Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.
Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.
Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?
Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.
Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua...
Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.
Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.
Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?
Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.
Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua...
Imeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan
"Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka. Nawapa pole Mkurugenzi wa Mashtaka, Ndugu Sylvester Mwakitalu, familia, wakuu wa divisheni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Tanzania Startup Association (TSA) ikiongozwa na Mwenyekiti wao Ndugu Paul Makanza pamoja na Wajumbe aliofuatana nao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023.
UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Maryam Ahmed Muhaji kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikiwa ni baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wake, Meja Jenerali Paul Kisesa kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda.
Kufuatia uamuzi huo, Rais amemteua Dkt. Rhimo Simeon Nyasabo kuwa Mwenyekiti wa...
Nimesoma Daily News kuwa Rais Samia amesikitishwa na kifo cha Emir wa Kuwait ambaye amekufa akiwa na umri wa miaka 86 lakini hajasikitishwa na watoto wa kitanzania waliouawa na HAMAS huko Gaza na kwenye Kibbutz Orr huko Israel.
Mheshimiwa sana Mama rais, sijakuelewa. Je, ni kwamba husikitishwi...
We Did Not Invite Suluhu, Kagame, Museveni...' Ruto On Why Presidents Stayed Away On Jamhuri Day
President William Ruto dismissed claims of deteriorating diplomatic relations between Kenya and its East African Community (EAC) neighbours on Sunday.
Kenya's relations with Uganda and Tanzania are...
MKUTANO MKUU WA CCM JIMBO LA MUFINDI KUSINI
UWASILISHAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI (CCM) 2020 - 2023
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile tarehe 16 Disemba, 2023 Amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya...
Hii tabia tunayoisikia ya tunamshukuru sana Mhe. Rais na hata kupiga magoti, this is not right (hii si sawa) kwa kuwa hatuwezi kumshukuru Rais.
Kwa kuwa Tanzania tuna culture (utamaduni) ya shukrani basi tuishukuru serikali na tusimshukuru mtu kwa kuwa hizi fedha na rasilimali ni fedha zetu...
Lakini pamoja na majibu haya, Biteko atoke.
Biteko hafai.
Biteko ni tatizo.
===
FACTS: Rais Samia amezungumza suala la kuwa ukilaumiwa jua unafanya vizuri Desemba 16, 2023, hata hivyo kauli hiyo ilitolewa kuhusu elimu na sio taasisi nyingine za serikali. Alichosema Rais ni
"Sio kwenye mitihani...
Andry Rajoelina ambaye ni Rais wa taifa hilo ataapishwa leo Desemba 16, 2023 kuendelea na nafasi hiyo baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika huku kukiwa na madai ya Upinzani juu ya kuwepo kwa Ukiukwaji wa Haki na Uwazi.
Rais huyo aliyeingia Madarakani mwaka 2009 baada ya Rais...
CWT ilizaliwa tarehe 1/11/1993 na mwaka huu Chama kimepanga kufanya kumbukizi ya miaka 30 ya umri wake jijini Mwanza. Kwa kawaida maandalizi ya shughuli kama hii hupangwa na Sekretarieti yaani rais, makamu wa rais, katibu mkuu, naibu katibu mkuu, na mwekahazina wa chama. Kisha mpango huo...
Dunia inaendeshwa kwa nipe nikupe, au kwa kauli nyingine nikune nikukune. Visa nayo ipo hivyo; tafsiri nyepesi ni makubaliano ya nchi na nchi kuhusu taratibu za kuingia na kutoka katika mataifa husika.
Rais wa Kenya amekaribisha wageni kuingia Kenya bila visa, lakini hakuna Sehemu kwenye...
Makonda sasa asuke au anyoe, Kinana ametoa kauli kwamba falsafa ya Rais Samia ni kufuata Katiba sheria na kanuni, na kwamba watendaji wasidhalilishwe na viongozi.
Naiona falsafa ya makonda ya kudhalilisha ili apate umaarufu inagonga mwamba, je nini hatma yake?
Atabadili gia angani na kwanza...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema yeye atawashughulikia wale waliotangaza Msiba mtandaoni wa Makamu wa Rais baada ya Makamu kutoonekana kwa muda
Anadai sio kila jambo lazima lisemwe hivyo kwa wakati ule hakukuwa na sababu ya kusema alipo Makamu wa Rais. Anaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.