Mwandishi Wetu
RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma uliobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)...
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ametoa masharti hayo kwa Kiongozi wa Azimio La Umoja One Kenya, Raila Odinga na kusisitiza kuwa anatakiwa akiri hadharani kuwa anamtambua William Ruto kuwa ndiye Rais wa Kenya.
Amesema “Unazungumzaje na mtu ambaye hatambui utawala wako? Yeye ni nani hapa...
Nategemea na hata Sikukuu ya Idi (ya Wiki Mbili zijazo) na ile ya Krismasi bila kuisahau ile ya Idi al Haji na zenyewe pia Rais Samia ataendeleza huu Utamaduni aliouanzisha leo wenye kutuachia Maswali mengi Vichwani wale Binadamu Wachache sana tuliobarikiwa Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu.
Je...
Habari za pasaka ndugu wanajukwaa wakati wengine wakiendelea na swaum nawaambia kazi iendelee.
Ninapendekeza ofisi ya Rais Ikulu kupitia kurugenzi ya mawasiliano wawe na ukurasa wao hapa kama kule instagram ili wanajukwaa wajue kinachoendelea hasa teuzi na tenguzi.
Aidha habari za PCCB na...
"Sisi sote ni wachina" hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Rais wa Taiwan Ma Jing-jeou aliyo zungumza wakati wa ziara yake China bara.
Rais huyo alisisitiza kwamba,
"People on both sides of the Taiwan Strait are Chinese people, and are both descendants of the Yan and Yellow Emperors," Ma said, in...
Baada ya report ya CAG kuweka wazi wizi na madudu yanayoendelea huko serikalini, Kiongozi makini na mzalendo alipaswa kukaa pembeni kupisha uchunguzi.
Lakini tujiulize, Kiongozi aliyeteleza kwa kuzungumza hadharani, iwe kwa ukweli au kwa uongo kwamba "kuna siku nchi itapigwa mnada kwa madeni"...
Ni miaka miwili sasa imetimia tangu kiongozi wa awamu ya sita kuingia madarakani, Lakini utafiti unaonyesha na hata unapojaribu kuuliza, Je, kuna jambo lolote la msingi na la maana unaloweza kupoint out kwamba jambo hili limegusa maisha ya watanzania wa hali zote? Je, kuna nia ya dhati na...
Mhe. Rais ameweza kujenga Ofisi yake kwenye standard ambazo hakuna msaliti anayepata mwanya; hii imepelekea mambo yafuatayo kwenda kama Ofisi ya Mhe. Rais inavyopaswa kuwa
1. Ofisi yake Kwa sasa imeweza kuwa na Siri kubwa; hakuna Siri kuvuja kama ilivyokuwa awamu za nyuma. Hii imefanya akina...
Naomba kuchukua nafasi hii kuandika kwa kifupi kabisa ombi moja kwa niaba ya watanzania.
Nakuomba Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia tafadhali wachukulie hatua za kisheria wote wanaohusika na ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi yetu.
Tunakopa matrilioni, lakini tunapoteza matrilioni...
Baadhi ya watu wachache tunajulikana na "kujiapiza" kukusemea mazuri na kukuombea kwa Mwenyezi Mungu na hakika Jamii imeanza kuelewa nini hasa umedhamiria kutufikisha.
Ukuaji wa uchumi na ustawi wa maisha ya watu ni kipimo tosha Cha mafanikio unayoyapata katika uongozi wako. Hongera Sana...
Si mwengine ni Balozi Ali Karume, mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibar. Amekosoa vikali mambo yafuatayo:
1. Kukodishwa kiholela kwa visiwa tena kwa bei cheee ambayo ni dola laki moja tu kwa mwaka.
2. Kupinga uvunjwaji wa nyumba za kilimani.
3. Amemshutumu Mwinyi kukosa uzoefu wa mambo ya...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo tarehe 07/04/2023 amemtuma Katibu wake Bi. Dorice Nsekela kumwakilisha kwenye msikiti wa Ijumaa na wa wilaya ya Kibondo ambapo alifanikisha kutoa ahadi aliyoahidi ya kuchangia seruji mifuko 50.
Pia, Mbunge wa Njombe...
Afrika Kusini wakati wa utawala wa Zuma familia ya Gupta ilikuwa na uswahiba usiokuwa na afya na mtoto wa rais huyo.
Hii ikapekekea ufisadi mkubwa Sana kufanyika serikalini kupitia tenda zilizokabidhiwa kwa familia hiyo.
Hivi Sasa Kuna ufisadi unaowekwa wazi na CAG hapa Tanzania lkn mamlaka...
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa Magufuli alikuwa Rais wa hovyo na mwovu. RAIS ambaye alikuwa anakiri hadharani kuwa pesa za serikali ni pesa zake. Alikuwa akisema "pesa zangu". Alikuwa na uhuru wa kuchota mihera ya serikali na kuigawa kwa siri na hadharani ili ajiimarishe kisiasa.
RAIS...
Great thinkers,
Tumsaidie Rais Dkt Samia kufahamu mbinu mbali mbali wanazotumia wateule wake kuiba hela za umma na kumhujumu. Mi nitatoa moja ya mbinu hizo kwenye serikali.
Mteule anapopata uteuzi kwenye nafasi hasa zile za vitengo fulani vinavyohusiana na mapato au miradi, cha kwanza...
Jana katika kikao cha Bunge kulikuwa na mtifuano kuwa ni nani anyeidhinisha malipo ya Serikali.
Waziri wa Fedha akajibu jibu ambalo halikumridhisha Mhe. Sendeka na Mhe. Spika akaongezea ufafanuzi kwenye majibu ya Waziri wa Fedha.
Kama ni kweli Mhe. Rais ndo anaidhinisha malipo ya Serikali...
Mijadala inaendelea kila mahali sasa hivi watu wakijadili yale yalioandikwa kwenye Ripoti ya CAG.
Kwa sehemu kubwa yanayojadiliwa ni madudu yaliyoko kwenye taasisi za umma.
Jambo la kufurahisha ni kwamba tayari kuna hatua zimeanza kuchukuliwa kuwawajijibisha waliotafuna pesa za Umma.
Wizara...
Rais Mwinyi amekuwa akipigiwa kelele sana kwamba ananyang'anya wananchi ardhi anawapa wageni kwa kisingizio Cha kukodisha. Baadhi wanasema, anachukua ardhi hiyo yeye mwenyewe kwa mlango wa wawekezaji.
Anahamisha mashule, maeneo ya shule anawapa wawekezaji, anakodisha visiwa kwa bei ya kutupa...
Mh. Rais Dkt. Samia,
Kwanza naomba unisamehe kwa lugha ngumu nitakayoitumia hapa ili kukufikishia ujumbe huu kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania.
Nikurejeshe siku uliokula kiapo pale Ikulu ya Dar es Salaam, ukiwa kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania uliapa kuilinda nchi hii...
Rais Samia Suluhu Hassan nianze kwa kukupongeza pia kukupa pole na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa.
Tunamshukuri Mungu kwa kutupa Rais ambaye amefanikiwa kuliunganisha Taifa ndani ya kipindi kifupi Mungu akubariki mama yetu. Neno haki halijawahi kuachwa kwenye kinywa chako, ukiamini haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.