rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aache kumkebehi Rais Samia

    Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona. Lissu alidai tena aliponea kuuawa mara ya pili baada ya uchaguzi kumalizika na akaokolewa na ubalozi wa Ujerumani. Rais Samia ambaye ndiye...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Rais Ruto achukua mikopo 8 mipya ndani ya miezi minne

    Imeelezwa mikopo hiyo iliyochukuliwa chini ya kiongozi huyo wa Kenya Kwanza, William Ruto ina thamani ya Ksh Bilioni 43.4 iliyosainiwa kati ya Septemba 1 hadi Desemba 31, 2022. Hazina imeeleza kuwa mikopo imesainiwa kati ya Serikali ya Kenya, Wadau wa biashara na kati ya Nchi na Nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lilioandaliwa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) katika Ukumbi wa Kuringe - Mkoa wa Kilimanjaro leo tarehe 08 Machi, 2023. Rais Samia akipokelewa na Viongozi wa Chadema...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Aliyemshauri Rais Samia kuingia katika soka la Bongo kwa kununua magoli ana akili nzuri sana!

    Mchezo wa soka (mpira wa miguu) ni mchezo unaopendwa na watu wengi sana Duniani. Kwa hapa Bongo ni kama ndo epicenter ya soka! Soka linapendwa hapa Bongo balaa! Kuna wakati niliwahi kumwambia rafiki yangu mmoja kwamba kwa "uwazimu" huu wa upenzi wa soka hapa Tanzania hasa katika mechi za Simba...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia ametufutia laana ya kichwa cha mwendawazimu kwenye michezo

    Timu zetu zilikuwa hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya Kimataifa. Vilabu na timu za taifa zilikuwa zinafungwa na hata vinchi vidogo na vyenye vurugu kila siku kama Burundi na Rwanda. Hii ilimfanya Rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kuzifananisha timu zetu na kichwa cha mwendawazimu ambacho...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia kununua kwa milioni 10 kila goli la Taifa Stars kufuzu AFCON

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila goli ambalo Taifa Stars itafunga katika michuano ya kufuzu fainali ya michuano ya AFCON inayoendelea. Taarifa iliyotolewa leo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa imesema Rais Samia ameahidi kuanza kutoa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Kuwaalika Ikulu Washindi wa Majukwaa JamiiForums kwa mwaka 2022

    Na nasikia anatamani mno na sana Kumjua GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ili amuulize anataka ampe Cheo gani ili amsaidie na alisaidie Taifa lake Tukuka. Haters msichoke Kunichukia JF Okay?
  8. JamiiForums Tanzania Mikutano ya kumpongeza Rais imegeuka kero! Sio lazima kila mkoa uandae mkutano wa pongezi, huo ni upigaji

    Inashangaza sana nchi za kiafrika Bado tunaishi Karne ya kwanza! Rais kutimiza mwaka Mmoja madarakani sio hoja ya kufuja pesa za walipa Kodi kwa kuandaa Mikutano Kila mkoa na kukodi wasanii kwa mamilioni ya pesa ili kupongeza kutimiza miaka miwili. Ziko njia nyingi zinazoweza kutumika...
  9. JamiiForums Tanzania DC Victoria Mwanziva: Miaka Miwili ya Rais Samia imekuwa ya Neema na Baraka tele kwa Wana-Ludewa

    DC VICTORIA MWANZIVA - MIAKA MIWILI YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN NDANI YA WILAYA YA LUDEWA Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva amesema; kwa hakika Miaka Miwili imekuwa ya Neema na Baraka tele kwa Wana-Ludewa, kwani Rais Samia amekuwa akiitazama Wilaya kwa jicho la upekee sana...
  10. JamiiForums Tanzania Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo. Hivi mama...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awezesha ndege mpya ya mizigo kutua Aprili

    Rais Samia awezesha ndege mpya ya mizigo kutua Aprili. Na Bwanku Bwanku. Ndege mpya ya mizigo iliyoagizwa na Serikali ya Tanzania kutoka nchini Marekani inatarajiwa kupokewa nchini mwezi Aprili mwaka huu ili ianze mara moja kuendelea kufungua uchumi wa Taifa kupitia usafarishaji wa mizigo...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Mteule wa Nigeria yupo Paris kwa Mapumziko

    VIROJA: Viongozi wengi Afrika wamejaa viroja, Rais Mteule wa Nigeria Dr. Bola Tinubu yupo jijini Paris kwa ajili ya Mapumziko baada ya kampeni na Uchaguzi. Baada ya Paris ataenda London kabla ya kurudi Nigeria Kwa ajili ya kuapishwa Mei 2023. === Nigeria’s president-elect left the country...
  13. JamiiForums Tanzania Wakati Rais Samia anaibeba sekta ya michezo, TFF wanaturudisha kwenye migogoro ya enzi za FAT

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu amejipambanua kuwa mpenda michezo na amekuwa mara kadhaa akiunga mkono sekta hii kwa vitendo akitoa hamasa na zawadi mbalimbali kwa michezo tofautitofauti. Tumeshuhudia Serikali yake ikiondoa kodi katika nyasi bandia ili kuboresha viwanja...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Shonza: Miaka Miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan Imekuwa Chachu ya Mafanikio kwa Taifa

    MBUNGE MHE. JULIANA DANIEL SHONZA - "MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN IMEKUWA CHACHU YA MAFANIKIO KWA TAIFA Mbunge wa Viti Maalum CCM Wanawake (UWT) anayetokea Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza amempongeza Rais Samia kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani huku akijikita kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani wanamsifia Rais Samia au CCM?

    WanaJf salaam! Najiuliza tu, kwamba shauku ya Rais Samia ni kuendelea kuongoza nchi hii kupitia chama chake cha CCM, tena anapenda chama kishinde uchaguzi katika mitaa na vijiji 2024. Kisha ashinde nafasi za Ubunge na Urais. Wakati huo upinzani umeshamuona kama kiongozi mwenye msimamo wa kadri...
  16. JamiiForums Tanzania Wanafunzi, Wazazi wamlilia Rais Samia kuhusu matokeo yaliyofutwa

    Wanafunzi 140 wa shule ya sekondari Thaqaafa ya jijini Mwanza waliofutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka jana wamemwomna Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati kwa kuziagiza mamlaka husika kuwapa fursa ya kurudia kufanya mitihani ya kidato cha nne. Wakazungumza na waandishi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Ni Rais wa nchi gani aliwahi kufanya hivi?

    Nimefuatilia kwa muda toka week ilipoanza wakati Rais wa Zambia Hakainde Hichilema alipokuwa akiwavika nishani makamanda wa jeshi la nchi yake. Wakati akikagua gwaride ndipo mvua ikaanza kunyesha, no mwamvuli na shadow! ☝🏾Baada ya kukagua gwaride. ☝🏾Akiwa anakagua huku akinyeshewa mvua...
  18. JamiiForums Tanzania Urusi yaanza kuimba amani baada ya ziara ya rais wa China

    Marais wote wawili wamekubaliana kwamba sheria za Umoja wa Mataifa (UN) lazima ziheshimiwe na kwamba vita vya Ukraine viishe kwa mazungumzo. Hapa Mchina atakua amemsaidia Putin apate pakutokea na kufuta aibu..... Pia hilo la ICC limempa mchecheto Xi and Putin signed and issued at the Kremlin...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndio Magareth Thatcher wa leo, Mwanamapinduzi na Mwanamageuzi wa kweli

    Mihula mitatu ya uongozi wa mwanamama shupavu aliyekuwa Waziri mkuu wa Uingereza Magareth Thatcher kutoka 1979-1990 ilihitimishwa kwa mabadiliko makubwa nchini Uingereza. Ni misimamo yake mikali iliyopelekea akapewa jina la 'The iron Lady' Historia ya Margareth Thatcher ni ya kusisimua sana...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanasema Rais Samia anaendelea kuvunja rekodi

    Tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu aliahidi vitu vingi na akasema yeye amekuja na nguzo nne zitakazomuongoza katika uongozi wake ambazo ni Maridhino, Ustahimilivu, Mabadiliko pia Kujenga upya. Tumeona amezifanyia kazi nguzo zote nne na sasa yuko katika ujenzi wa Tanzania mpya. Rais Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…