rais

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kikosi kazi cha Rais cha kukusanya maoni ya Katiba Mpya

    Chonde chonde tunaiomba kikosi kazi cha Mhe. Rais kinachokusanya maoni ya katiba mpya ipite kwenye Wilaya zote na ratiba iwekwe kwenye magazeti na matangazo kupitia vyombo vya habari. Mhe. Rais sisi wananchi tunataka Katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025. Uchaguzi wa 2025 katiba mpya ndiyo...
  2. mngony

    JamiiForums Tanzania Mabango ya picha ya Rais kwenye shughuli mbalimbali haukuwepo kabla ya 2015. Uondolewe kupunguza gharama?

    Habari wakubwa, Kwa kumbukumbu zangu kama sijakosea kuanzia awamu ya 5 na hii ya sasa tuliyonayo shughuli za kitaifa anazohudhuria Rais zinambatana na mabago 'banners' makubwa yenye picha ya Rais pamoja jumbe au kaulimbiu kulingana na shughuli husika iwe maadhimisho, sikukuu za kitaifa na...
  3. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apewe haki yake katika haya

    Hakika mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Anachokifanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa watumishi wa umma na wengine, hakiwezi kupita bila kuungwa mkono. Rais Samia amefanya mambo makubwa sana kwa watumishi katika namna tatu. Hivi karibuni Serikali ilitangaza ongezeko la kima cha chini cha...
  4. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alimpenda sana Nape Nnauye na alikuwa mwalimu bora kwake, ipo siku Nape atamkumbuka sana Magufuli

    Nape Moses Nnauye anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli alikuwa anamtaka Nape aishi maisha ya uhalisia aishi maisha ya kutokula rushwa atosheke na mshahara wake Magufuli alijua kuwa Nape ni kijana mdogo akiishi kwa kufanywa vuvuzela ataharibikiwa hapo baadaye endapo wanaombeba wakipotea lkn...
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Sijapenda Rais Putin kuruhusu usafirishaji chakula kutoka bandari za Ukraine

    Kwa mtazamo wangu nilipenda Sana dunia ipate machungu Kama wananchi wa Ukraine wanavyopata machungu ,Jambo moja ambalo dunia haitambui tatizo lingekwisha kitambo Sana endapo Ukraine ingeamua kujikalia kimya kwenye majumba yao na siyo kutunisha misuli na misuli hawana wanategemea support ya watu...
  6. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Inapoenda Tanzania na Rais Samia Suluhu

    1.Rais Samia Suluhu Hassan Mei 14,2022 aliidhinisha ongezeko la karibu 25% la kima cha chini cha mshahara,na hivyo kuashiria kupotoka kwa sera za mtangulizi wake huku kukiwa na maandamano kuhusu gharama ya juu ya maisha. 2.Rais Samia aliamua nyongeza ya 23.3%,huku akiongeza mishahara ya...
  7. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hili la mlinzi wa Rais kutembea mguu nje ikoje?

    Wataalam wa masuala ya ulinzi wa Rais hii kitu nimeona niilete tuone imekaaje, kutembea mguu mmoja ukiwa nje ya kiatu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alihudhulia ibada ya Ijumaa katika msikiti mkuu wa Bakwata Kinondoni jijini Dar es Salaam hapo jana.
  8. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Sasa tunaweza kukubaliana kuwa; aina ya siasa anayoifanya Rais Samia ni ya kiwango cha juu sana ambapo ni nadra sana kuiona Afrika

    Rais Mama Samia ni mtu anayeamini kwenye siasa za ushawishi badala ya kutumia maguvu ‘Unnecessarily’. Ni mtu anayeamini kwenye utu na muadilifu kweli kweli. Falsafa yake hii, humfanya asiwe anaangalia tu matokeo ya mwisho ya michakato, bali pia uhalali wa michakato yenyewe na kutumia busara ya...
  9. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Habib Halahala: Mwandishi wa habari wa Rais Nyerere na Rais Mwinyi aliyefariki kifo kibaya

    Habib Halahala alichaguliwa kuwa mwandishi wa habari na mpiga picha wa Rais Nyerere mwishoni mwa utawala wa Rais Nyerere kwenye miaka ya 1980. Ilipofika mwaka 1985, Mwl Nyerere aling'atuka ofisini kama Rais wa kwanza wa Tanzania mara baada ya takribani miongo miwili na robo madarakani. Habib...
  10. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

    Perdiem. Tsh 250k , 220k,170k,150k kwa Jiji 200k,180k,150,130k kwa Manispaa 130k,120k,100k, 80k kwa Halmashauri Extra duty per day ni Tsh.60,000.0 Maafisa, 40,000.00 watumishi wengine, 30,000.00 wahudumu madereva. Hapo unaongezea 23.5% ya lile jambo lenu[emoji41] Wastaafu kulamba 33%...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena amuwakilisha Rais Samia Siku ya Afrika Uganda

    Mhe.Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) akipokea tuzo aliyozawadiwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na Pan African Women Organization (PAWO) kwa kutambua mchango wake katika Uongozi na maendeleo ya jamii tangu aingie madarakani mwezi March 2021. Waziri wa...
  12. BigTall

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Rais Kenyatta: Kila Mgombea ajiandae kupokea matokeo ya aina yoyote

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewataka wanasiasa ambao wanagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi wa Agosti 2022 kuwa tayari kupokea matokeo ya aina yoyote hata kama ni kushindwa. Kenyatta ambaye anamuunga mkono mgombea wa Azimio La Umoja, amesema hawatakiwi kuhawamisha wapiga kura wao kufanya...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 William Ruto amuomba msamaha Rais Uhuru Kenyatta

    Naibu Rais wa Kenya William Ruto amemwomba msamaha Rais Uhuru Kenyatta baada ya wawili hao kutofautiana pindi tu uchaguzi wa 2018 ulivyokamilika. "Najua kuwa kuhudumu kama Naibu wa Rais huenda sikufikia matarajio ya bosi wangu Rais Kenyatta, na ninaomba unisamehe," Ruto. Ruto ameomba msahama...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Biden asaini amri itakayowawajibisha Polisi wanaowatesa raia

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesaini amri ya kiutendaji ambayo amedai italeta uwajibikaji zaidi na ufanisi kwa polisi. Amefanya hivyo katika kumbukumbuku ya mwaka wa pili tangu kutokea kwa mauaji ya Georges Floyd, Mmarekani mweusi aliyeuawa na afisa wa polisi mzungu. Mabadiliko hayo yanalenga...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Tuzo aliyopewa Rais Samia na shukrani zake kwa mtangulizi Hayati John Magufuli

    Unaweza ukamkejeli kadri unavyojisikia kwamba alikuwa mtesaji, alikuwa mkabila alikuwa mkatili. Unaweza ukamsimanga kadri ya uwezo wa akili yako utakavyokuwezesha, hataweza kukujibu amelala usingizi wa milele na hataweza kuamka. Amepumzika nyumbani kwake Chato, na siku alipokuwa njiani kuelekea...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zamani wa Gambia kushtakiwa kwa mauaji

    Serikali ya Gambia imesema itamfungulia mashtaka Rais wa zamani Yahya Jammeh ambaye hivi sasa anaishi uhamishoni nchini Equatorial Guinea kwa mauaji, ubakaji, utesaji na uhalifu mwingine unaodaiwa kufanywa wakati wa utawala wake wa zaidi ya miaka 20. - Wizara ya Sheria imesema kuwa Mei 25...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Mhandisi Cyprian John Luhemeja ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya NARCO

    Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Cyprian John Luhemeja ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) Aidha, Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sauda Kassim Memo kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT)...
  18. Crimea

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuzo hii ya Babacar Ndiaye alistahili Hayati Dkt. Magufuli

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akipokea tuzo ya Babacar Ndiaye kutokana na mafanikio kwenye ujenzi wa barabara na kusema anayepaswa kupewa sifa ya tuzo hiyo ni mtangulizi wake, Hayati John Magufuli. "Kama tuzo hii [ya Babacar Ndiaye] ilipaswa kuwa ya mtu binafsi, mtu...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Tunamuimba Rais kila kona, Je, yupo kwenye mioyo ya Watanzania Au mtaamua kufumba macho?

    Jamani mnajuwa tunaweza kufunga macho nakuwa watu tunapenda kutukuza viongozi nakudharau uhalisia wa uku chini kwa kuwa na agenda binafsi ambayo mwisho wake waweza kuwa mbaya kwa chama na taifa kuliko kifo cha hayati Joseph Pombe Magufuli. Watanzania huku chini wenyewe kwa wenyewe kwenye...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Hii kauli " Rais kaleta hiki kafanya hiki" husemwa hata kwa wenzetu au ni hapa tu?

    Huwa nakerwa sana na mtindo wa wanasiasa kumpamba na kumsifia rais kwa maendeleo yanayofanywa na serikali. Kwa uelewa wangu, jambo lolote la kimaendeleo hufanywa na serikali Kwa wananchi kutumia kodi zao kwa niaba yao. Hii ni sawa na kusema una hela yako unatamani kula nyama kwa kuwa huna...
Back
Top Bottom