rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil kushtakiwa kwa makosa ya Uhalifu Dhidi ya Binadamu

    Brazil's president will be accused of a series of crimes over his handling of the country's COVID-19 pandemic, a draft of a major inquiry report says. The report is the culmination of a six-month inquiry that has revealed scandals and corruption in government. President Bolsonaro has been...
  2. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

    Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ? Tizama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

    Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21. Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia...
  4. JamiiForums Tanzania Kuwaita viongozi wetu wakuu kuwa ni madhalimu ni kukosa busara, tangu tupate uhuru hakuna Rais aliyetawala kwa Presidential Decrees.

    Nashangaa sana watanzania tumekuwa watu wa kulaumu sana. Mara kila kiongozi anapoingia madarakani tunambambika majina ya kumpa udikteta, utasikia dhalimu, muuuaji mtekaji, na hata Dikteta uchwara. Hivi tokea tupate uhuru tumekuwa na rais ambae amekuwa akitawala kwa amri zake? Kuwa akiamka...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Video: Makamu mwenyekiti wa Wamachinga taifa Steven Lusinde amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan

    Makamu mwenyekiti wa Wamachinga taifa Steven Lusinde amemshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga Shilimgi Bilioni Tano kwa ajili ya kuboresha mazingira ya wamachinga Taifa. Pia wameomba Rais Samia apange siku moja ya kukutana na wamachinga popote atakapoamua watamfuata. Tazama...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasema 'hili tunalichukua'. Hayati John Magufuli aliamua pale pale jukwaani

    Ipo tofauti nimeiona ndani ya miezi saba tangu JPM aage dunia na Rais Samia apewe nchi. Tofauti ya uwezo wa kusikiliza na kufanya maamuzi yenye mizania sahihi. JPM hakubarikiwa busara za utatuzi wa matatizo mengi ya kiutekelezaji japokuwa alikuwa na sifa ya utatuzi huo. Hayati JPM alipenda...
  7. JamiiForums Tanzania Huwenda hizi ndizo zama za mwisho kwa CCM kuiongoza Tanzania, nikitafakari kifo cha Rais John Magufuli na hili la Machinga nafsi yangu inaniambia kitu

    Kwa mambo hayo mawili naiona Tanzania mpya ikija kwa kasi ya ajabu, na tuelewe ya kwamba watu wa chini kama hawa machinga ndio wamekuwa chachu ya kuleta mabadiliko katika nchi za wengine. Tujaribu kukumbuka kilichotokea tunisia december 17/12/2020 baada ya machinga anayeitwa “Mohamed Bouazizi”...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia atangazie upya suala la Kikokotoo cha Mafao

    Wakuu: ✓Ifike mahali tukubaliane kuwa hakuna anayeijua kesho yake. ✓Ifike mahali tukubaliane kuwa kila mtu anazalisha ili ajikwamue kimaisha akiwa bado hai! ✓Ifike mahali tukubaliane vile vile kuwa kuna haja ya kupitia upya suala zima la matumizi ya Kikokotoo kwenye mafao ya wafanyakazi wa nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Ndege kwa matumizi ya Rais wetu

    Mwaka 2004, kulizuka mjadala mkubwa sana miongoni mwa wananchi, baada ya Serikali ya awamu ya tatu, chini ya hayati Rais Benjamin William Mkapa, kufanya maamuzi ya kununua ndege maalumu kwa ajili ya matumizi ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, kwa safari za ndani na nje ya nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu mlinzi wa Rais Samia Suluhu Hassan ananivutia sana

    Kama kichwa cha habari kinavyodai, kwa yeyote ambaye anaweza niunganisha na huyu mwanamama anayemlinda Mh. Rais naomba aweze kunipa connection ni wapi nitampata amekuwa akinivutia sana jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kiusalama kwa Mama yetu. Nipo tayari kumpa shamba langu la urithi la...
  11. JamiiForums Tanzania Usalama wa Rais ni muhimu kuliko usalama wowote ule katika Nchi

    Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais. Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi. Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi. Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Usiseme 'umejenga' sema Serikali imejenga, tumpunguzie majukumu Rais

    Siasa ni mchezo mbaya umejaa unafiki wa kila aina. Ninawasikiliza wanasiasa wanavyosema Mama umejenga, Mama umetenga, Mama unakusudi jema sana. Yote hayo ni maneno mabaya kwa maana ya kumtwisha mzigo mzito rais na kama akikosa hekima basi anaenda kuvimba kichwa na kupoteza mwelekeo. Nawashauri...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais Samia akimsifia Waziri wa Maji, huku mtaani hatuna maji siku ya 3 leo

    Raia Samia huenda ni kweli Waziri wa Maji anafanya kazi vizuri, na ninaungana na Watanzania wengine kumpongeza. Lakini bado wananchi tunapata kero za maji za mara kwa mara. Kwa wiki mbili zilizopita huku mtaani ninapoishi maji yalikuwa yanatoka kwa presha kama ya mkojo, huwezi hata kupandisha...
  14. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia atoa TZS 520BL sawa na 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka

    Hakika mahaba ya Rais Samia kwa watu wa Kaskazini usipime, ametoa TZS 520BL za maji Arusha ikiwa ni zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka. " Hakuna kama Samia " Hakika kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan haikamatiki,Rais ametoa Jumla ya Tshs 520BL zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia wape meno TFS, anzisha kampeni ya upandaji na utunzaji Miti Tanzania nzima. Iongozwe na vijana wa kujitolea JKT

    Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama! Kwanza nikupongeze kwa Mafanikio makubwa yanayoonekana kwenye suala la kuwahamisha Machinga na kuwapeleka maeneo rasmi. Na furaha nchi sasa imeanza kupendeza hasa majiji yetu! Nimepita Posta mpya leo na Kweli nimeiona Posta niliyoijua...
  16. JamiiForums Tanzania Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

    Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi. Pia msafara wake una magari zaidi ya 70...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA kujadili ulinzi wa Rais ni upuuzi na kukosa kazi za kufanya

    Vijana wa CDNM huko twitani wamerukwa na wazimu, mmekosa ajenda mnaanza kujadili kuhusu ulinzi wa Rais, mlitaka Rais alindwe na nani tutaacha lini ujinga wa kupinga kila kitu, wapumbavu wameanza kutaka Mama samia afanye kila anachofanya Rais wa zambia Chilema, yani Chilema msafara wake...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ukibahatika kuwa Rais wa Tanzania unatakiwa Uwaongoze Watanzania katika Mfumo gani Bora kati ya hii ifuatayo?

    1. Kwa Kufuata Katiba? 2. Kwa Nidhamu na Utu? 3. Kwa Kuwazidishia Madeni IMF na WB? 4. Kwa Kuwadanganya kama Watoto? 5. Kiupole ila Moyoni ukiwa Mnafiki? 6. Kwa Kubambikia Wapinzani Kesi? 7. Kwa Jicho la Huruma la Wine? Nasubiri majibu nikijiandaa kuwa Rais.
  19. JamiiForums Tanzania Je, uwezekano wa kukutana na bodyguard wa Rais Samia mtu apige naye story tu za kawaida au utaratibu ukoje

    Huyu mdada ambaye ni bodyguard wa Rais Samia ni mlimbwende yuko vizuri kabisa ila nauliza kama kuna uwezekano wa kukutana naye mtu apige naye story tu za kawaida walau tu kwa dka 20 ili mtu afaidi aone anavyo cheka tabasamu na kufurahia tu story za hapa na pale kuhusu mambo ya kawaida sana...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia kama Rais wa Watu, Sisi Tunakwama Wapi?

    Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha: Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini 😁😁. Si mnakubalika? Si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…