CCM yampongeza Rais Samia kutunukiwa Uchifu
"Chama Cha Mapinduzi kitaendekea kupiga vita sera za udini, ukanda na ukabila lakini hakitaacha kutowatambua machifu na watemi. Hivyo kinawapongeza umoja wa machifu Tanzania kwa kumsimika@ Rais Samia Suluhu Hassan uchifu mkuu wa machifu wote...