rais

  1. G

    JamiiForums Tanzania Radio One mnatuchosha na "nukuu za ... Rais"

    Mimi sio mtumiaji na mfuatiliaji wa media za kibongo sababu zinachosha na kukera. Kuna baadhi ya vipindi vichache huwa najaribu kuvusikiliza. Radio one mnanikera kila baada ya mda kurushia nukuu za sa100. Ukweli huwa nalazimika kubadilisha station, "na hili mkalitizame"
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aridhia Hekta 18,000 za Ranchi Wapewe Wananchi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kumegwa kwa eneo la Ranchi ya Kagoma wilayani Muleba na Karagwe katika Mkoa wa Kagera yenye ukubwa wa hekta 18,031.26 kwenda kwa wananchi waendeleze shughuli za kibinadamu yakiwemo makazi. Hayo yalibainishwa juzi na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kinara kupunguza vifo vya Mama na Mtoto Nchini

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amefunguka mazito kuhusu maelekezo ya Rais kufanikisha Dk. Samia Suluhu Hassan katika mapambano shisi ya vifo vitokanavyo na uzazi kwa mama na moto. Amesema hatua zilizochukuliwa na Rais Dk. Samia ndizo zilizofanikisha matokeo ya sasa ya ongezeko la uzazi salama na...
  4. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

    Mtu huyo ni Rais Samia! Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  5. Area 56

    JamiiForums Tanzania Skudu: Sikuchagua jezi namba 6

    “Rais wa Yanga [Eng. Hersi] alinipigia akaniuliza kama nimewahi kuvaa jezi namba 6, nikamwambia hapana kwa sababu nimekuwa nikipendelea kuvaa jezi namba 11. Alinambia angependa kunipa jezi namba 6 na mimi nikakubali kwa kuwa ni heshima kwangu na nisingeweza kukataa.” – Skudu Makudubela...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Siku ya Mashujaa Julai 25 Mkoani Dodoma

    Rais Dkt Samis Suluhu kuwa mgeni rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa Julai 25, 2023. Maadhimisho hayo yatafanyika katika uwanja mpya wa kudumu wa Mashujaa uliopo katika eneo la Mji wa Serikali, Mtumba, mkoani Dodoma. Mkuu wa Mkoa huo, Rosemary Senyamule...
  7. B

    JamiiForums Tanzania DKT. Samizi amshukuru Rais Samia kumtua Mama ndoo kichwani Muhambwe

    Jana Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefika Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma kukagua miradi ya maji ambapo Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Florence George Samizi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Maji kwa namna wanavyofanikisha kumtua ndoo kichwani Mama na Wananchi wa Muhambwe. Kwenye...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Masasi wampa tano Rais Samia

    MWENYEKITI Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Mtwara , Julius Kaondo, amesema lengo la Serikali ni kuwezesha kundi la watu wenye changamoto ya kiuchumi katika maeneo yao kwa kuwapa usaidizi ili waweze kujinyanyua wenyewe. Kaondo amesema hayo juzi wakati wa kikao cha Wazee maarufu na Mkurugenzi wa Mji wa...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kusema Rais anashauriwa vibaya ni kujaribu kueleza kuwa Rais hana akili; naona ni ukosoaji wa kinafiki

    Kwema Wakuu! Hakuna Jambo ambalo linanikera kama kumsikia MTU akisema Rais anashauriwa vibaya na washauri wake. Watu wengi wanaosema hivyo ni Watu wasioweza kueleza mambo bayana. Ni Watu wakupindisha pindisha maneno. Wasioweza kutamka nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Rais kama kakosea...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia ni vipi Nape anabaki kuwa waziri baada ya kupatikana ushahidi wa kitendo dhalili cha kuwakanyaga wanawake migongoni kule Mtama?

    Mheshimiwa rais Samia inashangaza kwamba unakuwa na waziri katika baraza lako ambaye imedhihirika wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa mwaka 2015 aliona fahari kuwakanyaga akina mama waliojilaza chini huku akipita juu yao mithili ya mtu atembeaye juu ya carpet! Itashangaza mno kama wewe mheshimiwa...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nape anaendelea vipi kuwa Waziri baada ya kupatikana ushahidi wa kitendo dhalili cha kuwakanyaga wanawake migongoni jimboni Mtama?

    Mheshimiwa rais Samia inashangaza kwamba unakuwa na waziri katika baraza lako mtu ambaye imedhihirika wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa mwaka 2015 aliona fahari kuwakanyaga akina mama waliojilaza chini huku akipita juu yao mithili ya mtu atembeaye juu ya carpet! Itashangaza mno kama wewe...
  12. FaizaFoxy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

    Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya. Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dharau ilianza pale Hayati Magufuli alipokejeliwa ni Uchwara na Mshamba na CCM kukaa kimya

    Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia. Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na watu wakakaa kimya. Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu huyu ni yeye CCM...
  14. MAPITO Mwanza

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jecha Salim Jecha afariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Jeshi Lugalo

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) aliyefuta uchaguzi 2015 na kupata umaarufu mkubwa, Jecha Salim Jecha leo amefariki Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na mwili wake utapelekwa Zanzibar kwa maziko. Jecha Salim Jecha alipata umaarufu mwaka 2015 baada ya kufuta matokeo...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Milioni 2 kwa anayekumbatia Watoto hospitali ya Amana

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa Mariam Mwakabungu (25) anayejitolea kukumbatia watoto njiti waliotelekezwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana jijini Dar es Salaam. Ujumbe huu umetumwa siku moja tangu mitandao ya Mwananchi Julai 18, 2023 iliporipoti habari...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kayataka mwenyewe, alikuwa ameanza vizuri tu

    Siasa za mivutano ‘Confrontational Politics’ aliziweza Mwendazake, sidhani kama Rais Samia ataziweza. Samia alikuja na hoja ya ‘Maridhiano’, hoja ambayo ilipokelewa vizuri na pande zote ingawa kwa shingo upande, baadhi hawakufurahishwa. Kwa kiasi kikubwa siasa za vyama vya Upinzani hasa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mayele akiuzwa Yanga SC itaambulia 30% tu ya Pesa na 70% atachukua anayemmiliki huko Congo DR

    Mtangazaji wa Michezo wa Redio Kubwa na inayokubalika nchini Congo DR ya ( iitwayo ) Top Congo FM Mwanadada Sylivia Meya kasema Mayele akiuzwa Kokote kule Yanga SC waliopewa kwa Mkopo wataambulia 30% tu na Tajiri anayemmiliki Mayele na Wachezaji wengine 24 wa Congo DR atachukua 70% yake. Chanzo...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Rais Samia ni kiongozi asiye na papara na ni mtulivu

    --- Hivi Ndivyo Kikwete Anavyomfahamu Rais Samia, 'Anaongoza Nchi Vizuri, Ana UtulivuWakati wa kuahirisha kikao cha demokrasia kilichofanyika jijini Arusha, Rais Kikwete ameweza kukumbushia historia ya safari uongozi wa Rais Samia baada ya swali aliloulizwa na mwandishi wa habari wa The Chanzo...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Katavi Wamshukuru Rais Samia kwa Huduma ya Maji

    MHE. MARTHA MARIKI - WANANCHI WA KATAVI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA HUDUMA YA MAJI Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ameishukuru serikali kwa kuwaletea Huduma ya Maji safi na Salama wa kazi wa Kata ya Mwamkulu Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi. Mhe. Martha Mariki Akiwa katika...
  20. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

    Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:- (1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo: (2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine...
Back
Top Bottom