rais

  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza Matembezi Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili na Udhalilishaji wa Kijinsia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza matembezi ya hiyari, ikiwa ni hatua ya kuunga mkono maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili na udhalilishaji wa kijinsia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na taasisi ya Asma Mwinyi Foundation, ambayo ndiyo...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania 2030, kipaumbele chako kiwe mipango miji

    Kusema kweli kwa asilimia 98 nina amini bila shaka kuwa Jamii kubwa ya Watanzania wana mtindio wa ubongo, yaaani hawawezi kuwaza na kufikiri vizuri. Jambo kuu linalonifanya kuamini hivi ni kwa namna ninapotembea mikoa mbalimbali nchini na kuona jinsi wananchi wanavyojenga bila mpangilio na wala...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nyie Manara TV acheni kutuongopea

    Kuna huyu mtangazaji wa Manara TV anayehoji watu kwa kifaransa, leo alimuhoji mchezaji wa ASEC Mimosas. Watu wamekuwa wanamsifia sana huyu dogo kisa ufahamu wake wa lugha ila ukiangalia inaonyesha hajawahi kupitia mafunzo yoyote ya uandishi wa habari kwa sababu kuna vitu vingi anavikosea ikiwemo...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aizawadia Timu ya Taifa (Zanzibar) ya vijana chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys) Shilingi Milioni 50

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki hafla ya chakula cha mchana alichowaandalia Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys), Ikulu Tunguu visiwani Zanzibar leo tarehe 25 Novemba, 2023 ameizawadia timu hiyo...
  5. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Walimu wamsubiri Rais Samia kwa hamu kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya CWT Mwanza

    Chama cha walimu Tanzania kinaazimisha miaka 30 ya kuanzishwa kwake kwa ajili ya kujitathimini na kutafakari kwa safari yenye milima na mabonde kuanzia November 1993 mpaka Leo 2023 November Hakika maazimisho hayo mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, kwasababu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunataka katiba mpya kabla ya uchaguzi wa mwaka 2025

    Mhe. Rais, sisi wananchi kwa ujumla tunakuomba kwa heshima na taadhima iwe jua na iwe mvua tunataka Katiba Mpya kabla ya 2025. Usemi kuwa wananchi wanataka elimu kwanza kuhusu Katiba Mpya usemi huo hauingii akilini mwetu tunataka Katiba kabla ya uchaguzi 2025 ili nchi iendelee kuwa na amani...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kongole Rais Samia, Kongole Awamu ya Sita Ngurdoto Imesimama Tena, Ajira Zimerejea kwa Watanzania

    Kwa siku kadhaa sasa Tanzania imekuwa mwenyeji wa mikutano kadhaa mkoani Arusha katika Hotel wa "NGURDOTO" Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi na Usalama wa Chakula Ngurdoto pamoja na mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu Serikali za Wanafunzi wa Vyuo wakithiri, CCM yatajwa, Rais wa TAHLISO atakiwa kujiuzulu

    Baada ya vyuo vingi ikiwemo DIT (Dar es salaam Institute of Technology) Sasa ni SAUT (St. Augustine University of Tanzania) Mwanza. Huyu Anaitwa Kabado C. Kabado Rais wa Serikali ya Wafunzi SAUT Mwanza Tar. 21 Nov, 2023 Usiku Nlipokea simu na Jumbe za Maandish nyingi kutoka kwa Wanafunzi wa...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sasa Tanzania inazalisha mbegu zake yenyewe

    "Huko nyuma Tanzania tulikuwa tunaagiza mbegu kutoka nje ya nchi lakini sasa tunazalisha wenyewe kwa kuziwezesha sekta binafsi kufanya "research" na kuanzisha mashamba yanayozalisha mbegu bora na kuzisambaza hadi nchi nyingine." - Rais Samia Suluhu akizungumza kwenye mkutano wa wakuu Nchi za...
  10. sammosses

    JamiiForums Tanzania Ni lini Tume za Uchunguzi zitakuja na suluhu ya matatizo yanayoikabili Tanzania yetu?

    Rais wa awamu tatu Benjamin William Mkapa alipoingia madarakani aliunda tume iliyoongozwa na Jaji Warioba, kuchunguza rushwa na udhibiti wake. Kila mmoja aliunga mkono dhamira ya dhati ya Ben. Kilichotokea baada ya taarifa za matokeo ya tume hiyo, alihojiwa kwanini amekwenda nje ya hadidu za...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wanachama ACT Wazalendo wanataka kubadili katiba ya chama ili niendelee kuongoza. Nimewaambia naheshimu katiba

    "Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kata ya Makame (Jimbo la Kiteto) Wamshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Miradi Mingi ikiwemo ya Umeme

    Wananchi wa Kata ya Makame Wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mbalimbali mingi ya Maendeleo huku wakimuomba Mbunge wao, Mhe. Edward Ole Lekaita kumfikishia Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Salamu za Pongezi na shukurani nyingi kutoka kwa Wananchi. Mhe. Edward Ole Lekaita...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Rais TLS atoa msimamo Wakili Mpoki kufungiwa miezi 6

    Chama cha Mawakili (TLS) chatoa TAMKO KALI kuhusu kitendo cha Mwenyekiti (Jaji Ntemi) wa Kamati ya Maadili ya Mawakili kumsimamisha uwakili kwa miezi 6 Wakili Mkongwe Mpale Mpoki. Kwamba, amesimamishwa kiholela, Jaji kama Mwenyekiti wa Kamati hana Mamlaka ya kufanya hivyo, amemsimamisha bila...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB). Bw. Mihayo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika Tanzania. Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Novemba, 2023
  15. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya Rais Samia kuinua makandarasi wazawa nchini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anataka kuona ushiriki mkubwa zaidi wa Makandarasi wazawa katika kazi za utekelezaji wa ujenzi wa miradi nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa leo tarehe 21 Novemba, 2023 katika Mkutano wa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usiruhusu haya ya Mwabukusi na kesi ya kubumba ya uwakili, sifa mbaya yote inabebwa na wewe na si Jaji Feleshi wala Jaji Ntemi

    Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake. Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako. Tafakari matendo ya wateule wako!
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nashauri kuwa na Passport iwe ni sharti la lazima mtu kuanza chuo au kufungua biashara. Hili ni dogo sana kwa Rais wetu

    Passport ni kitu muhimu sana. Lakini ukisikiliza ni malalamiko ya watu wengi kuwa upatikanaji wake ni mgumu. Kutokuwa na passport ni moja ya sababu watanzania wengi kukoswa grobal mentality. Wengi mambo yakiwa magumu wanafikilia kurudi vijijini badala ya kutafuta fursa nje ya nchi. Kigezo eti...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Taifa stars haiwezi kushinda dhidi ya Morroco kwa kukata viuno uwanjani. Hata kama rais anununue tiketi zote leo ni kichapo tu. Hakuna siasa njaa

  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameongeza Bilioni 654 bajeti Mikopo Elimu ya Juu

    "Mikopo ni fedha. Tangu shughuli ya kukopesha fedha imeanza miaka 19-20 takriban Tril.7. 3 zimewekezwa. Huu unaitwa ni uwekezaji wa Serikali katika rasilimali watu. Na wanufaika Laki Saba wamepata mikopo. "Katika miaka Mitano au Sita kuanzia 2020-21 kiasi cha bajeti kilichopitishwa ni Bil. 464...
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto ashusha gharama za Bima ya Afya

    Rais #WilliamRuto amesema Serikali itafanya mabadiliko kwenye gharama za matibabu kwa Wananchi wa kipato cha chini wanaotumia Bima ya Mfuko wa Bima wa Taifa (NHIF) ambapo waliokuwa wanalipa Tsh. 8,201 kwa mwezi wataanza kulipa Tsh. 4,921. Ruto ameongeza kuwa Wananchi ambao hawana uwezo wa...
Back
Top Bottom