rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe za Uhuru wa Zambia

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Zambia kuanzia Oktoba 23 hadi Oktoba 25, mwaka huu ikiwa na lengo la kujenga ushirikiano kati ya nchi hizo mbili zenye historia kubwa kiushirikiano. Katika ziara yake nchini humo, Rais Dkt. Samia...
  2. JamiiForums Tanzania FAO yavutiwa na BBT, yamsifu Rais Samia kuboresha Kilimo

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza sekta ya kilimo na kuboresha mahusiano na mashirikaya kimataifa. Mkurugenzi Mkuu wa FAO, Dk Qu Dongyu amesema shirika hilo limevutiwa na mradi unaotekelezwa na Serikali ya Tanzania wa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe, Ikulu ya Dodoma, leo Oktoba 20, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia ahitimisha Ziara ya Kikazi Mkoani Tabora

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Tabora kwenye Uwanja wa Ndege wa Tabora baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi mkoni humo tarehe 19 Oktoba, 2023...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu avinadi vivutio vya uwekezaji Italia. Ataja msimamo wa Rais Samia wa kuhamasisha ujenzi wa viwanda nchini

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara wa nchini Italia kuja Tanzania kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali kwa kuwa Tanzania ina malighafi za kutosha pamoja na uwepo wa masoko ya uhakika kutokana na eneo la kijiografia. “Msisitizo...
  6. JamiiForums Tanzania Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini

    Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini kwa mujibu wa ripoti ya White House. Katika moja ya ziara aliyowahi kuifanya Donald Trump ambayo iliingia mpaka kwenye record za Marekani. Ni ziara ya Donald Trump kuingia nchini Korea Kaskazini na...
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA Gianni Infantino na Mo Dewji kuzungumza baada ya mechi ya Simba na Al Ahly

    Duru za habari za michezo zimeripoti kuwa baada ya ufunguzi pamoja na mechi kati timu yenye hadhi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye michuano mbalimbali hapa Duniani Simba sports club Vs Al ahly. Baada ya ufunguzi patakua na mazungumzo kati ya Rais wa FIFA Gianni Infantino, Rais wa CAF Patrice...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kumtambua Rais Samia kama Mama wa Taifa ni kujenga familia (nchi) imara

    Nimefarijika sana kuona kile nilichokuwa natamani kifanywe muda mrefu sasa kinakwenda kufanywa na kikiwa kimesemwa na viongozi wa kiroho na kiimani, ni ishara jambo hilo ni la kiimani zaidi. Ni muda mrefu nilikuwa nawaza Kwa mazuri anayofanya Rais Samia ni vyema atambuliwe rasmi kama Mama wa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Rais Samia kwa kuwajali wanyonge

    Asalam Aleykum. Leo katika pita pita yangu kwenye taarifa mbalimbali, nimevutiwa sana kumwona Mh. Rais Samia akiwa sokoni, huku akinunua baadhi ya bidhaa na kuahidi kuwapa mitaji baadhi ya wajasiriamali wadogo wadogo. Binafsi nimejisikia faraja na namwombea aendelee kuwajali wananchi wa hali...
  10. JamiiForums Tanzania Tabora: Rais Samia atoa bilioni 4 ujenzi wa soko la kisasa Nzega Parking

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 4 kwa ajili ya Ujenzi wa Soko la kisasa la Nzega Parking mkoani Tabora Ili kuwezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwenye mazingira bora. Rais Dkt, Samia ametoa fedha hizo alipotembelea soko hilo kufuatia...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ruhusu msukumo wa kushindwa ili kuwa huru zaidi! Tanzania bila Udikiteta, haiwezekani

    Inafahamika kabisa kwamba, kiongozi mkuu akiwa strong, hata walio chini wanafuata mle mle, na akiwa vinginevyo, na wa chini nao hivyo hivyo Kama ni gari, imetumika sana na kwa muda mrefu bila kubadirishiwa oil na vifaa vilivyoharibika, na sasa gari limechoka, mwendo wake ni wa sjui tunakwenda...
  12. JamiiForums Tanzania Picha: Maelfu ya wananchi wa Nzega walivyompokea Rais Samia

    Wananchi wa Nzega waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano uliofanyika katika uwanja wa Samora, Nzega Mjini Mkoani Tabora.
  13. JamiiForums Tanzania Kigwangalla na Bashe wamuomba Rais Samia kuanzisha mkoa mpya wa Nzega

    Kigwangala anaomba Rais aipe Nzega hadhi ya mkoa baadaye anakuja Bashe anasema mama tunaomba unapoondoka 2030 basi wilaya ya Nzega iwe mkoa. Anakuja Rais anasema nimepokea maombi ya MBashe kuwa kabla sijaondoka 2030 Nzega iwe mkoa. Akili za kuambiwa changanya na zako Kigwangala huna chak0...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe Rais Samia analazimishwa kuitwa sasa Mama wa Taifa kwakuwa kuna huu Mpango Mkakati kabambe nyuma ya Pazia?

    Haya akina Hussein Mwinyi uliyekuwa Unaota kuja Bara 2025, akina January Makamba, Mwigulu Nchemba, Ridhiwani Kikwete na Dotto Biteko mnaohangaika Kujipanga kwa 2030 nawaombeni kuanzia sasa Sahauni huo Mpango. Za uhakika ni kwamba Aliyeko sasa ( Boss Wenu ) anamalizia hii Minne ya Deiwaka (...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msikilize Rais Joe Biden kuhusu mpango wa Israel 1986

    Wengi tunatazama mgogoro wa Palestine na Israel katika sura ya kidini,ila ukweli ni kua kinavhogombaniwa hapo ni ardhi na pia maslahi ya nchi kama Marekani na wabia wake kwenye kulinda maslahi yao mashariki ya Kati. Ukienda kidini, wakrsito wengi wanasapoti Israel wakifikiri ndio mzizi na...
  16. W

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema atangaza kutogombea muhula wa pili uchaguzi Mkuu mwaka 2026

    Licha ya kufanya makubwa kwa muda mfupi ndani ya Mhula wa Kwanza, Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ametangaza hataomba muhula wa pili kwenye uchaguzi mkuu wa baadae 2026. Hapa Tanzania hakuna chochote kafanya na bado chawa wanataka aongeze muda mpka 2030! Tamaa na Uroho wa Madaraka. Tazama...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Iramba wamsubiri kwa hamu Rais Samia, wamshukuru kwa miradi mingi ya maendeleo

    Kesho Jumanne Oktoba 17, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan atafanya ziara kwenye wilaya ya Iramba mkoani Singida ambapo atakagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali yake. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi wilayani hapa wametoa ya moyoni na kusema wanamsubili kwa hamu kubwa sana...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Yoweri Museveni akiwa na umri wa miaka 79 na miaka 37 ya Urais wa nchi ya Uganda

    Mwasibota Bazzukulu! Ndugu Rais Yoweri Kaguta K Museveni aliingia madarakani kama Rais nchini Uganda kwa njia ya mtutu wa bunduki, kama muasi dhidi ya serikali ya Milton Obote mwaka 1986, wakati huo Bwana Museveni akiwa na umri wa miaka 42, tangu wakati huo amekuwa madarakani kama Rais wa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeona warembo, kweli maji yapo!

    "Nimeona kina mama warembo kweli, wanang'ara kweli, warembo na wanang'ara hii ni dalili kwamba maji yapo, walikuwa wanapauka kwasababu maji hakuna na yale machache yaliyokuwa yanatafutwa yakifika baba anayasubiri, lakini leo wanang'aa kweli." - Dkt. Samia Suluhu akiwa ziarani mkoani Singida...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliwahi kuwa na Rais jiwe kweli kweli

    Nchi yetu iliwahi kuwa na kiongozi mahiri kweli kweli. Walikuwepo kabla yake, wakaja baada yake, na huenda watakuja na wengine, lakini itatuchukua muda mrefu sana kumpata kiongozi mwenye kaliba ya Hayati JPM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…