  18. JamiiForums Tanzania Mh. Rais Inawezekana Kabisa Unahujumiwa bila kujijua

    Habari Mheshimiwa Rais, Nikiri wazi Mimi sikua mshabiki wako, sababu pia sikua mshabiki wala mfuasi wa Chama ulichopo. Na hata ulipoanza kua Rais sikua na matumaini yoyote kwako, sababu kubwa hasa ni kua wewe ulikuwepo kwenye madaraka enzi zile za jamaa yule. Hivyo nilijua uongozi wako...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuzuru nchini Burundi 16 Julai, 2021

    Masala Sayi Chuo Kikuu cha Iringa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa na ziara ya kikazi nchini Burundi kesho tarehe 16, Julai 2021. Ziara hiyo imekuja kama mwaliko wa Rais wa Taifa hilo Mh. Evariste Ndayishimiye.Taarifa iliyotolewa na Mkurungezi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kumchagua Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni kosa kwa kuwa kashfa nyingi zipo Wizara ya Fedha

    Mh. Madam President ana haki kabisa kumchagua msaidizi wake. Ila alifanya kosa kwa kumchagua Dr P. Mpango. Sababu kuu ni kuwa ametoka wizara nyeti ya Fedha. Wizara hii aliiongoza kwa miaka 5 na zaidi na ndio inayoongoza kwa kashfa za ubambikaji wa kodi, kushuka kwa thamani ya shilingi, wizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…