rais

  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Gerald Mpango ambaye ni kaka wa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango afariki dunia

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefiwa na kaka yake Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Gerald Mpango. Askofu Gerald Mpango amefariki tarehe 19 Januari 2022 Jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Makamu wa Rais Dk Philip Mpango...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, "nakuamuru" uwajengee Kivuko Wananchi wa Ipatikana na Nzoka Mkoa wa Songwe

    Salaam Wakuu. Kwa mjibu wa Katiba, rais ameajiriwa na Wananchi kuwatumikia. Hivyo kama Mwajiri, namtaka au namuamuru rais Samia awajengee kivuko hawa Wananchi. Ziara yake moja inatosha kuwawekea kuvuko hawa wananchi. Nimefika Nzoka Momba, Wananchi wanavuka kama Makomandoo unaweza hisi ni...
  3. JamiiForums Tanzania Wapinzani msipinge hii ni kweli, baada ya Rais Magufuli kufariki wamachinga wamekuwa vulnerable

    Hayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri. Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni watu wa kuumizwa tu. Kuhamishwa hovyo bila hata mikakati, masoko yao kuungua huku wengine wakila...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tusimlaumu Rais Samia kwa mapungufu yaliyojitokeza kwenye mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

    Rais Samia hivi karibuni alifanya mabadiliko kwenye safu ya mawaziri wake na katika mabadiliko hayo mengine yamelalamikiwa na mengine yamesifiwa. Katika yale ambayo inaelekea wananchi wengi hawakupendezwa nayo ni pamoja na Waziri Madelu Mwigulu Nchemba kuachwa kuendelea kuwa Waziri wa Fedha...
  5. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluh Hassan; Salam kutoka wilaya ya Ngorongoro

    Salam kutoka wilaya Ngorongoro. Mhe.Rais wananchi wa Ngorongoro kama walivyo Watanzania wengi walikuwa na imani na wewe lakini imani inapungua siku baada ya siku. Mhe.rais kwa 2020 jimbo la Ngorongoro kwa nafasi ya rais mlizoa kura zaidi ya 87% na tangu uhuru wa nchi hii hili jimbo halikuwahi...
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Mali aliyetolewa kwa nguvu Madarakani afariki dunia

    Picha: Hayati Ibrahim Boubacar Keita Rais wa Mali aliyetolewa kwa nguvu Madarakani Ibrahim Boubacar Keita (76) amefariki dunia katika mji mkuu wa nchi hiyo Bamako. Chanzo cha kifo chake hakijatajwa ingawa miaka miwili iliyopita alipatwa na shinikizo la moyo. Rais huyo aliliongoza Mali kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

    Wizara ambayo ukiiangalia chini ya utendaji madhubuti wa mchengerwa , kero mbalimbali zilikuwa zinapatiwa ufumbuzi bila kuonea wala kukandamiza upande mmoja. Alishaanza kutengeneza mifumo ambayo kwa vizazi vingi mbele vingenyoosha utendaji kazi wa watumishi na maafisa utumishi na mabosi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Seneta wa zamani wa Haiti akamatwa Jamaica kwa mauaji ya Rais

    Polisi nchini Haiti imesema seneta wa zamani ambaye ni mshukiwa mkuu katika mauaji ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Jovenal Moise ametiwa mbaroni nchini Jamaica. Msemaji wa jeshi la polisi Gary Desrosiers [Derosieri] ameliambia shirika la habari la Associated Press kwamba John Joel Joseph yuko...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais Samia

    Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!! Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kate Kamba: Tunampongeza Rais Samia kwa maono yake

    "TUNAMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MAONO YAKE " Bi. Kate Kamba Kamati ya siasa mkoa wa Dar es Salaam leo Januari 15,2022 imefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya ya Temeke kwa kukagua miradi mbalimbali iliyotekelezwa kupitia fedha za mpango wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia majukumu uliyompa Prof. Kabudi ni sahihi ila kwenye timu ya mikataba mwongeze Prof. Luoga na Mwambe

    Nakupongeza Mh. Rais kwa kulipa umuhimu swala la mikataba. Mikataba kwa nchi hii iliturudisha nyuma hivyo ni muda sahihi kuirejea hata kama tulishakosea hapo mwanzo. Waswahili husema kutenda kosa si kosa ila kurudia kosa, ni sahihi kabisa kujirekebisha kwa maslahi mapana ya nchi hii. Mh. Rais...
  12. JamiiForums Tanzania Upinzani tuitishe maandamano nchi nzima kupinga Ufisadi aliohamasisha Rais Samia. Wanaokwenda kuibiwa ni watanzania wote

    Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani. Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tamko la Rais ni sheria: Je, Mawaziri wakiiba pesa za umma bila kuvimbiwa, wanaweza kushtakiwa?

    Na je, kauli ya Raisi inaweza kutumika kama utetezi mahakamani kwa mawaziri wataofuja mali na pesa za umma bika kuvimbiwa? Na katiba inasemaje kwani?
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiipanua tu hii barabara, nitaanza rasmi kumpigia debe

    Wakuu barabara ya kutoka Kibaha maili moja hadi Morogoro ni kelo Sana, maroli ni mengi sana hii barabara imezidiwa Sana. Unaweza ukatoka mkoani huko vzr tu unakuja kupoteza muda kipande hicho. Mimi mheshimiwa Rais Samia akiipanua tu hii barabara kuwa njia sita kuanzia alipoishia Magufuli...
  15. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia apokea hati za mabalozi wa nchi nne

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea hati za mabalozi wa nchi nne ikulu jijini Dodoma Mabalozi waliowasilisha hati zao ni balozi wa Saudi Arabia, Jamhuri ya Korea, Indonesia na Morocco. Katika Hafla ya kupokea hati kulikuwepo na kliniki ya kutoa chanjo ya COVID-19
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mawaziri wapya tumewaona, tunasubiri hati za majukumu yao ili tukusaidie kupima kasi yao

    Rais Samia, Pole na kazi ngumu ya kujenga taifa (ujasiriadola) katika mazingira mapya yenye changamoto lukuki. Kazi ya kujenga nchi inahusu kuuliza na kujibu maswali yapatayo kumi hivi, mojawapo likiwa: "Katika safari yetu ya kusukuma gurudumu la maendeleo kuelekea kwenye kilele cha mlima wa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hii kauli ya kuwaruhusu Mawaziri wajipimie, wasivimbiwe itolee ufafanuzi tena

    Rais Samia, jana akiongea na mawaziri aliwaambia wajipimie ila wasivimbiwe tena mbele ya TV ya umma. Nilipigwa na butwaa ila nikahisi mambo yafuatayo. 1. Rais hajui kwamba mali anazowaambia mawaziri wajipimie ni za wananchi wanao msikiliza na kwamba wananchi wanataka alinde mali zetu kama kiapo...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini rais Mwinyi hakuwa na furaha wakati anawakabidhi zawadi simba?

    Tazama sura yake
  19. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna Mawaziri wana tuhuma za Uchawi

    "Natambua kuwa Binadamu tuna Kasoro zetu na hakuna aliyekamilika 100% ila jitahidi sana Kuishi Kimaadili na kutunza Kutunza Siri za Serikali na Heshimuni Taasisi hii ya Rais hata kama hamumpendi aliyeko" Rais Samia Suluhu Hassan Chanzo: Gazeti la Nipashe la Leo "Nawaomba tu kuanzia sasa zile...
  20. JamiiForums Tanzania Napendekeza siku ya Kumbukizi ya Hayati Magufuli tuandamane na mabango hadi kaburini ili kuhiji na kuonesha hisia zetu

    Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado. Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha Tanzania sehemu fulani. Kwa sehemu yangu nakupongeza sana mama na hiyo inathibithisha kuwa kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…