rais

  1. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Makamu wa Rais akishika nafasi ya Rais kwa muda wa miaka 3 au zaidi ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu

    Nimeona mjadala kuhusu mihula anayoruhusiwa kugombea makamu aliyeshika madaraka ya Urais kutokana na kuchukua kiti katikati ya muhula baada ya Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kuendelea aidha kwa kufariki akiwa madarakani, kujiudhuru au sababu za kiafya. Mjadala umechagizwa na kauli ya...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru chamtunuku Rais Samia Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa), leo Oktoba 10, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake ya kitaifa nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/VuNUt9YAn8Q?si=JkkkUnFuBzu6q8PP Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi akutana na Mtendaji Mkuu wa Makumbusho Oman

    Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amekutana na Mtendaji Mkuu wa Makumbusho ya Taifa ya Oman, Jamal al-Moosawi na ujumbe wake Ikulu Zanzibar leo tarehe 10 Oktoba 2023. Rais Mwinyi amemkaribisha Jamal al-Moosawi Zanzibar katika kile kilichotajwa kuwa ni fursa za kuendeleza ushirikiano katika...
  4. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Abdul mwana wa Rais Samia yuko nchini India kwenye msafara wa Rais

    Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo. Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni...
  5. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aidhinisha Sheria ya kubinafsisha Mashirika yanayoendeshwa kwa hasara

    Rais wa Kenya William Ruto ameidhinisha Muswada wa Ubinafsishaji wa mwaka 2023 ambao sasa umekuwa Sheria ukilenga kuondoa urasimu katika Ubinafsishaji wa Mashirika ya Serikali yasiyo ya Kimkakati na yanayoendeshwa kwa hasara. Imeelezwa kuwa Sheria hiyo mpya pia itasaidia Serikali kuongeza...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Liberia: Wananchi Milioni 2.4 kuamua hatma ya Urais wa George Weah leo

    Zoezi hilo linafanyika kwa kukamilisha kipindi cha kwanza cha miaka 6 cha utawala wa aliyewahi kuwa Mwanasoka Bora wa Dunia wa FIFA mwaka 1995, George Weah ambaye aliingia Madarakani mwaka 2017. George Weah anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Wagombea Urais 19 akiwemo aliyewahi kuwa Makamu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hawa mawaziri wanakuwa wameagizwa na Rais au wanatudanganya!

    Kama siyo wote baadhi ya mawaziri na hata wakuu wa mikoa na WA wilaya utawasikia wanapotekeleza majukumu Yao hujinasibu kwamba mheshimiwa Rais amewapa agizo la kutekeleza jambo Fulani. Waziri wa ardhi mheshimiwa Silaa alipokuwa mkoani Katavi katika ziara ya katibu mkuu wa CCM Chongolo alisema...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Rais ndiye anatoa pesa zake kwa maendeleo ya nchi, Serikali inapeleka wapi kodi zetu?

    Tumesikia kila mdomo wa Waziri na viongozi waandamizi wanaposimama kuhutubia ama kuzungumza wanamshukuru Rais kwa kutoa hela ambazo zimwtekeleza miradi ya maendeleo na miundombinu. Hivyo wanatuaminisha kuwa fedha zote za miradi na maendeleo zinatolewa na rais. Na anayetoa hela hufanya hivyo kwa...
  9. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Rais Biden amehojiwa kuhusiana na faili za siri zilizopatikana nyumbani kwake na ofisini

    Rais Joe Biden kwa muda wa siku mbili zilizopita alishiriki katika mahojiano ya hiari na wakili maalum Robert Hur kama sehemu ya uchunguzi wake wa nyaraka za siri, Ikulu ya White House ilitangaza Jumatatu. "Rais amehojiwa kama sehemu ya uchunguzi unaoongozwa na Wakili Maalum Robert Hur,"...
  10. Egwugu

    JamiiForums Tanzania Rais wasaidie wananchi wako Viziwaziwa mkoa wa Pwani

    Tunajua kuna Nguvu kubwa sawa na ile kanuni ya Newton 3rd law of motion maana kila hili likiwekwa hapa wahusika wanajitahidi nao kulizima, moderator mnapaswa kuwa sauti ya wasio na sauti kwa kweli maana hili jukwaa ni huru. Hoja ni hii, wakazi ndani ya mtaa wa Viziwa ziwa (VIMISA) Kibaha mjini...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwana JamiiForums anayehoji kwanini Rais wa Tanzania akiwa ni Mkristo lazima awe ni Mkatoliki anatuaibisha 'Lake Zone Geniuses' wote

    Hili linajulikana tokea nchi hii inapata Uhuru na lipo katika Makubaliano ya Siri yenye Kiapo Kikali tena chenye Laana Kubwa kama likikiukwa / kikikiukwa ( ukibisha hili Huna Akili ) Inasikitisha sana na GENTAMYCINE nimesikitika kumuona Mtu ambaye amezaliwa katika Familia ya Mfumo ( System ) na...
  12. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali sana…..

    Anzia dakika ya 9:25 mpaka 9:40. https://www.youtube.com/live/PEzgcxu_A50?si=AFWVhAKOGy8b_VG7 Akiwa kwenye ikulu ya Rashtrapati Bhavan huko New Delhi, India, baada ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake kwenye ziara yake nchini humo, Rais Samia alipewa wasaa wa kusema...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa ziara ya kitaifa nchini India, leo Oktoba 9, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ziara ya kitaifa nchini India tarehe 9 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/4CCyGB0ET68?si=SxgeV7L3rZnjBpLi === Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na India zimekubaliana kukuza uhusiano wao wa kihistoria baina...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Boniface Mwabukusi; Rais mtarajiwa toka Busokelo

    Leo katika kufuatilia habari, nimeshangzwa sana na mapokezi ya Wakili Msomi Boniface Mwabukusi huko kwao Busokelo. Pamoja na Mkutano wake kupigwa "stop" na jeshi Polisi, bado wananchi wengi walikuwa na hamu kubwa ya kumsikiliza shujaa huyu wa Taifa letu kwa sasa huku wakimshangilia na kumwita...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowasili nchini India kwa ziara ya Kikazi ya siku 4

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili jijini New Delhi, India leo tarehe 08 Oktoba, 2023 kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku nne nchini humo. Mapokezi rasmi ya Rais Samia yatafanyika tarehe 09 Oktoba, 2023 ambapo atapokelewa na mwenyeji wake Rais wa...
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ya serekali yetu kuanzisha chombo cha kifedha kwa ajili ya wanyonge.

    Ipo haja ya serekali kuanzisha chombo rafiki cha kifedha kama ilivyokuwa pride, (kimfumo) ili kiweze kusaidia kukopesha wananchi wanyonge mikopo chini ya million 10, Pia ipo haja ya fedha zote zile za wanyonge zitokazo katika halmashauri zetu zikawa zinapelekwa kwenye chombo hicho ili kuepusha...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani: Rais Samia aahidi kutatua changamoto za walimu ili kuleta ufanisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kushughulikia changamoto za Walimu nchini hatua kwa hatua ikiwa ni pamoja na kuwapandisha Madaraja na kutoa malipo ya stahiki mbalimbali. Rais, Dkt. Samia ameyasema hayo tarehe 6 Oktoba 2023, alipokuwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Rais Yanga: Ni kipimo kizuri kupangwa na Al Ahly

    ''Ni kipimo kizuri kwetu [Yanga] kupata nafasi ya kucheza na Al Ahly, bingwa mtetezi. Ni kipimo kizuri pia kwetu kuona jinsi gani tumekuwa kama klabu ya mpira, naona ni moja katika makundi magumu lakini Young Africans tunatakiwa sasa tuweke jitihada kuwa katika timu mbili za juu zitakazokwenda...
  19. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais Gachagua: Tunajua China inatudai Pesa nyingi lakini tutakopa tena

    Akizungumza na Kituo cha Redio cha Inooro FM, Rigathi Gachagua amesema Rais William Ruto anatarajia kusafiri kwenda China kwaajili ya kuomba mkopo wa Tsh. Trilioni 2.5 kwaajili ya kukamilisha miradi ya Barabara iliyokwama Ameongeza kuwa miradi mingi ilisimama kutokana na Wakandarasi kutolipwa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kuifungua Tanzania, kuanza ziara ya kikazi Nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi nchini India kuanzia Tarehe 6-11 mwezi huu wa October kwa mualiko maalumu wa Rais wa nchi hiyo. Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Rais ameambatana na...
Back
Top Bottom