rais

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ataleta siasa muafaka.Ni mtaalamu wa siasa ila wengi hawajui

    Nimefuatilia Sana nyendo za Rais Samia Suluhu Hasan,anajua siasa Sana Ila anajua namna ya kuwa mtulivu na anajua kuwasoma wapinzani ndani na nje ya chama chake,subirini muone
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuchanja kunatupunguzia gharama kubwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuchanja kunaipunguzia Serikali gharama za matibabu na za kupoteza nguvu kazi ndani ya Nchi. Amesema, "Tukikaa bila kuchanja maradhi yale yakiingia, yanaingia kwa kasi" Amesema, "Nimeingia Kilimanjaro nikawa nawaambia wenzangu mbona huku watu hawana habari...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hii ahadi ya Rais Samia kujenga msikiti Chato imekaaje?

    Nimemsikia mheshimiwa Rais jana akisema ahadi zote alizowaahidi Wana Chato wakati wa kampeni atazitekeleza ikiwemo ya kuwajengea msikiti. Hii ahadi ya ujenzi wa msikiti ni ahadi binafsi ya Rais au ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama!? Na kama ni utekelezaji wa ilani ya chama inamaana...
  4. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta akutana na Rais Joe Biden wa Marekani

    Rais Uhuru Kenyatta amekutana na rais Joe Biden wa Marekani huko White House. By the way rais Uhuru kwenye mambo ya diplomasia yupo vizuri sana. Katika miaka tisa ambayo amekuwa mamlakani, amekutana na rais wote watatu wa Marekani waliokuwa madarakani. Amekutana na rais Barack Obama ambaye...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta taswira ya Rais wa Afrika

    Binafsi upenda kumuangalia sana Kenyatta na kupata wazo kuna aja ya kuwapa uongozi damu ya wapigania uhuru. Uhuru Kenyatta anatakiwa kuwa kitabu shule na vikaoni tumsome. Utu Demokrasia Haki na usawa Vitu hivi vitatu kwa Africa ni changamoto isipokua Kenya kwa Kenyatta.
  6. APA CHICAGO

    JamiiForums Tanzania Hongera Samia Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Leo ilikuwa kilele cha mbio za Mwenge kitaifa huko Chato -Tanzania.Mwenge wetu wa Uhuru ulizimwa rasmi kule Chato. Masikio ya wanachato yalikuwa kisikia Chato ikipewa hadhi ya kuwa mkoa lakini haikuwa hivyo. Nideclare interest kuwa Mimi ni mwenyeji wa kanda ya Ziwa na ninajua maeneo mengi huko...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Namongeza Rais Samia kwa kuomboleza kifo cha Mwalimu kupitia Magufuli

    Hakika nimepata faraja sana kwa Mh Rais Samia kwa kuweka taji la heshima katika kaburi la Hayati Dr John Pombe Magufuli katika siku hii muhimu ya kitaifa ambayo inamkumbuka muasisi wa Taifa. Rais Magufuli alifuasa vyema sera za Nyerere(RiP) ambazo ni kama rejea na kipimo cha marais wote...
  8. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!" Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani. Samia umekosea sana! ==== Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana...
  9. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi afunguka kuhusu Mbio za Mwenge, Rais Samia anaendeleza walichoasisi

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameongoza Watanzania katika kuzima Mwenge wa Uhuru pamoja na maadhimisho ya Kumbukizi ya Miaka 22 ya Kifo cha Mwalimu Julius Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana, halfa zilizofanyika kwa pamoja mkoani Geita. Mbio za Mwenge wa Uhuru ni utaratibu ambao umekuwepo nchini...
  10. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tuache Ufyatu: Nyerere Alikuwa Rais wa Wapi?

    Kumbukizi ya Nyerere inaweza kuadhimishwa popote. Nyerere hakuwa Rais wa Kijiji cha Butiama...Kuna vya kulalamika..hili si mojawapo.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia serikali yako imwachie Mbowe. Siyo gaidi

    Damu ya Mbowe inakulilia kwasabb wewe ndiye kiongozi mkuu wa chama tawala na serikali. Wafuasi wa Mbowe kucha kutwa wanajenga chuki dhidi yako mpk hapo utakapomwachia kiongozi wao. Familia ya Mbowe inakulilia usiku na mchana, inapoamka, inapokula na inapolala. Mliopo karibu na Samia...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aahidi Chuo Kikubwa cha TEHAMA

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema TEHAMA ina nafasi kubwa katika maendeleo na Tanzania haiko nyuma, inajipanga kujenga chuo kikubwa cha TEHAMA Amesema hivi karibuni, Instagram, Facebook na WhatsApp zilipotea kwa saa saba na mmliki akapata hasara ya Tsh. Trilioni 15 ambapo kuna uwezekano wa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi tunaleta ubaguzi kuonesha fulani ni Rais bora kuliko mwingine, tujirekebishe

    Heshima zinazotolewa kwa viongozi wakuu wa Taifa letu waliotangulia mbele ya haki zinataka kutujengea taswira kwamba flani ni muhimu kuliko flani Jambo ambalo hatukuliona walipokuwa hai. Namna tulivyoziandaa nyumba zao za kudumu Kuna utofauti mkubwa Sana, namna tunavyowazungumzia upo utofauti...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni: Sitaongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sanaa

    Rais Yoweri Museveni wa #Uganda ametangaza kuongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sayansi kwa madai kuwa ndio wanaochangia maendeleo ya jamii Hatua hiyo imetajwa kwenda kinyume na Makubaliano ya 2018 ambayo yanataka mishahara kupanda kwa usawa kwa walimu wote Rais Museveni amesema...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jokate: Wilaya ya Temeke yatengewa zaidi ya Tsh bilioni 4 za kutekeleza miradi ya maendeleo

    WILAYA YA TEMEKE YATENGEWA ZAIDI YA TSH BILIONI 4 KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO,SHUKRANI KWA RAIS SAMIA - DC TMK MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo kwa niaba ya Uongozi wa Wilaya ya Temeke ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ikatokea ukapewa nafasi ya kukutana na rais Samia Suluhu Hassan

    Nawasalimuni wanangu hapa jamvini. Nisiwachoshe. Napenda kuwapa changamoto na chemsha bongo kwa kutumia hypothesis kama namna ya kutoa mawazo yenu kwa rais wenu. Je kama mtanzania, ungejaliwa kupewa nafasi hata nusu saa au dakika kumi hata saa kuongea na rais SSH, ungemwambia nini cha mno au...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Cheo cha Makamu wa Rais hakina tija, tukiondoe, tubakishe cha Waziri Mkuu

    Nchi yetu ni nchi masikini, kutokana na hali hiyo ni muhimu kila senti inayopatikana ikatumika vizuri. Leo hii nchi yetu ina viongozi wakubwa wafuatao 1. Rais 2. Makamu wa Rais 3. Waziri Mkuu 4. Rais wa Zanzibar 5. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 6. Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar...
  18. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Abdurazak Gurnah Mshindi wa Tuzo ya Nobel afunguka, alipokuwa akiongea na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein

    MAJADILIANO mengi kuhusu tuzo aliyopata Mzanzibari aishie majuu Prof. Abdurazak yamejitokeza kwa wingi kwenye mabalaza ya mitandao ya kijamii ikiwepo la huyo jamaa si mtanzania bali Mzanzibari na watanganyika hawapaswi kumpa pongezi ili hali hizi ni nchi moja. Mapema leo Rais wa Zanzibar na...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wabunge wanyimwa dhamana baada ya tamko la Rais Museveni

    Mawakili wa wabunge wawili wa chama cha upinzani cha NUP nchini Uganda wamesema majaji wanaogoba kusikiliza maombi ya wateja wao kupewa dhamana. Hatua hiyo imekuja baada ya Rais Museveni kutoa tamko la kuondoa dhamana kwa watuhumiwa wa mauji na uhaini. Wabunge hao wawili ambao ni Allan...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Algeria: Mdogo wa Rais Abdelaziz Bouteflika ahukumiwa kifungo cha miaka 2 gerezani

    Said Bouteflika ambaye ni mdogo wa Abdelaziz Bouteflika aliyekuwa Rais wa Taifa hilo kuanzia mwaka 1999 hadi 2019 amehukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani kwa kukwamisha Sheria kuchukua mkondo wake. Amehukumiwa pamoja na Waziri wa zamani wa Sheria, Tayeb Louh na Mfanyabiashara Ali Haddad...
Back
Top Bottom