rais

  1. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

    Habari wana JF .. Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii. Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Huko Duniani Rais anapimwa hivi na taasisi zao

    Africa tuna safari ndefu sana mithili ya safari ya kwenda Mars. Ni hivi huko duniani kuwa Rais wa Taifa sio lelemama yani baba unapimwa uwezo wako yani utapigwa maswali wewe na wazee waliopiga kitabu wakatoka moshi kichwani. Yani utafuwatiliwa maisha yako je unasoma vitabu? Unaijuwa nchi yako...
  3. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku kwahiyo na Wewe ulivyokuwa Ukilalamika sana Kipindi cha Rais Kikwete ulikuwa na Shida na Mjinga au?

    "Watanzania wa Siku wamekuwa ni Watu wa Kulalamika tu sijui kwanini na sababu za Kulalamika huwa ni Mbili tu ambapo Kweli Mtu huwa ana Shida na nyingine ni Mtu tu kuwa Mjinga na kutojua Mambo mengi" Mzee Butiku Kada wa CCM na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere. Chanzo: ITV...
  4. JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia aongea na viongozi wa Machinga Dar es Salaam. Machinga Watambuliwa kama kundi Maalum

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu leo aanaongea na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam pamoja na viongozi wa wamachinga Ikulu ya Dar es Saam. Kumekuwa na badiliko la sera ya wamachinga karibuni kutoka utawala uliopita kwa 'kupangwa upya' ama kwa wengine kuondolewa na vibanda...
  5. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Gharibu Bilali afiwa na Mamake Mzazi

    Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amemtembelea kumpa Pole Credit Bilali aliyempoteza Mamake Mzazi Marehemu Safia Abeid Mama Mzazi wa Dkt Mohamed Gharibu Bilali alifariki Januari 3 na kuzikwa Januari 4 Unguja
  6. JamiiForums Tanzania Je, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni Msaliti wa kupambana na Covid-19 au hujuma?

    Dunia nzima, Viongozi wanakuwa ni mfano wa kupambana na Corona, lakini baadhi ya Viongozi wa Tanzania wanaonesha kujali akiwepo Rais Samia Rais, Samia watendaji wako watatuua kwa Corona hadi tuishe. Watatumaliza. Wao sawa wanatibiwa bure, sisi bibi na babu zetu Mkishawaambukiza nani...
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa Armenia ajiuzulu, asema Katiba haimpi madaraka ya kutosha

    Rais Armen Sarkissian ambaye ameongoza Nchi hiyo tangu 2018 amewasilisha maombi ya kujiuzulu akisema anaamini Katiba haimpi madaraka ya kutosha kushawishi matukio Mwaka 2021 kulitokea Mvutano kati ya Rais Sarkissian na Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Nikol Pashinyan kutokana na masuala mbalimbali...
  8. JamiiForums Tanzania Uchifu - Ni kitu kizuri Rais kuenzi utamaduni wa Mwafrika

    Afrika kabla ya kutawaliwa tulikuwa na mila na desturi zetu. Wakati huo hatukuwa na dini kama vile uislam na ukrito lakini tulikuwa na njia zetu wenyewe za kuomba kitu fulani kitokee au kujiepusha na janga. Haya mafundisho ya dini kubwa za leo yaliletwa na mabeberu. Na unajua baada ya kutuletea...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania Bara imekuwa maabara ya kufanyia majaribio?, Kwanini Rais kaanza kuthamini machifu bara lakini hataki kujaribu Zanzibar?

    haya mambo ya uchifu yalishafutwa tangu 1962 lakini yanaanza kurudi tararibu. Ni miezi kama minne hivi iliyopita raisi wetu alikutana na machifu lakini jana tena kakutana nao, nini kinafaidisha taifa kwa haya mambo?? ajabu ni kwamba haya mambo yanafanyikia tu huku kwetu bara lakini huko upande...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kufufua utalii mahoteli, Sasa hivi yanaogelea faida. Kipindi cha Magufuli utalii ulikuwa umekufa

    Asante mama kila unachoshika kinazaa matunda bila ubabe Wala mbwembwe za eti kishindo Cha jpm tofauti mtangulizi wako ambaye kitu kidogo tu kelele nyingi. Tumeona watalii wanavyomwagika nchini na bila shaka watanzania vinana maskini wameanza kuona umuhimu wako baada ya kilazimishwa kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali itashirikiana na Machifu, Viongozi wa Kimila

    Akishiriki Tamasha la Utamaduni lililofanyika leo Januari 22, 2022 Mkoani Kilimanjaro Rais Salia Suluhu Hassan ameeleza, "Kumekuwa na maneno mengi ndani ya Tanzania kuhusu Serikali na Uchifu. Tumeamua kuwa na jukwaa la pamoja baina ya Serikali, Machifu na Wazee wa Kimila ili kuhifadhi Mila na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia - Wachagga tupunguze matayarisho ya pombe kutokana na upungufu wa nafaka

    "Niwaombe sana ndugu zangu wa Kilimanjaro, tupunguze kidogo matayarisho ya Mbege na vinywaji vingine kwa kutumia nafaka, tujue kwamba mwezi wa 10 hatukupanda, tutapanda Machi na kutakuwa na upungufu kidogo wa chakula,,"-Samia Source-Nipashe Tanzania.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa kama mgeni rasmi Tamasha la Utamaduni la Mkoa wa Kilimanjaro

    Watu ni wengi sana wakiongozwa na machifu/ watemi wa maeneo yao. Vikundi vya ngoma na sanaa nyingine za Wachagga na Wapare ni vingi sana na bila kusahau vinywaji kikiwemo kinywaji pendwa cha mkoa wa Kilimanjaro. Tukio liko mubashara Clouds tv, TBC na Channel ten. Karibuni nyote Updates;
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia achana na siasa za watemi na machifu, ni hatari, hazikusaidii na hazilisaidii taifa

    Tangu Rais Samia ashike madaraka amekuwa busy sana kuzing'ang'ania na kuzipigia debe siasa za kuwaenzi na kuuenzi utamaduni wa machifu na watemi hapa Tanzania. Hapa nitaweka kweli kadhaa kuhusu ubaya wa siasa hizo kwa nchi yetu na vizazi vijavyo. 1. Utamaduni wa watemi na machifu ni utamaduni...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia anashikwa na "kigugumizi" gani kutoamuru Kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe ifutwe bila masharti yoyote?

    Ni dhahiri sasa kwa kila anayeifuatilia Kesi ya ugaidi ya kina Mbowe, ameshabaini kuwa hiyo Kesi ni ya michongo na mashahidi wanaoletwa hapo mahakamani pia ni wa michongo! Hivi unawatuhumu watu kwa ugaidi, halafu kila shahidi anayetoa ushahidi hapo mahakamani anaonekana kuwa amepangiwa ya...
  16. JamiiForums Tanzania Kama nitakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habari zenu wana JF. Moja kwa moja kwenye mada; Kulingana na maono yangu kuhusiana na suala la maendeleo katika jamii ya watu wa Tanzania, naona asilimia kubwa ya watu wamesahau kitu ambacho waasisi wetu wa taifa walikua wamekiacha kama kifaa cha kuleta maendeleo. Mnamo mwaka 1967 kulikuwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha inamsaidia sana Rais Samia kutekeleza miradi ya maendeleo

    Nchi inaenda vizuri sana. Mungu ni mwema. Ukizunguka huko mikoani (nje ya Majiji) utaona jinsi ambavyo halmashauri na maeneo yote ya kiutendaji yanavyofanya kazi za miradi kwa bidii na bila malalamiko. Kwa wasiofahamu, Serikali imemwaga fedha nyingi kwenye halmshauri zote nchi nzima. Huko ndipo...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, haya mambo ya kupotea watu ni doa kwenye serikali yako

    Mheshimiwa Rais, naomba nichukue nafasi hii nikupongeze kwa mambo mengi mazuri unayoyafanya ila kwa hili la watu kuanza kupotea kwenye utawala wako tayari ni doa kwenye serikali yako. Wiki mbili zilizopita kuna habari zimetokea magazeti kuwa kuna vijana watano wamepotea wakiwa wanaenda...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa sababu zangu Binafsi nakushauri Jina la Naibu Spika awe amepitia au amebobea katika maeneo haya Matatu tu....

    1. Awe ni TISS Agent 2. Awe ni Mmedani ( JWTZ ) Mstaafu 3. Awe Lawyer na Diplomat tu ANGALIZO Hakikisha awe ni Muislamu kwa Imani ( Dini ) halafu awe anatokea Visiwani ( Zanzibar Isles ) na kamwe asitokee huku Kwetu Tanzania Mainland. Mheshimiwa Rais wangu Samia kama ambavyo hukuniangusha...
  20. JamiiForums Tanzania Rais asikitishwa na kifo cha mke wa RC Shigella, kuhusu vijana waliopotea hasikitishwi?

    Rais Samia ameandika ktk ukurasa wake wa twitter "Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha mke wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Martine Shigella, Bi Magdalena Layda. Pole kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa, familia, ndugu, jamaa na marafiki. Nawaombea moyo thabiti katika kipindi hiki kigumu. Mungu aiweke roho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…