rais

  1. Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa miradi mahsusi ya umeme. Vijiji vyote Bara kufikiwa umeme mwishoni mwa 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishudia Utiaji Saini wa Mikataba ya Utekelezaji wa Miradi Mahsusi ya Umeme leo tarehe 14 Februari, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said anazungumza Mikataba 14 ya Wakala wa...
  2. Mahakama yakamata Nyumba na Yacht, mali za Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea

    Nyumba 2 na Jahazi (Super Yacht) 1, mali za Teodoro Nguema Obiang zimewekwa chini ya Ulinzi kwa agizo la Mahakama baada ya Mfanyabiashara Daniel Janse Van Rensburg kudai Kiongozi huyo alimkamata kinyume cha Sheria na kumtesa. Mfanyabiashara huyo anataka kulipwa fidia ya Tsh. Bilioni 5.1...
  3. M

    Rais Samia Ondoa hiki kikokotoo kinawaumiza wastaafu

    Mheshimiwa Rais. Nakuandikia waraka maalum juu ya hali ya mfanyakazi, hususan anayestaafu. Nataka nikueleze kuwa, hiki kikotowo ulichokiweka hakina masilahi kwa mfanyakazi anayestaafu. Kiufupi ni dhuluma ya wazi. Hali ya maisha imekuwa ngumu, gharama za maisha zinazidi kupanda. Kiufupi , hii...
  4. M

    DOKEZO Responded Rais Samia, tuondolee huyu RC Amos Makalla mkoa wa Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla, amesema wahalifu wanaodaiwa kuwa Panyarodi waliovamia maeneo ya Bunju sio wakazi wa mkoa huo, kwani kazi ya kuwashughulikia wahalifu hao ilishaimaliza. Wahalifu hao wakiwa kundi la watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya wanane, walifika kwenye mtaa makazi...
  5. B

    Ziara ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango mkoa w Kagera

    Makala haya yanahusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango alioifanya Mkoa wa Kagera. Makamu wa Rais alifungua Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Nyumba NHC, alitembelea Shamba la Miti Rubare, maporomoko ya maji ya Kyamunene alishiriki Ibada...
  6. Serikali inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri

    Serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri.
  7. L

    Serikali ya Rais Samia imekiheshimisha kilimo na wakulima

    Ndugu zangu watanzania, Rais Samia Ambaye kwa Sasa anatajwa Kama kiongozi aliyeituliza Jumuiya ya Afrika mashariki,Na ambaye wananchi wa Jumuiya na ukanda huu wanatamani nchi zote za Jumuiya ziungane na kumchangua mama Samia kuwa Rais wa shirikisho, Ni Rais ambaye amekuwa wa kuigwa na viongozi...
  8. R

    Ni viashiria gani (social Indicators) ambavyo vinaonesha kuwa mtawala fulani nchi imemshinda?

    Naomba mnipe indicators ambazo mtu anaweza kuzitumia kuonesha kuwa Rais fulani/mtawala fulani/serikali fulani imeshindwa kutawala....
  9. Ukitaka kuelewa ukweli wa Rais Samia njoo Marangu Mtoni mkoani Kilimanjaro, kati ya bodaboda 5, wanne au watu ni mashoga

    Rais akiwa anazungumza na Viongozi wa Wanafunzikutoka Zanzibar na Bara j,ana aliwataka waache kuiga uzungu. Rais anawataka wanafunzi kuzingatia mila na desturi zetu kinyume chake kizazi chetu kitakwenda kombo. Kuna pahala waweza usielewe kauli hii, ila kiukweli hali ni mbaya hasa mikoani, wimbi...
  10. Rais Samia anaposema Kilimo ni kipaumbele cha Serikali yake anamaanisha?

    Raisi Samia anaposema kipaumbele cha serikali ya awamu ya sita ni kilimo anamaanisha? Hivi mbona tunakurogona jamani? Kweli kipaumbele cha serikali ambayo haijachaguliwa ni kilimo? Naogopa sana kusema ila tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka pasipo kupigiwa kura ni serikali za ovyo...
  11. Katika umri wa miaka 55 tayari Magufuli alikuwa ameshakuwa Rais wa Tanzania na katika umri huo huo Tundu Lisu ni chawa wa Samia na mtumwa wa Mbowe,

    Nimeanza kumfuatilia Tundu Lisu nimegundua kuwa amezeeka ni mzee WA miaka 56 na katika umri huu akiwa babu bado ana aikli za kitoto kabisa yaani mtu mzima lakini muigizaji balaa hafu ukiwalinganisha na anayetembelea nyota yake hawafanani hata kidogo kwa umri huo Tundu Lisu hajajenga hata Choo...
  12. Rais Samia unapozungumza na wanafunzi wa elimu ya juu usisahau fedha za mafunzo kwa vitendo (field)

    Rais Samia mama yetu tunatambua nia yako njema ni kuiona Tanzania ikisonga mbele na kuondoa manung'uniko mengi. Mama wewe ni mfariji mkuu tunaomba unapokuwa unazungumza na wanafunzi wa vyuo hapo Dodoma uliangalie suala gumu ambalo tulikabiliana nalo mwaka jana tulipokuwa katika mafunzo kwa...
  13. Raila asisitiza kutomtambua Ruto kama Rais, awaambia wabunge wa Azimio 'Usaliti hautavumiliwa'

    Kiongozi wa Chama cha Azimio la Umoja, Raila Odinga amesema umoja huo hautamtambua Rais Wiliam Ruto kama Rais wa Kenya. Odinga ametoa ujumbe kuwaonya wanachama wa umoja huo kuwa hawatavumiliwa kwa usaliti wa kumtambua Ruto kama Rais. === Azimio la Umoja One Kenya Coalition party leader Raila...
  14. N

    Lissu anasema Rais Samia amebadilisha upepo wa kisiasa

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani 1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa. 2. Anazungumza na wapinzani. 3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu. 4...
  15. Huyu ndiye Rais ambaye ana content kwenye Hotuba zake ukimwondoa Nyerere

    Baada ya Ben Mkapa hakutokea tena Rais ambaye alikuwa na akili katika hotuba. Mkapa alikuwa kichwa, alikuwa na akili bahati mbaya tu alikuwa chama ambacho hakitaki watu wenye akili kuwa nazo au kuzitumia. Sikiliza Rais akiongea..................................
  16. Kwanini Baraza la Mawaziri lisivunjwe kwa kushindwa kumshauri Rais?

    Kitendo cha Waziri wa Fedha kukiri kwamba akiba ya Taifa ya Fedha za kigeni ilichotwa na fedha kutumika kwa ujenzi wa Madarasa ni kiashiria cha dhahiri kukosekana fedha katika njia za kawaida (makusanyo ya mapato). Foreign Reserve hutumika tu endapo kuna mkwamo wa kiuchumi na serikali huzitumia...
  17. R

    Kutumbuliwa kwa Mwigulu Nchemba, Rais hana lawama. Dharau kwa wawakilishi wa wananchi ni dharau kwa wananchi

    Mwigulu Nchemba anatambua kwamba amekosea, lakini anatambua kwamba Rais anamwamini Sana. Upande wa pili hana taarifa kwamba hata kama Rais angemwamini na kumpenda Sana, kama wawakilishi wa wananchi (wabunge) wanadharaulika basi mpendwa wa Rais amewadharau wananchi. Kuwadharau wananchi means ni...
  18. R

    Rais kuisuka upya NIDA na RITA, wakwama usajili wa watu

    RITA na NIDA wapo mbioni kufumuliwa na kusukwa upya kuendana na Kasi ya awamu ya sita. Maeneo yanayotegemea kuwekewa mkazo nikudhibiti Watanzania na wageni waliozaliwa nje ya nchi kutokupata cheti cha kuzaliwa kama vile wamezaliwa Tanzania. Mwanya huu unatumiwa Sana kusaidia raia wa kigeni...
  19. 'Balozi' ataka Rais Samia atengenezewe sanamu

    Muktasari: Balozi wa utalii ataka Rais Samia atengenezewe sanamu kama kumbukumbu ya kuwa Rais mwanamke wa kwanza na aliyejitoa kwa dhati kuipambania sekta hiyo kwa kushiriki kutangaza utalii wa nchi. Dar es Salaam. Wakati sekta ya utalii ikiendelea kuimarika na kuvutia idadi kubwa ya watalii...
  20. N

    Rais Samia: Sisi ni taifa huru

    Nakumbuka siku ya uhuru Rais Samia Suluhu alituhakikishia watanzania kwamba sisi ni taifa huru na watanzania lazima tuwe huru tunaona anaendelea kuishi maneno yake kwa kuweka uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa wananchi kutoa maoni. Hakuishia hapo tu alisema pia jukumu la serikali ni kusimamia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…