rais

  1. Baraka21

    JamiiForums Tanzania Billy Graham alimsaidia Rais George Bush kuacha Pombe

    Laura Bush anasema mume wake yaani George W. Bush alikuwa mlevi sana. Ikafika kipindi akaogopa akaona hata Urais utamshinda. Lakini Laura Bush hakuwahi kuthubutu kuita press conference kusema "ninyi wamarekani mnamheshimu na kumsikiliza huyu mshenzi mlevi mkubwa? Hamumjui tu". Hakuthubutu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, turufu muhimu katika Siasa za Kimataifa

    Na Dk Juma Mohammed Kwa mara ya kwanza, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa akiwa Rais wa kwanza mwanamke wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Septemba 23 mwaka huu, Rais Samia atahutubia Baraza Kuu linalowakutanisha Viongozi...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi

    Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi. Rais Samia Suluhu Hassan alianza na ‘Royal Tour’ kama sehemu ya kui - brand Tanzania katika uso wa dunia, na sasa safari hii ya New York pamoja na kuhudhuria Baraza la Umoja wa Mataifa na mikutano mingine, itatumika...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Safari ya Rais Samia Suluhu Hassan Jijini New York ni ya muhimu kiuchumi

    KWANINI SAFARI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NEW YORK NI YA MUHIMU KIUCHUMI. BILA shaka aliposema “Ili ufike haraka nenda peke yako, ili ufike mbali nenda na wenzako,” alimaanisha. Rais Samia ameanza safari kuelekea New York Marekani kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, na...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa Viongozi wawili

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) Pia, amemteua Mathew Modest Kirama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) akichukua nafasi ya Nyakimura Muhoji ambaye amestaafu...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro alituahidi kumkamata Mange Kimambi kwa udi na uvumba, leo hii tunamuona akipiga picha na Rais wa JMT. Ndio kusema hakuikosea Jamhuri?

    Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe. Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Royal Tour yaanza kuonekana kwa kasi ya kutisha, Hongera Rais Samia

    Leo gazeti za Citizen limeripoti mawakala wa Utalii kutoka Nchini Marekani wameingia Tanzania kujionea vivutio vya Utalii vilivyopo hapa nchini Kwa ajiri ya kuwaleta Wamarekani. Hii ni wiki chache tu tangu Rais Samia Suluhu Hassan afanye kipindi maarufu duniani kinachohusiana na utalii na fursa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kwanini Rais Samia hakukataa kusalimiana na Mange

    Kuna vijiminong'ono! Kwamba Je, ilikua haki Rais Samia kukubali kusalimiwa na Mamge kimambi aliyewahi kuutukana utawala wa awamu ya TANO? Jibu ni ndiyo! Rais alikuwa sahihi kabisa kwasababu zifuatazo; 1. Rais alihudhuria mkutano na kuongea na watanzania waishio Marekani, hivyo kukataa...
  9. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame 2019 tu alisafiri nje mara 59. Leo safari 9 tu za nje za Rais Samia kelele kila kona. Je, ni Ushamba?

    Rais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59 | Rais Samia wa Tanzania Safari 9 tu nje Wazalendo kelele kila kona, Je, Ni ushamba, Uzalendo, Wivu au roho Mbaya Tu. ______ Minong'ona inayoendelea juu ya Safari za Rais Samia nje si za kupuuzwa zinahitaji Ufafanuzi zaidi tena kwa...
  10. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwalipa wastaafu kila mwezi imetekelezwa kwa kiasi gani, Msemaji wa Serikali ashindwa kujibu

    Mhe shimiwa Rais alisimama mwezi baada ya kuapishwa na kuahidi kuwa Serikali yake itaanza kuwalipa wastaafu wa PSSF kila mwezi ili kupunguza uwingi wa wastaafu hao na hii ndio dhamira yake, leo Msemaji wa Serikali akitoa taarifa na ufafanuzi kuhusu maswala mbali mbali Msigwa kaja na mpya anasema...
  11. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa raia wa nchi za Afrika wanaoishi Ulaya na Marekani juu ya Hayati Rais Magufuli

    Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM. Kuna rafiki yangu raia wa Kameruni ila kwa sasa anaishi Marekani. Jamaa ni PhD wa uchumi na amefundisha...
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Miezi sita bila Dkt Magufuli: Watanzania waliisoma na kuielewa dhamira ya Rais Magufuli iliyotiririka kama maji

    MIEZI SITA BILA JPM: WATANZANIA WALIISOMA NA KUIELEWA DHAMIRA YA RAIS MAGUFULI ILIYOTIRIRIKA KAMA MAJI. Leo 10:15hrs 19/09/2021 Rais John Magufuli, alikuwa Mzalendo mwenye mapenzi ya kweli kwa Nchi yake,hakuijua China,Marekani wala Ulaya toka achaguliwe, yeye ni Morogoro, Arusha, Iringa...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Wananchi waandamana kupiga Rais Saeid kushikilia madaraka

    Waandamanaji wamekusanyika katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Tunis, kupinga Rais Kais Saied kushikilia Madaraka Ni maandamano ya kwanza tangu Kiongozi huyo Mkuu wa Nchi kutangaza kumfuta kazi Waziri Mkuu na kusitisha shughuli za Bunge Julai 25 Rais Saeid bado hajafanya uteuzi wa Waziri Mkuu au...
  14. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum Neema Lugangira ampongeza Rais Samia kwenda Marekani

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, Mbunge wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira amempongeza Rais Samia kwenda Marekani kuhudhuria Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Sasa ndugu zangu wa Uvccm hili jambo nalo la kusifia kweli? Yaani sasa hivi kila jambo mnasifia kweli maisha bila unafki...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu TLS - Mfumo wa Haki Jinai Tanzania uundwe upya, haki ipatikane

    Dr. Rugemeleza A.K Nshala, rais mstaafu wa Tanganyika Law Society TLS amesema mfumo wa Jinai Haki ( Criminal Justice System) wa nchini Tanzania unahitaji mabadiliko makubwa kwa kufumuliwa na uundwe upya ili kulinda haki za raia na watu . Azungumzia mazito kuhusu Nolle prosequi / kufutiwa...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Guinea: Jeshi lasema halitakubali kushinikizwa kumuachia Rais Alpha Conde

    Wanajeshi waliofanya Mapinduzi wamesema hawatakubali kushinikizwa na kumruhusu Rais Alpha Conde ambaye anashikiliwa tangu kupinduliwa Septemba 05, 2021 kuondoka Nchini humo Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara na Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo walisafiri kwenda Mji Mkuu wa Guinea, Conakry...
  17. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka: Tumeahidi ajira milioni 8 kwenye Ilani ya CCM, tumetoa Tshs 157.8 Bilioni kwa ajili ya ukarabati wa bandari ya Mtwara

    Nawasalimu kwa jina la JMT, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kupokea taarifa za mashina na kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la sensa ya watu na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Rais Samia aliposema kuwa 2025 ni zamu ya Wanawake, Sisi Wakurupukaji wote tukadhani kuwa huenda Yeye ndiye atagombea?

    Wakati nikiyasubiri kwa hamu sana Majibu yenu hapa naomba nipatiwe Mbinu ya kuwa karibu mno na ama Waziri wa Ulinzi Dk. Stergomena Tax au hata Familia yake tu, ili ikiwezekana kuanzia 2025 niwe na uhakika wa Kuezeka Kakibanda Kangu kanakonitesa na kunihangaisha kwa muda mrefu kutokana na...
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania Lema, Lissu, kulikoni tena mbona Rais Samia anaenda Marekani?

    Wanaukumbi. Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Samia hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia mataifa ya Ulaya na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu. Kulikoni tena...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria na kuhutubia Baraza Kuu la 76 la Umoja wa Mataifa Jijini New York

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kwenda New York Nchini Marekani kesho Septemba 18, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akitarajiwa kuhutubia Baraza hilo Septemba 23 Vilevile, atahudhuria Mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya...
Back
Top Bottom