rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mengi yamefanyika chini ya Mwaka Mmoja. Nayakumbuka haya machache ya Mwaka mmoja wa Rais Samia ongeza yako

    Mengi yamefanyika chini ya Mwaka Mmoja. Nayakumbuka haya machache ya Mwaka mmoja wa Rais Samia ongeza yako… 1. Amepunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66. 2. Amejenga madarasa 1500 nchi nzima. 3. Amevifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa. 4. Amemalizia Ujenzi wa Daraja...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kiwanda cha tumbaku Morogoro kitafufuliwa mwaka 2023

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna mwekezaji amejitokeza ili kukifufua kiwanda cha tumbaku kilichopo Morogoro ambapo amesema kufufua kiwanda hicho kutakuza uhitaji wa soko la tumbaku na kuwataka wakulima wa tumbaku kuendelea na kilimo hicho. Ameyasema hayo mkoani Tabora akizindua Barabara ya...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Tabora: Rais Samia akifungua barabara ya Tabora, Koga, Mpanda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua barabara ya Tabora - Koga - Mpanda (km 342.9) Sikonge, Mkoani Tabora leo tarehe 18 Mei, 2022. Rais yupo Mkoani Tabora kwa ziara ya kikazi ya siku 3. ====== Rais apewa zawadi ya Ng'ombe Hotuba ya Rais Samia Akifungua...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Biden asema Mauaji ya watu 10 ni ugaidi wa ndani

    Rais wa Marekani, Joe Biden ametamka kuwa tukio la kuuawa kwa watu Weusi 10 kwa risasi lililotokea Buffalo, New York ni Ugaidi wa ndani uliosababishwa na dhana ya ubaguzi wa rangi. Biden na mkewe, Jill Biden walikutana na ndugu wa marehemu na wengine watatu waliojeuruhiwa baada ya kutembelea...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaiongoza Afrika kwa sasa, tumpatie sapoti kubwa

    Afrika iko kwenye kipindi cha mpito kutoka kuwa na marais wanaume kwenda Marais wanawake. Baada ya Mama Sarif wa Liberia sasa ni Mama Samia wa Tanzania. Rais Samia na Rais Sarif ndio litmas test kwa wanawake wote barani Afrika kuona kama wanawake wanaweza kuwa marais au hapana. Kenya kuwa na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chanya Mkoani Tabora

    Rais Samia Suluhu Hassan yupo Mkoani Tabora kwa ajili ya kushiriki Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chany, leo Mei 17, 2022. Rais Samia ameanza kuongea ===== RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Lengo la Serikali ninayoiendesha inalenga kujenga miundombinu ya barabara na madaraja ili kuiunganisha...
  7. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapa tabasamu Machinga, awamwagia Mamilioni

    Ni muendelezo wa Mama kujali wanae,baada ya kuwapa kicheko wafanyakazi wa Umma sasa ni zamu ya Wamachinga. Rais Samia atatoa shilingi Mil.10 kwa Machinga kila Mkoa,hongera mh.Rais Kwa kuupiga mwingi kama Benzema. Ni wakati sasa mh.Rais awakumbuke na Madiwani na Wenyeviti wa...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rais Biden aidhinisha majeshi ya Marekani kurejea Somalia

    Rais wa Marekani Joe Biden amrudhia ombi la Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin lq kuidhinisha kurejeshwa kwa wanajeshi wa Marekani nchini Somalia kupambana na Al Shabab na kubatilisha uamuzi wa mtangulizi wake Donald Trump mwaka jana wa kuondoa karibu vikosi vyote vilivyokuwa huko. Kabla ya Trump...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Alichofanya Rais Samia kwa wafanyakazi ni zaidi ya kuupiga mwingi

    ALICHOFANYA RAIS SAMIA KWA WAFANYAKAZI NI ZAIDI YA KUUPIGA MWINGI. Na Bwanku M Bwanku. Leo Jumatatu Mei 16, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua kiundani hatua ya Serikali ya Rais Samia kukata kiu iliyosubiliwa kwa hamu kubwa na Wafanyakazi kwa miaka 6 kwa kuongeza...
  10. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Yalitokea kwa Joyce Banda, Rais wa kwanza mwanamke nchini Malawi - kuna la kujifunza

    Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo. Akaingia madarakani, akawa...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania THE NEW YORKER: Rais Samia amefika Marekani kusahihisha taswira iliyoachwa na Magufuli aliyeitenga Tanzania na Dunia. Lairarua ziara ya Royal Tour

    Jarida maarufu duniani la 'The New Yorker' lililoasisiwa mwaka 1925 nchini Marekani limeongelea ziara ya Rais Samia Central Park, Marekani. Jarida limemtaja Rais Samia kama Rais wa kwanza mwanamke Tanzania ambae alifika nchini Marekani kuupamba Utalii, kuonana na Kamala Harris na kuhudhuria...
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye

    Ndiyo na ni suala la muda tu.
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Somalia: Wabunge wamrejesha madarakani Rais wa zamani

    Wabunge Nchini Somalia wamemchagua Hassan Sheikh Mohamud aliyekuwa Rais kati ya mwaka 2012 - 2017 kuongoza Taifa hilo. Amepigiwa Kura 214, huku Rais Mohamed Abdullahi Mohamed aliyekuwa anawania Muhula mwingine akipata Kura 110 Rais Mohamed amekubali matokeo ya Uchaguzi na Mohamud ameapishwa...
  14. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Farmaajo, Rais wa Somalia ambaye aliichukia Kenya sana, abanduliwa katika uchaguzi wa Urais

    Huyu mtu mwenye roho mbaya, kisirani number moja kwa jina la Farmaajo, rais wa Somalia amebanduliwa katika uchaguzi uliofanyika jana. Amefanyia Kenya madhambi mengi sana. Yeye ndio aliban Kenya kuexport miraa to Somalia. Yeye ndio alikataa kuondoa kesi mahakamani na kukataa kunegotiate na...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas: Tusimparure Rais, tumpetipeti

    Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi wakati wa uzinduzi wa Royal Tour Dodoma leo amempongeza Rais Samia kwa kazi kubwa aliyoifanya wakati wa utengenezwaji wa Filamu hiyo "Tumpongeze Rais wetu, nitawapa mikasa miwili" "Kuna sehemu Rais anavua samaki ilikuwa Pemba...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya TARURA, Yaibeba TAMISEMI na Kumng'arisha Rais Samia, Speed Iliendelea Hivi, 2025 Hatahitaji Kupiga. Itakuwa ni "Anameremeta"

    Wanabodi Nimepata fursa ya kutembelea baadhi ya maeneo ya Vijijini, deep interior, nikashangaa sana kukuta Barabara za lami hadi Vijijini. Kuulizia nikaelezwa ni kazi nzuri ya Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini, TARURA baada tuu ya Mama Samia kushika nchi, ame I double na ku triple bajeti...
  17. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Rais anastahili pongezi

    NILIPATA kuandika miaka ya nyuma kuwa Tanzania inateswa na mambo makuu mawili; Ujuaji na ukosefu wa uadilifu. Mosi; watu wanajua sana. Sehemu yenye kuhitaji utaalamu, yule ambaye fani haimhusu anaweza kuzungumza na kuonekana anajua zaidi. Mwaka jana, Jumuiya ya Wanasheria Tanganyika (TLS)...
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DRC State-owned shipping line to set base in Mombasa

    Kwa mwendo huu tu... ====== A shipping line from the Democratic Republic of Congo plans to start its operations from Mombasa beginning June this year. The state-owned shipping line, the Lignes Maritimes Congolaises (LMC) seeks to channel more DRC imports and exports cargo through the Port of...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Shaka usilazimishe Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia kwa nguvu

    Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika. Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao. Tusilazimishe mambo...
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Shaka: Nchi tatu zinajadili ili Samia awe Rais wao

    Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani! Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
Back
Top Bottom