rais

  1. JamiiForums Tanzania Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

    Wakuu Kuna Mabadiliko Ya Nafasi kule Ikulu Zanzibar. Charles Hilary ameteuliwa na Rais Mwinyi Kuwa DG mpya Wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar.. Kulikoni Wa Kwetu Huyu Van Mohammed Tena Kuliwa Kichwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kama haumpendi Rais aliyeko, penda nchi yako

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema urais sio mtu ni taasisi lakini kikatiba kunakuwa na mtu pale juu. Amewaambia Mawaziri kuwa kama hawampendi Rais aliyepo basi wapende nchi yao Amesema hata kama haumpendi Rais Samia isiwe kigezo cha kupuuza mambo yote ambayo serikali inafanya. Ameruhusu watu...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mawaziri na Manaibu wenu, msigombane kisa safari

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo tofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake. Amesema mara nyingi watu hugombana kwa sababu ya safari na maslahi ambayo mara nyingine huwa ni maslahi ya wananchi. Rais amesema...
  4. JamiiForums Tanzania Si kila anachokifanya Rais kioneshwe moja kwa moja

    Wakuu, naangalia Tv Tumaini na sasa wamejiunga na kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma. Kikao hicho kinaongozwa na Rais mheshimiwa Samia. Nilichogundua mheshimiwa Rais kasema leo afya yake si nzuri na hata uvaaji wa barakoa nao si sahihi. Ninavoona mie hii kitu haijakaa sawa, wasioneshe moja...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kwa hili la Kabudi na Lukuvi, ungetumia staili ya Mkuchika

    Mheshimiwa Rais; Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano; Mhesihimiwa, sijui mshauri wako ni nani katika kuteua baraza la mawaziri ambalo umelitangaza juzi ila ulichofanya kuhusu Ndugai, Kabudi na Lukuvi kwa kweli inabidi nikupe ushauri wa haraka. Kwanza kabisa Hawa watu watatu hasa Kabudi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umeanza Vyema, Malizia ng'we iliyobaki, tunakupongeza

    Binafsi nakupongeza sana kwa namna ulivyoanza na namna unavyoendelea kuipigania nchi yetu kusonga mbele. Kwa uchache wa maneno umejitahidi katika maeneo haya muhimu. Umejitahidi kuifungua nchi yetu kidiplomasia na kujaribu kuirejesha sehemu yake inapostahili. Tumeona jitihada zako za kwenda...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hotuba yako imejitoshela ila naomba nikosoe maeneo mawili Kwa kesho nzuri ya Tanzania

    Naomba kukupongeza Kwa hotuba nzuri inayoeleza kinaga ubaga umefanini na unategemea kufanya Nini huku ukiweka wazi vyanzo vyote vya fedha Kwa Kila mradi, nimependa umekuwa wazi kuonyesha namna tunavyohitaji mahusiano yakimataita kujenga uchumi Pamoja na hotuba nzuri nimejisikia vibaya kusikia...
  8. JamiiForums Tanzania Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma

    Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino. Pia soma; Spika Job...
  9. JamiiForums Tanzania Kufuatia vifo watu 14 wakiwemo waandishi 6, Rais toa maelekezo misafara ya viongozi

    Kwa heshima na taadhima namwomba Mhe. Rais SSH atoe maelekezo kuhusu misafara ya viongozi wa Serikali kupunguza au kuepusha ajali zisizo za lazima. Hakuna ulazima wa Waziri, RC au DC kuwa na msururu wa magari na mrundikano wa waandishi wa habari kwene gari moja. Waandishi aidha waqe na private...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ya Rais Samia kupendelea Zanzibar ina ukweli? Je, kila Rais akipendelea kwao tutafika?

    Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank. Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee. Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara...
  11. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ndiye mkuu wa dola la Tanzania kwanini Rais wa Zanzibar amekuwa wa kwanza kutoka uwanjani baada ya sherehe za Mapinduzi kuisha?

    Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru. Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

    Toka ndani ya mioyo yetu tutafakari haya kwa pamoja huku tukimshirikisha Mungu wetu: 1. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu,Je watu wasiojulikana wangekuwa wamepoteza wenzetu wengine wangapi mpaka leo, Wewe unayempinga Rais Samia leo Je umewahi kujiuliza kama ungekuwa hai...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson umepotosha umma: Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi ya Tanganyika, Zanzibar wana mkuu wa nchi yao

    Nimemsikiliza ndugu Tulia Ackson akisema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi. Ukweli ni kuwa mamlaka ya rais wa Tanzania yako limited sana huko Zanzibar Hata katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 iliyorekebishwa mwaka 2010 inatamka wazi kuwa Rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar. Kwa hiyo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tumpende na kumheshimu Rais wetu Mama Samia

    Wapendwa watanzania wenzangu, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( salamu maalum aliyoiasisi Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan na ambayo kiitikio ni "Kazi iendelee"). Mimi huwa napenda sana jinsi Malkia wa Uingereza (kwa sasa Qween Elizabeth) anavyopendwa na kuheshimiwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

    Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu! Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kama wasaidizi wa Kingai wamepandishwa vyeo, siku si nyingi mamlaka ya RAIS itampandisha cheo kuwa SACP/DCP/CP au IGP

    Siyo watu wote waliofanya uovu uadhibiwa na mamlaka za kibinadamu. Wengi wa wahalifu ufanya uhalifu baada ya kuingia mkataba wa uhalifu na wanapendezwa na huo uhalifu. Yawezekana kama wakina Kingai walifanya mateso waliyoeleza watuhumiwa kesi ya Mbowe basi walisaini mkataba wakuifanya kazi hii...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia juu ya usalama wa Raia katika barabara zetu

    Pole na majukumu mheshimiwa Rais na pole pia kwa msiba wa kuondokewa na watanzania wenzetu 14 huko mkoa wa SIMIYU. Mheshimiwa Rais naandika ombi hili nikiwa na masikitiko ya kuwapoteza hao ndugu zetu. Binafsi sina ninayemjua lakini wale ni watanzania wenzetu na huo ndiyo msingi wa maumivu...
  18. JamiiForums Tanzania Mjadala mpana: Rais ateue kuzingatia uwezo tu au angalie uwiano wa makundi pia?

    Tumesikia malalamiko memgi juu ya baraza jipya la mawaziri la Rais Samia. Kuna malalamiko ya kukosekana usawa wa jinsia, mawazir wanawake ni 36% na manaibu ni 20 tu Kuna malalamiko ya kanda fulani kupendelewa, kama mkoa wa Pwani kuwa na mawaziri (na maanaibu) 5 Kuna malalamiko kuwa walioachwa...
  19. JamiiForums Tanzania Sababu alizozitoa Rais Samia kuhusu kubadilisha Baraza la Mawaziri, hazikuwa za kweli?

    Tulimsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan, wakati alipotuahidi kuwa atafanya mabadiliko ya Baraza la mawaziri na kusema wazi kuwa amegundua kuwa kuna baadhi ya mawaziri wameaanza kampeni kuwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025 na akaendelea kusisitiza kuwa hao mawaziri atawaweka pembeni...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukiwa Sekta binafsi ajira ni nguzo yako ya maisha sio by the way

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kubadilika kwa kutambua kwamba Ajira ndiyo nguzo ya Maisha hasa ukiwa sekta binafsi hata Serikalini huku akiongoza "sekta binafsi ukizubaa nafasi yako inachukuliwa". Amefafanua "Nilishawahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Zanzibar, wakati ule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…