Hivi majuzi kulikuwa na mjadala mkubwa uliohusiana na uamuzi wa Simba kuvaa jezi za "Visit Tanzania" na wakati huo huo Yanga kukataa kuvaa nembo hiyo badala yake wakaingia mkataba na kampuni ya Haier.
Huu mjadala ulijikita zaidi katika kuuliza ni maslahi gani Simba wanapata kwa kutangaza nchi...
Watanzania wanapaswa kuendelea kumuunga mkono Rais Samia Suluhu, kwani amekuwa akifanya kazi kubwa ya kutekeleza Dira ya Nchi ya maendeleo kwa watu wa matabaka yote nchini.
Aliwahi kusema "Tanzania inajengwa kama nyumba, kila awamu inaongeza tofali, ikiingia awamu nyingine ukiona tofali...
Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote.
Ikumbukwe wazo la chombo kimoja kusimamia ajira lilikuja baada ya upendeleo uliokuwepo wa wazi wazi katika ajira...
Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa Afisa Elimu. Haya ni maajabu na uabunuasi.
Unamuacha mwalimu mwenye sifa zake za muda mrefu unamchukua Voda fasta?
Mwl amewekwa kama daraja bovu wakubwa wapite na watu(ndg) zao hii sio sawa. Ukifuatilia utagundua maafisa Elimu na vitengo vyao hawana "A"...
Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu
----
Polisi Mkoani Mbeya wamemchukua @mdudechadematz Muda huu Akiwa Soko la Kabwe, Askari walimpigia Simu Kama Raia wakihitaji Kununua Vitabu vyake, baada ya Kukutana nao wamemkamata...
“Kuna mashirika ambayo wenyewe wangehitaji ajira za harakaharaka lakini unaambiwa subiri Tume ya Utumishi ikae, subiri sijui utumishi ifanyeje mwaka mzima taasisi kwa mfano TRA inataka watu wakakusanye mapato mwaka mzima watu hawajapatikana, vivyo hivyo TANESCO, REA wanataka watu utumishi paka...
Leo katika hafla ya utiaji saini mikataba yenye thamani ya shilingi Trilioni 1.9 ya kuongeza usambazaji wa umeme kwa wananchi na maeneo ya kimkakati. Waziri wa Nishati January Makamba alisema Serikali inamkakati wa kuongeza uzalishaji umeme "Tunaposema tunazalisha umeme wa Megawati 1,700 na...
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameshuhudia utiaji saini wa mikataba ya kuimarisha Gridi ya Taifa na usambazaji wa umeme Vijijini iliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Februari, 2023. Kwenye hotuba yake Rais Samia anasema wakati anakabidhiwa madaraka jambo lililokua linamuumiza kichwa ni...
Rais Samia amesema wakati anakabidhiwa dhamana ya kuongoza nchi, mradi wa bwawa la Nyerere na SGR vilimuumiza kichwa kwa pesa zilizokuwa zinahitajika lakini sasa anazo pesa mpaka za kuifikisha Kigoma. Pia Rais Samia ameahidi umeme kutoka bwawani mapema mwakani.
"Kila nikiangalia mapesa...
Ndio mwelekeo wa Taifa letu.
Nyerere, Mwinyi na Mkapa ndio marais pekee watakaobaki bila kupenda kuwa addressed kama Dr.
Njaa ni kali sana na unga hautoshi kila mtu anapambana kujipendekeza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishudia Utiaji Saini wa Mikataba ya Utekelezaji wa Miradi Mahsusi ya Umeme leo tarehe 14 Februari, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said anazungumza
Mikataba 14 ya Wakala wa...
Nyumba 2 na Jahazi (Super Yacht) 1, mali za Teodoro Nguema Obiang zimewekwa chini ya Ulinzi kwa agizo la Mahakama baada ya Mfanyabiashara Daniel Janse Van Rensburg kudai Kiongozi huyo alimkamata kinyume cha Sheria na kumtesa.
Mfanyabiashara huyo anataka kulipwa fidia ya Tsh. Bilioni 5.1...
Mheshimiwa Rais.
Nakuandikia waraka maalum juu ya hali ya mfanyakazi, hususan anayestaafu.
Nataka nikueleze kuwa, hiki kikotowo ulichokiweka hakina masilahi kwa mfanyakazi anayestaafu. Kiufupi ni dhuluma ya wazi.
Hali ya maisha imekuwa ngumu, gharama za maisha zinazidi kupanda. Kiufupi , hii...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla, amesema wahalifu wanaodaiwa kuwa Panyarodi waliovamia maeneo ya Bunju sio wakazi wa mkoa huo, kwani kazi ya kuwashughulikia wahalifu hao ilishaimaliza.
Wahalifu hao wakiwa kundi la watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya wanane, walifika kwenye mtaa makazi...
Makala haya yanahusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango alioifanya Mkoa wa Kagera. Makamu wa Rais alifungua Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Nyumba NHC, alitembelea Shamba la Miti Rubare, maporomoko ya maji ya Kyamunene alishiriki Ibada...
Ndugu zangu watanzania,
Rais Samia Ambaye kwa Sasa anatajwa Kama kiongozi aliyeituliza Jumuiya ya Afrika mashariki,Na ambaye wananchi wa Jumuiya na ukanda huu wanatamani nchi zote za Jumuiya ziungane na kumchangua mama Samia kuwa Rais wa shirikisho, Ni Rais ambaye amekuwa wa kuigwa na viongozi...
Rais akiwa anazungumza na Viongozi wa Wanafunzikutoka Zanzibar na Bara j,ana aliwataka waache kuiga uzungu. Rais anawataka wanafunzi kuzingatia mila na desturi zetu kinyume chake kizazi chetu kitakwenda kombo.
Kuna pahala waweza usielewe kauli hii, ila kiukweli hali ni mbaya hasa mikoani, wimbi...
Raisi Samia anaposema kipaumbele cha serikali ya awamu ya sita ni kilimo anamaanisha?
Hivi mbona tunakurogona jamani? Kweli kipaumbele cha serikali ambayo haijachaguliwa ni kilimo? Naogopa sana kusema ila tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka pasipo kupigiwa kura ni serikali za ovyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.