rais

  1. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, peleka muswada Bunge lifute adhabu ya kifo

    SIKU zote ninaamini kuwa jamii inayojadiliana mambo yao kwa uwazi bila hofu ya kuhojiwa na dola ni jamii hai. Utamaduni wa mijadala na malumbano ya hoja huzaa maendeleo. Hii ni kwa sababu sisi binadamu ni tofauti na wanyama hayawani wanaoongozwa na hisia-silika. Hawana utashi ndio maana...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kikundi kinapinga Rais Samia kuongea na upinzani

    Nimemsikiliza Lissu kwenye mahojiano akasema ikulu inamwambia watampigia simu halafu ikifika wakati kuna njama zinafanyika kuhakikisha Mama anashidwa kuongea naye. Tujue kuwa kuna wafaidika wakubwa hata ndani ya usalama mfano mitambo ya kudukuwa simu nani katoa budget! Watekaji nani anawalipa...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yajitosa kesi ya Freeman Mbowe

    Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani. Hayo yameelezwa jana na Naibu Waziri wa Nchi wa Masuala ya Siasa wa Marekani, Victoria Nuland...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kuimarisha ushirikiano

    Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021 Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema...
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara, ajitenga

    Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara amejitenga baada ya kuwa karibu na mtu ambaye aligundulika na Virusi vya Corona. Jina la mtu huyo halijawekwa wazi. Ametoa wito kwa Wananchi kupata Chanjo dhidi ya Ugonjwa huo na kuheshimu Kanuni ambazo zimewekwa ili kupambana nao. Endapo muda wake wa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Upelelezi Arusha: Niliona mapungufu kwa Sabaya, alikuwa mteule wa Rais sikufanya chochote

    Akitoa ushahidi wa kesi ya Sabaya, Mkuu wa upelelezi amesema alipigiwa simu na aliyekuwa DC wa Arusha Kenani Kihongosi akiniarifu kuwa DC wa Hai ana watuhumiwa hapa Arusha hivyo nimpe ushirikiano. Mara baada ya kufika ofisini kwangu akiwa na watuhumiwa wawili niliambiwa hawa ni wahujumu uchumi...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Profesa Lumumba alikuwa akimsifia Hayati Rais Magufuli?

    Na Thadei Ole Mushi. Tumekuwa tukiona Mara kwa Mara Prof Lumumba wa Kenya akimsifia Sana Rais Magufuli. Watu wengi hujiuliza kanunuliwa? Au ana interest gani na Rais Magufuli au na Tanzania? Leo nitawapitisha katika eneo Moja tu la kwa Nini huwa wanaona Mh Magufuli ni Rais Bora wa kipindi hiki...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Waziri wa Ulinzi, ni fursa sasa ya kumtimua Mwigulu

    Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa kufanya hivi Rais Samia atarudisha hadhi yake mbele ya macho ya Watanzania. Ni wazi Rais Samia...
  10. JamiiForums Tanzania Salama kwa Rais Samia: Baada ya ma-DED sasa nguvu ihamie kwenye Mipango ya Halmashauri na Wizara

    Muhtasari murua wa Mpango wa Maendeleo wa Tatu wa Tanzania wa 2021-2026, (Chanzo: FYDP III, uk. 161). Nimeona mkeka wa ma-DED leo. Huu ni mkeka wa nne tangu Rais Samia akalie kiti cha U-rais. Mikeka iliyotangulia ni ile ya mawaziri, ma-RAS, na ma-DC. Hivyo, hii ni hatua nzuri katika harakati...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Kenya William Ruto Azuiliwa Kusafiri Kwenda Uganda

    Makamu Rais wa Kenya William Ruto amezuiliwa kusafiri kwenda Uganda kwa ziara binafsi Ruto na ujumbe wake ulizuiliwa katika uwanja wa ndege Wilson Airport leo. Haijulikani mpaka sasa sababu ya kuzuuliwa kwake.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kagame hakuja msibani kumzika rais wetu, na alikaa miezi siku nyingi sana kabla hajatupa pole, Rais Samia unakwenda Rwanda kufanya nini?

    Nchi yetu ilifikwa na msiba wa kufiwa na rais, baada ya kufiwa immediately tulipokea salamu za rambirambi kutoka kwa maraisi wa jumuia ya Afrika mashariki akiwemo mzee Museveni, Rais Kenyata, Rais Ndaishimiye, Lakini Kagame ilimchukua siku nyingi sana takriban miezi miwili kabla ya kuwapa pole...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais mtoe IGP Sirro, Watanzania hawamuamini

    IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu. Kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si...
  14. JamiiForums Tanzania Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

    Hawa ni baadhi ya vijana wadogo kabisa toka UVCCM walioteuliwa kuwa makurugenzi. KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED 1. Ensuring the existence of a formal and satisfactory system of financial administration; 2. Securing compliance with the...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzuru Rwanda kwa Ziara ya Siku Mbili (Agosti 2-3, 2021)

    Awali ilianza kama tetesi hapa JF, soma Rais Samia kufanya safari nchini Rwanda mapema Agosti UPDATE: July 31, 2021 Tanzanian President Samia Suhulu will on Monday arrive in Kigali for her first visit state to Rwanda. During the two-day visit, she is expected to hold private talks with...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa makini na Rais Paul Kagame

    Majira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK), nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK...
  17. JamiiForums Tanzania Madagascar: Maafisa wa ngazi ya juu wa Jeshi wakamatwa kufuatia jaribio la kumuua Rais Rajoelina

    Maafisa wa ngazi za juu wa Jeshi na Polisi wamekamatwa Nchini humo wakihusishwa na jaribio la kumuua Rais Andry Rajoelina ambalo lilishindikana. Hadi sasa watu 21 wanachunguzwa Jaribio dhidi ya Rais Rajoelina ni miongoni mwa matukio yanayoendelea kutikisa Taifa hilo. Madagascar imekuwa Lockdown...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Ndege ya Mizigo, aeleza nia ya Serikali kuboresha Sekta ya Anga kwa miaka mitano ijayo

    Rais anapokea ndege ya Tisa Taarifa zaidi kukujia RAIS SAMIA: MIAKA MITANO IJAYO TUMEJIPANGA KUIMARISHA SEKTA YA ANGA Rais Samia Suluhu Hassan amesema wamejipanga kuimarisha Shirika la Ndege na Usafiri wa Anga Amesema hayo katika mapokezi ya ndege mpya ambayo itafanya Tanzania iwe na...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaomponda Rais Samia hawamaanishi

    WANAOMSIFU HAYATI MAGUFULI NA KUMPONDA SSH SIYO KWAMBA WANAMANISHA Na mwalimu Frolian Rwegoshora Julius Habari ndugu wanajukwaa, kabla ya yote nimeona niwape salamu na pia nimshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehehema kwa kutujalia amani na utulivu ambao hauna kifani na nchi nyingine za Afrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…