rais

  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana uchu wa maendeleo

    Leo ni ile siku tuliyokua tunaisubiri kwa hamu kujua matokeo ya sensa kwa maendeleo ya jamii matokeo haya ya sensa yametoka mapema zaidi ukilinganisha na miaka mingine kwasababu ya kutumia mfumo wa kidigitali na uchu wa maendeleo alionao Rais Samia Suluhu. Rais Samia Suluhu amesema kua...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia waminye Watanzania, hawana shukrani

    Hi! Tulipitia kipindi kigumu kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa miaka 6 mfululizo. Kila mmoja shahidi, vyuma vilikaza sana. Wananchi hali ngumu, watumishi taabani. Furaha ya wananchi ilikuwa kusikia kiongozi ametumbuliwa, wananchi waliaminishwa pesa zao zilikuwa zimeibwa na viongozi mafisadi na...
  3. JamiiForums Tanzania Sioni tatizo lolote mtu kujiandaa kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2030

    Mimi ni mwanachama wa CCM. Kwa sasa CCM ipo chini ya Samia ambaye pia ndio Rais wa JMT. Kwa utaratibu waliojiwekea CCM ingawa haupo kwenye katiba ya chama au kanuni nyingine, mtu akiwa kwenye nafasi ya Urais kipindi cha kwanza, ni vizuri anaachiwa pia kipindi chake cha pili ili aweze...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kila napoangalia naona kazi ya kutukuka ya Rais Samia, Tunataka nini tena Watanzania ili turidhike?

    Ndugu zangu Kama ukiacha akili yako iwe huru, ukaondoa mawazo ya uchama kichwani, ukatazama uongozi wa Rais Samia kwa mawazo huru yasiyofungwa na chochote Wala kupofushwa na chuki binafsi kwa Rais Samia, utakubaliana nami kuwa Rais mama Samia kafanikiwa kufanya kazi njema na ya kutukuka katika...
  5. JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ameandika historia ujenzi uwanja wa Msalato

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema CCM inapongeza kwa dhati Rais Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM kwa kuandika historia kwa taifa baada ya miaka kadhaa tangu kuwekwa azimio la makao makuu ya nchi kuhamia mkoani Dodoma. Shaka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Rais Magufuli na Rais wa TUCTA aliyekuwa na vyeti Feki

    Namkumbuka Magufuli kwa kitu kimoja, Akijua we ni threat kwake basi atatafuta mapungufu yako kisheria ambayo yanawza kugeuka jinai ili uwe mtumwa wake EL alitaka kumvimbia akaitwa ikulu akaonyeshwa faili lake toka kwa DPP akaambiwa join us au tukutane kisutu,hajakaa sawa likavutwa faili la mkwe...
  7. JamiiForums Tanzania Sheria ya ndoa ifanyiwe marekebisho kuruhusu ndoa za mkataba

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Kwa utafiti binafsi niliofanya hivi karibuni, ndoa nyingi hapa nchini, na katika nchi nyingine za kiafrika, huingia migogoro au kuvunjika kabisa kwa sababu ya wanawake kuwa na uhakika wa ndoa ya kudumu, hasa hizi ndoa za...
  8. JamiiForums Tanzania Vifurushi vya data vinapunguzwa lakini gharama inabaki palepale, kwa nini Serikali haidhibiti jambo hili?

    Moja ya mambo ambayo madikteta hawapendi ni kukosolewa, kwa miaka ya hivi karibuni mitandao ya kijamii imekuwa njia kubwa ya kukosoa mamlaka na kuleta mabadiliko katika jamii. Kipindi Rais Samia anaingia madarakani mitandao mingi ilikuwa na bei ndogo za vifurushi mfano, mimi nilikuwa nikinunua...
  9. JamiiForums Tanzania Mh. Rais nipatie tu perdiem nipite kwa watanzania niwaeleze mambo haya

    Naomba nami usinisahau ktk ufalme wako. Nimeona mambo makubwa uliyoyafanya mpaka nawaza ulikuwa wapi toka awamu ya kwanza? Una mazuri yote....huna baya mama. Huna baya na mtu. Umeifungua nchi sana. Naomba tu niweze wezeshwa nauli na malazi nipite nchi nzima kuelezea mazuri yako na kule...
  10. JamiiForums Tanzania Namshukuru Mhe. Rais

    Naomba niende moja Kwa moja katika mada napenda kumpongeza Mhe. Rais hasa kitendo Cha kuwakumbuka na kuwapa mafao watumishi waliondolewa katka sakata zima la vyeti feki. Ni jambo jema Kwani naamini katka maisha hamna binadamu aliye mkamilifu, na Hawa wenzetu walitoa mchango wao Kwa Taifa, tena...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Daraja la Wami ni alama nyingine ya uhakika wa utendaji wa Rais Samia

    Alhamisi ya wiki hii, Oktoba 27, 2022, Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete ameshiriki shughuli ya ufunguzi wa Daraja la Mto Wami ambalo liko ndani ya Jimbo lake la Chalinze. Daraja la Mto Wami limekamilika kwa 96% na...
  12. JamiiForums Tanzania Mpelelezi Mkuu Kenya: Tulilazimishwa kutengeneza kesi ya Tsh. Bil 140.3 dhidi ya Naibu Rais Gachagua

    Maafisa wa upelelezi katika Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) walilazimika kumfungulia mashtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusiana na kesi ya ufisadi wa Tsh. Bilioni 140.3, afisa mkuu wa polisi amefichua. Pia imeelezwa wakati wa kumkamata Gachagua na kufikishwa kortini Julai 26, 2021...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini tokea Mgawo wa Maji uanze Dar es Salaam Hotuba nyingi za Hayati Rais Dkt. Magufuli zinasikilizwa sana?

    Au labda kuna dalili za yeye kufufuka ili GENTAMYCINE nianze Kufurahi na Kurukaruka nikiamini kuwa anakuja Kuinyoosha tena nchi, Kushikisha adabu mafisadi na Kutupigania Sisi Watanzania Masikini ( Wanyonge ) wakiongozwa nae GENTAMYCINE na wengineo baadhi.
  14. JamiiForums Tanzania Berlin na Moscow sasa ni wapinzani - Rais wa Ujerumani

    Frank-Walter Steinmeier alielezea kampeni ya kijeshi ya Urusi dhidi ya Ukraine kama tukio la maji Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ametangaza kwamba Moscow na Berlin sasa zinasimama dhidi ya kila mmoja. Alitaja operesheni ya kijeshi ya Urusi nchini Ukraine kama sababu ya kutathminiwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM Ikulu ya Chamwino Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Ijumaa tarehe 28 Oktoba , 2022. #CCMImara #KaziIendelee
  16. JamiiForums Tanzania Upinzani umeridhika na utendaji kazi wa Rais Samia. 2025 ni kama kumsukuma mlevi. Njia nyeupe ili aendelee kuchapa kazi

    Kwa ujumla sisikii hata ile minog'ono kuwa kuwa serikali ya CCM chini ya mama Samia haitekelezi inavyotakiwa ilani ya CCM. Kazi inaendelea kupigwa kwa nguvu. Miundombinu inaimarishwa na bila ajizi kila kona ya Tanzania miradi ya kuimaridha miundo mbinu inaendelea. Sekta ya elimu ndio iko...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI Muigizaji Jackie Chan avaa fulana yenye picha ya Muhoozi Kainerugaba, mtoto wa Rais Museveni

    Muigizaji Jackie Chan ameonekana akiwa amevaa fulana yenye picha ya Muhoozi kainerugaba, Mtoto wa Rais Museveni.
  18. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapoteza ushawishi mitaani. Sare zake hazivaliki

    Ndugu zangu miaka kadhaa iliyopita hakika chama hiki kilijizolea umaarufu mkubwa Sana hasa kwa kundi la vijana, Vijana walijiona fahari Sana kujiita makamanda, vijana wengi hasa wa vyuo vikuu na vyuo vya Kati walikuwa mtaji mkubwa Sana wa chama hiki, Hakika vijana walikuwa na hamasa kubwa Sana...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulimkosea nini Mzee Mwinyi kutuletea kunguru?

    Inasemekana, mh Rais Mstaafu Mzee wetu wa heshima Ali Hassan Mwinyi, alienda ziara Warabuni, akakutana na hawa ndege aina ya kunguru. Aliwawapenda Kwa sabb ya uwezo wao wa kusafisha mazingira, ikabidi aje na mbegu hapa bongo! Sasa hawa ndege wamekuwa kero kiasi cha kuuluza tena kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Ni vikwazo vipi vinadumaza matumizi ya gesi ya kupikia?

    Wizara ya Nishati imetangaza kuandaa kongamano la nishati safi ya kupikia yaani ‘Clean Cooking Conference’ ili kuchunguza vikwazo vinavyodumaza matumizi ya nishati za kisasa za kupikia. Kongamano hilo linalenga kupendekeza mikakati ya kufanikisha upatikanaji wa nishati safi, za bei nafuu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…