rais

  1. JamiiForums Tanzania Je tume ya Chande itakutana na wanahabari baada ya rais Samia kusema ripoti ni mali yake binafsi na hapaswi mtu kuidai?

    Tulisikia mwenyekiti wa tume ya matukio baada na wakati wa uchaguzi mzee Mohamed Othuman Chande ya kwamba tume imepanga kukutana na wanahabari ili kujibu na kutolea ufafanuzi wa hoja na maswala yaliyomo ndani ya ripoti. Cha kushangaza na kushitua ni pale Samia aliposema ripoti ya tume ni mali...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: "Janga na Doa Kubwa kwa Taifa!

    Rais Dkt. Samia alisema: "Hili ni janga na doa kubwa kwa Taifa letu." Alisisitiza kuwa kazi ya Tume imeiwezesha nchi kupata uelewa sahihi wa kilichotokea, ikijumuisha uchambuzi wa kina uliotokana na ushahidi wa mashahidi 1,323, maelezo ya viapo 953, pamoja na maoni yaliyokusanywa kupitia njia...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia , huu ni mtihani wako wa mwisho. Mtihani huu ndio utaamua wapinzani wakuheshimu au wakudharau.

    Tangu kuundwa vyama vingi 1992 hakuna kipindi wapinzani walikuwa na nidhamu kwa serikali na Rais kama kipindi cha Magufuli. Magufuli hakuwapa muda wa kupumua kabisa. Rais Samia ulipoingia ulitaka uonekane mwema kwa watu wote, ndio maana ukaanzisha 4R, ukawarudisha akina LISSU na wenzake waje...
  4. JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya Tume: Rais Aahidi Utekelezaji

    Tume imetoa mapendekezo ya kuimarisha amani na uwajibikaji. Rais ameahidi kutekeleza ili kuepuka kurudia matukio. "Tumegusa kaa la moto na tumejifunza" – hii ni dhamira mpya ya kujenga Taifa imara. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Thamani ya mali zilizoharibiwa na ghasia za Oktoba 29 ni Bilioni 125. Sekta binafsi thamani yake Bilioni 89, za Serikali ni Bilioni 36

    Wakuu Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump aagiza boat za Iran zilizoko Mlango bahari wa Hormuz zizamishwe!!

    Baada ya boat za Iran kuonekana zinateka meli na zingine kuonekana kutega mabomu kwenye Mlango bahari wa Hormuz, Rais wa Marekani Donald Trump ameliagiza jeshi la majini na la anga kuzizamisha boat zote zinazofanya uhalifu kwenye mlango bahari wa Hormuz!!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ripoti hii ni ya Rais wasije wakatokea watu wengine wakadai ownesrhsip ya ripoti hii

    "Tumesikia masuala yaliyobainishwa na tume pamoja na mapendekezo kwa muhtasari. Lakini mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais, na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu wengine wakadai ownership (umiliki) wa...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Sikutarajia Kadhia hii ingetokea nikiwa Rais, Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu

    Rais Samia amesema; "Waheshimiwa viongozi na Watanzania wenzangu, wakati nikielekea kuhitimisha nataka nikiri kwamba mimi binafsi sikutaraajia kadhia hii ingetokea kwenye nchi yetu kipindi hiki nikiwa kiongozi mkuu wa nchi. Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu. Lakini nataka...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: tumepanga kukamilisha mchakato huu (wa katiba mpya) katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita

    "Pamoja na hayo, bado kuna mambo kadhaa ya kufanyiwa kazi katika mawanda ya siasa, ikiwemo suala la mabadiliko ya Katiba. Kama mnavyofahamu, na kama nilivyoahidi, tumepanga kukamilisha mchakato huu katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita. Na ni suala la kipaumbele kwenye ilani ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Vurugu hazikuondoa changamoto, bali zimeongeza

    Rais Samia amesema kuwa yaliyotokea Oktoba 25 (29) hayakuondosha wala kupunguza changamoto tulizokuwa nazo, bali zimeongeza changamoto. kama ghasia zile zisingedhibitiwa nchi ingepata athari kubwa sana na ingetuchukua miaka mingi kuinuka tena. Amewasii watanzania kulinda amani ya nchi.
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tusimame dakika moja tuwaombee waliopoteza Maisha Oktoba 29

    Rais Samia amesema "Katika kuwakumbuka na kutoa heshima kwa waliotangulia mbele ya haki, ninaomba tusimame kwa dakika moja. Tumwombe Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Kila mtu kwa imani yake."
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bila shaka, jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndiyo imefanya Tanzania iwe leo ilivyo

  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia ndiyo imefanya Tanzania iwe ilivyo vinginevyo tungekuwa tunazungumza hadithi nyingine

    "Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale ambao tutabaini wamekiuka sheria na taratibu za kazi zao kwamba hatutawajibisha, tutawajibishana." -...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kulikuwa na upotoshaji mkubwa habari za Oktoba 29 hususani vyombo vya habari vya nje na vya kimataifa

    Wakuu, Anazungumza Rais samia wakati akipokea ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu 2025
  15. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uchunguzi wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nani kamdanganya Samia kinga ya Rais inamuhusu?

    Samia amekua delussional hadi hajui anazidi kujikaanga hata CCM watamkataa
  17. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa wa Afrika Kusini ndiye msemaji wa masuala ya haki za binadamu bila woga kimataifa, kama Mwalimu Nyerere

    Tumepata Rais toka Afrika, Rais Cyril Ramaphosa ambaye kama Mwalimu Kambarage Nyerere, anayeweza kuongea kimataifa juu ya haki, na watu wakamwelewa.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Maono ya jicho la tatu: Namuona Dkt. Asha-Rose Migiro mbali sana , akiwa Mwenyekiti wa bunge maalumu la katiba na baadae Rais wa Jamhuri yetu

    Jicho la tatu ambalo kikawaida linaona zaidi ya uono wa kawaida na mara nyingi linaona mbali kiasi kwamba anayeona anaweza kudhaniwa ni nabii. Wengine wamejaliwa karama ya matumizi sahihi ya jicho hili. Katika kuangazia mambo mbalimbali, Leo jicho langu la tatu linamuona Dkt.Asha.rose Migiro...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa Mnangagwa akabidhi Mamia ya Baiskeli kwa Maveterani wa Vita katika maadhimisho ya Uhuru Zimbabwe

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa leo amekabidhi mamia ya baiskeli kwa maveterani wa vita katika eneo la Maphisa, Kezi, ambako sherehe za maadhimisho ya miaka 46 ya Uhuru wa nchi hiyo zimefanyika Jumamosi hii.
  20. JamiiForums Tanzania Rais ajaye bila kutumia elimination method hatoboi

    Rais ajaye asipoeliminate baadhi ya mafisadi papa kutoka CCM mtandao, basi yatamuwahi na kumueliminate yeye. Masilahi ya kudumu ya CCM mtandao ni kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania na yoyote atakayewapinga kufikia lengo lao hili wana mbinu zote za kumfikia na kumbomoa. Ni either...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…