rais

  1. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Rais akishamaliza muhula wake ndio uwe ukomo wake kwenye utumishi wa umma

    Rais ni madaraka ya juu kabisa kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yeye ndiye mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Sheria ya Wastaafu inampa Rais unafuu mkubwa kuendelea kuhudumiwa na Hazina kwani pamoja na kujengewa makazi na serikali, anaokea mshahara 100% ya rais aliyepo...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia analazimisha kuizanzibarisha Tanganyika kwa nguvu

    Tulizoea kuona wazaznzibar (maarufu kwa jina la wapemba) wametapakaa kila mahali hapa Tanganyika wakifanya biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. Hili kama watanganyika hatuna shida nalo. Hawa ni wajasiriamali na watafutaji kama walivyo watu wa mataifa mengine waliomo hapa nchini. Tunao...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais, nitaifuta TAKUKURU ni nitakamata waliowahi kuwa wakimbiza mwenge kitaifa. Hakutakuwa na ujambazi Wala ajari za barabarani.

    Wakuu, TAKUKURU kama Haina kazi. Rushwa ni Kila sekta. Nikiwa Rais maofisa wa TAKUKURU wenye miaka 40 kwenda juu nitawastafisha Kwa manufaa ya umma. Walio chini ya umri huo wanaenda depo la jkt mwaka mzima wakalime na kupata uzalendo. Wakifuzu wanahamishiwa halmshauri kwenda kupangiwa majukumu...
  4. JamiiForums Tanzania Wananchi wa tanzania wanampenda na kumuamini sana Rais samia, mataifa duniani yanamkubali mno

    Kwa upendo wa wazi na wa dhati walionao wa Tanzania dhidi ya kiongozi huyu mkuu wa nchi, wanatamani aiongoze Tanzania bila ukomo, lakini ndio hivyo tena anaheshimu na kuitii katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, dhidi ya utaratibu ukomo wa uongozi. Na kwahivyo baada ya ngwe zake kwisha...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Serikali ya Rais Ruto 'imeliteka' Bunge, sasa limekuwa 'hanisi'

    Azimio la Umoja One Kenya coalition party leader Raila Odinga now claims the Kenya Kwanza administration has captured the legislative arm of the government, thereby rendering Parliament unable to conduct its oversight role on behalf of Kenyans. Speaking during the burial of Phyllis Mawathe, the...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna watu wameamua kumwambia ukweli Rais Samia

    Salam kwenu nyote, Haya mabadiliko na makelele ya wastaafu mnayo yasikia si bure. Tupongeze vyombo vya usalama kwa kuamua kumwambia ukweli kiongozi wa nchi. Na pia tuwapongeze kwa kumfanya aweze kujoamini katika kazi zake na maamuzi bila kuingiliwa. Hongera kwa vyombo vya usalama kwa kufanya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watumishi wa sekta ya afya waliopata ufadhili kupitia mpango wa “Samia health super specialisation scholarship program 2023/24”

    1. Hongera waliopata 2. Je, ni kweli wanalipa maana kumekuwa na tabia, tangu huko nyuma, ya kulipa kwa mbinde mpaka walio nje kufedheheka kwa kukosa huduma za kishule AU ni uchaguzi UNAKARIBIA. Short of that napongeza hatua hii.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Kikao Halmashauri ya CCM Taifa, Ikulu DSM Leo Novemba 29, 2023

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam, Awali kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
  9. JamiiForums Tanzania Jimbo la Ushetu: Wananchi wa Ukune, Ushetu Wampongeza Rais Samia Suluhu Hassan

    📍 Jimbo la Ushetu: Wananchi wa Ukune, Ushetu Wampongeza Rais Samia Suluhu Hassan 🏥🚑🤰🏽🧑🏽‍🍼 ▪️Wananchi wa Ukune,Ushetu Wampongeza Rais Samia Suluhu Hassan ▪️Mbunge wa Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani azidi kukonga nyoyo wananchi wa Ushetu Wananchi wa Kata ya Ukune katika Halmashauri ya Ushetu...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unaamini mtu kama Mchechu anastahili kuwa msajili wa Hazina?

    Huyu Mtu hana sababu yoyote ya nafasi muhimu kitaifa kama hii. Siyo kwamba tunamchukia, lakini Hata wewe mh. Rais unatambua kwamba njia aliyopitia kuwa boss wa NHC ni hiyo hiyo aliyotumia wewe kumurudisha na sasa kuwa msajili wa hazina. Labda ilikuwa kukomoa maamuzi ya Magufuli. Siamini wewe...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuzua taaruki kuhusu Afya ya Makamu wa Rais wapuuzwe sawa na wanaozusha kujiuzulu kwa KM CCM

    Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa...
  12. JamiiForums Tanzania Lema ulifutiwa makosa na Rais Samia lakini unataka Pauline Gekul ang'ang'aniwe. Tabia za kubebana msipende maana zinaharibu mfumo

    Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi. Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema. Lakini rais alimfutia kesi zake zoke. Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.👇 === Alichoandika Godbless Lema...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa mambo, hivi kwanini Biden bado ni rais wa USA pamoja na maboko yake yote?

    1. Mara kadhaa ameshaanguka tu hadharani. 2. Kusahau sahau anachotaka kusema. 3. Kumtukana, "What a stupid son of a bitch", mwandishi aliyemuuliza swali khhusu inflation.....huku kipaza sauti kikuwa on (alisahau kukizima). 4. Kupotea njia...n.k Sasa nachukulia ukubwa wa USA, kiranja wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    Wananchi wa Sae mpya jijini Mbeya wanataka kubomolewa nyumba zao kwa maonevu makubwa. Awali waziri Lukuvi ALIKUJA Kwa Wananchi na kusema umemtuma kurejesha eneo lao ambalo TARI Kwa miaka zaidi ya miaka 40 walilitwaa bila kulipa fidia. Clip hiyo IPO wakati waziri anakabidhi mbele ya mkuu wa...
  15. JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini. Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma Salamu za Rambirambi kufuatia vifo vya watu 15 ajali ya Gari mkoani Lindi. Atoa Maagizo

    Ameandika Rais Samia Suluhu kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. "Nawapa pole wafiwa waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki katika ajali ya basi iliyotokea eneo la Mtama mkoani Lindi na kusababisha vifo vya watu 15. Mwenyezi Mungu awe faraja kwetu sote, awarehemu ndugu zetu hawa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Ruto wanakimbizana kwa kufanya safari Nje ya Nchi

    Licha ya Rais William Ruto kueleza manufaa ya ziara zake Nje ya Nchi, mapokeo yamekuwa tofauti kwa Wananchi wakiwemo Watumiaji wa Mitandao ambao wanakidai Rais hakai Ofisini ili kutatua changamoto za Gharama za Maisha. Katika kipindi cha miaka miwili, Ruto amefanya ziara 42 katika 26, Nchi 15 ni...
  18. JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais wa Sudan na Mwenyekiti mpya wa EAC alivyoshindwa hata kujua Marais wa Nchi nyingine

    Viongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu. Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya...
  19. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Inanichosha kusikia sifa za Rais kila dakika

    Ifikie wakati tuache kuona kila anachofanya Raisi ni msaada kwetu na si majukumu yake. Hizi sifa za uongo zimekuwa nyingi mpaka kuondosha mantiki ya uhalisia wa utendaji wake. Alichosema Jenerali Ulimwengu "Mimi inanichosha kusikia sifa za rais kila dakika. Rais ni mtu mwema nadhani. Lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia aungwa mkono kuachana na vizuizi vya biashara mipakani

    Baadhi ya Mawaziri wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameunga mkono na kujipanga kutekeleza ushauri wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuachana na mifumo ya kuzuia bidhaa na biashara mipakani. Wakati wa ufunguzi wa Mutano wa 23 wa Wakuu wa Nchi za EAC, Rais Samia alishauri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…