rais

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya rais yasihojiwe na mahakama yoyote?

    Naomba majibu ya swali hilo katika ulimwengu huu wa kuchakachua kufoji kubambikiza kuonea kutoleana ushahidi wa uongo je kuna haja ya Kuwa na kipengele kama hiki?
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

    Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao. Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Sekta ya afya yazidi kuimarika chini ya Serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita imekua na mwendelezo mzuri sana sekta ya afya, imejenga zahanati 786, na vituo vya afya 471, pia imekarabati na kuboresha huduma katika hospitali za almashauri 154, Bila kusahau mkoa wa kigoma ambao kimaendeleo ulisahaulika sana, nao umepata mashine ya CT-scan kwa mara...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Singida Mashariki, Miraji Mtaturu aishukuru Serikali kwa mradi wa SWASH

    MBUNGE SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU AISHUKURU SERIKALI YA RAIS SAMIA KWA MRADI WA SWASH MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka kiasi cha Shilingi Milioni 245,535,791.86 kwa ajili ya ujenzi wa vyoo...
  5. JamiiForums Tanzania Lissu amtetea Rais Samia kupanda kwa gharama za maisha

    Tundu Lissu amekunukuliwa na gazeti la Majira la leo akiweka bayana kuwa suala la ugumu wa maisha tulionao sasa wa kupanda kwa bidhaa kama mchele, maharage, unga, mafuta na bidhaa mbalimbali haukusababishwa na Rais Samia hivyo asilaumiwe Samia bali wa kulaumiwa ni Katiba mbovu ya tuliyonayo sasa.
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia ungemteua Jerry Muro kuwa Mwenezi wa CCM Taifa ungekuwa Umeupiga Mwingi zaidi

    Ana kila Kitu tena huyu ni zaidi hata ya alivyokuwa Nape Nnauye na alivyo huyu Uliyemteua sasa Dada Sofia Mjema ambaye kwa Uzito wa hiyo nafasi sioni kama ana amsha amsha na Ubavu wa Kutema Cheche. Mtu mwingine ambaye nafasi hii ingemfaa sema tu kwa sasa ni Mbunge ni Livingston Lusinde Mtoto wa...
  7. JamiiForums Tanzania Nahisi kuna Watu wanapendelewa katika Mabadiliko na Uhamisho yafanywayo na 'Boss Kubwa' kutokana na Ushkaji na Uchawa

    Tena nahisi kuna Wengine hupigiwa hadi Simu na Kuulizwa kwa Kubembelezwa kama si Kudekezwa huku Wengine kwa Kuwakomoa au Chuki Kwao wanapelekwa ( wanatumwa ) mbali. Hivi Kijana kama Niki wa Pili unamtoaje Kisarawe na kumpeleka Kibaha? Kwanini kwa Umri wake asipelekwe huko Wilaya ya Mpakani kwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Amani imetawala Tanzania ya Rais Samia

    Tukizungumzia amani moja kwa moja tunazungumzia uhuru wa wananchi na nchi kwa ujumla tunaona Rais Samia Suluhu amerejesha amani Tundu Lissu leo amewasili nchini baada ya kuhakikishiwa ulinzi na usalama. Baada ya kutua nchini, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amempongeza Rais Samia...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaendelea kuupiga mwingi, wapinzani watakuja kukosa cha kusema kabisa 2025

    Ukiachilia mbali suala la katiba mpya ambalo pia Rais Samia ameahidi kuanzisha mchakato upya, Dkt. Samia Suluhu Hassani baada ya kukamilisha ujenzi wa majengo 80 ya huduma za dharura (EMD), na majengo 28 ya huduma za wagonjwa mahututi, sasa vifaa vimeanza kufungwa ili kuboresha huduma za afya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia achana na hawa vijana kwenye nafasi muhimu kama Ukuu wa Wilaya

    Hakuna asiyejua kosa la huyu MTU. Usalama wa watoto utakuwa mdogo. Hafai Kabisa. Cha ajabu hakuna na taarifa ya hatua dhidi ya kitendo cha kumchapa mtoto vibao
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Biya ambaye ndiye mzee kuliko wote Afrika ageuka kichekesho huko Marekani

    Katika hali iliyoonekana kama vile kuzidiwa na uzee au matatizo ya kusahau sahau Rais wa Cameron, mheshimiwa Paul Biya alijikuta akigeuka kichekesho wakati wa mkutano wa kimataifa wa US Africa Leadership Summit in Washington DC. Rais huyo mzee kuliko wote alijikuta akisahau mahali alipo punde...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao. Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100 ambao ni kama ifuatavyo: A)...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amekuja kuizika kabisa CHADEMA

    Wadau, amani iwe kwenu. Katika historia ya upinzani nchini, mwaka 2015 ulikuwa ni uchaguzi ambao ulitushughulisha sana wana CCM. Hata hapa kwenye jukwaa mijadala ilikuwa ni mikali na mnyukano kati ya CCM na CHADEMA ulikuwa wa wazi. Nakumbuka wakati huo ukianzisha mjadala wa kumshambukia...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kujenga Tanzania mpya

    Rais Samia Suluhu alisema zama zetu hizi zinapitia changamoto nyingi hivyo ameamua kubuni mbinu mpya ili kuendana na wakati tulipo. amekuja na wazo la nguzo nne (4R) za uongozi ambazo ni maridhiano, ustahamilivu, mabadiliko na kujenga Tanzania mpya Hizi nguzo nne zimetufikisha hapa leo Tanzania...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini China yazaa matunda mapema sana

    Baada ya ziara ya Rais Samia nchini China, 98% ya bidhaa kutoka Tanzania kwenda China zitaingia bila kutozwa ushuru. Hii itatoa fursa kubwa kibiashara kwa wakulima, wafugaji na wafanya biashara wetu kulisha soko jipya la China. China inaidadi kubwa ya watu kuliko nchi zote duniani hivyo hii ni...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imejipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao barani Afrika, Serikali imeanza kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA). Dira ya serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kinara katika...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia inatekeleza ahadi zake kwa 100%

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Mpango ameweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Ziwa Victoria kwa mji wa Tinde. Hii ni baada ya miradi mingine mikubwa ya maji kukamilika ikiwemo: Mradi wa maji Nzega (Igunga Tabora) wenye thamani ya shilingi bilioni 6.72...
  18. JamiiForums Tanzania Rais pekee ambaye aliingia Ikulu akakuta kuna pesa Hazina alikuwa Kikwete. Waliofuatia...

    Hayati Magufuli aliingia Hazina kukiwa kumepigwa sana hamna kitu, Samia naye ameingia watu wamepiga sana pesa Hazina hakuna kitu. Watu wanajua wakati wa Uchaguzi ndio wakati wa kupiga pesa za umma. Na kwa kuwa watanzania ni wapole. Wanamwachia Mungu. Mungu naye anawatizama anasema "nyie mabwege...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kuiteka mioyo ya wana CHADEMA kwa uchapa kazi wake, wasafiria nyota yake kupata uungwaji mkono Kanda ya Ziwa

    Ndugu zangu Watanzania, Hakika Rais Samia Haepukiki Wala Hazuiliiki katika mioyo ya watanzania,Huwezi ukafanikiwa kulitawala jukwaa la kisiasa na kupata wasikilizaji ikiwa utajifanya kumshambulia na kutokutambua juhudi za mh Rais wetu mpendwa mama Samia, kwa kuwa Ni Rais Samia ndiye...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli aliamua kumlinda Askofu Malasusa kwa nguvu zote?

    Kama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo. Cha ajabu Serikali ya Rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia ulinzi binafsi na kuhakikisha kwamba kwa lazima anaendesha ibada kinyume na matakwa ya waumini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…